Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
Ha ha ha pamoja kuwa shambulio la kustukiza bado makombora mengi yametunguliwa kama israel inataka kula kipigo iingize jeshi ndani ya hata ya damascas alafu uwone ha ha ha ha uturuki alizika wanajeshi wake 35 kwa siku moja