Israeli kafanya mashambulizi dhidi ya ngome za Iran nchini Syria

Hamasi wamejificha kwenye makazi ya Raia, ndio maana wana wa Mungu wakiamua kuwashambulia wanatuma kwanza ndege zenye ving'ora kuwahamasisha wananchi waondoke eneo la hatari.
Yes mkuu well said jamaa wanatumia human shields, wanashambulia then wanajificha nyuma ya wazee, wanawake na watoto ili wakishambuliwa walalamike dunia nzima kwamba Israel inaua raia wasio na hatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihame mada mkuu stay focused

Hiyo mada anzisha uzi wake tukupe facts za waarabu.

To make it easier for you hapa bongo mikoa inayoongoza kwa vitendo ya ushoga ni ipi na inakaliwa na watu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Majuzi nilikuwa nasoma kitabu kimoja kinaelezea namna Iran na Saudi wanavyochukiana sababu tu kila mmoja anataka kutambulika kama muhimili wa Uislam duniani.

sasa humo katikati inaelezewa sikukuu moja ya Ashura. moja ya rituals katika sikukuu hizo ni wanafamilia kujifungia chumbani na kufanya group sex. mtoto anayepatikana kwa mimba inayotungwa siku hiyo ndio hao watu wanaitwa ma Mullah.
 
halafu hawa wavaa makobazi wanapambana na ukristo kumbe na wao wabaya kupitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wajinga wanashabikia vita kama vile madrid na barcelona jamani watu
Wanapoteza maisha.wanapata ulemavu nk halafu nyinyi wenye akili chache mnashangilia?
Mkuu kila nchi ingekuwa inahangaika na mambo yake ikijenga uchumi wake dunia ingekuwa tamu sana ila wengine hawahangahiki na mambo yao wao kutwa kucha wanahangaika kufuta taifa jingine kwenye ramani ya dunia. Wanaokufa wapo kwenye battlefield wakitimiza majukumu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We don't measure sin by its magnitude, dhambi ni dhambi tu.

Turudi kwenye mada tafadhali au hii mada imekushinda tufungue uzi mwingine?,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakueleza tu, power ya kijeshi ni pamoja na wananchi wenyewe.

Nchi ya Mashoga haiwezi kupiga na kushinda vita dhidi ya marijali

Israel ya leo siyo ile ya akina Moshe Dayan, hii ya sasa imejaa michicha miiba, watoto lainlain, watoto wazuriwazuri, chakula!
 
Back
Top Bottom