Israeli kafanya mashambulizi dhidi ya ngome za Iran nchini Syria

Haaa kwa hiyo mkuu baada ya kupigwa za uso kwenye ule uzi ukaamuwa uje uanzishe uzi uku ili kujifariji?
Hivi unashindwa hata kujifikiria ya kwamba Israel imeanza kushambulia hizo zinazoitwa ngome za Iran zaidi ya miaka sita iliyo pita mbona haziishi tu?
Au Iran ana hela gani hizo kujenga base kila siku?
Kule pia nipo nawapa facts tu kotekote nipo njoo ukanushe hii kichapo ingine
 
Zinaishaje wakati wanaendelea kupeleka zingine na jamaa alishaapa hataruhusu kambi za Iran nchini Syria maana ni jarani na kwake so anazipopoa na Iran hana cha kufanya. Au kuna siku ashawahi kujibu mashambulizi? Nikumbushe shehe
Iran ana hela gani za kujenga base kila siku?

Nadhani hata Marekani yenye uchumi mkubwa duniani hawezi gharama hizo.
 
On January 13, Israeli warplanes carried out intense airstrikes in eastern Syria apparently targeting positions and arms depots of Iran-backed forces. At least 57 fighters were killed and dozens were wounded, according to a Syrian opposition war monitoring group.
The Israeli airstrikes, said SOHR, targeted “positions, weapons warehouses, ammunition and missiles depots affiliated to regime forces, the Lebanese Hezbollah, Iranian forces and their proxy militias, mainly ‘Fatemiyoun Brigade’, in the area between Deir Ezzor city and the Syria-Iraq border in Al-Bokamal desert.”

The Syrian Observatory for Human Rights said it recorded 39 Israeli strikes inside Syria in 2020 that hit 135 targets, including military posts, warehouses or vehicles.

Israel views Iranian entrenchment on its northern frontier as a red line, and has repeatedly struck Iran-linked facilities and weapons convoys destined for Lebanon’s militant Hezbollah group.

======----++++++++----=======

Soma hiyooooo.......

"..........On January 13, Israeli warplanes carried out intense airstrikes in eastern Syria apparently targeting positions and arms depots of Iran-backed forces. At least 57 fighters were killed and dozens were wounded, according to a Syrian opposition war monitoring group.
The Israeli airstrikes, said SOHR, targeted “positions, weapons warehouses, ammunition and missiles depots affiliated to regime forces, the Lebanese Hezbollah, Iranian forces and their proxy militias, mainly ‘Fatemiyoun Brigade’, in the area between Deir Ezzor city and the Syria-Iraq border in Al-Bokamal desert.”

The Syrian Observatory for Human Rights said it recorded 39 Israeli strikes inside Syria in 2020 that hit 135 targets, including military posts, warehouses or vehicles.

Israel views Iranian entrenchment on its northern frontier as a red line, and has repeatedly struck Iran-linked facilities and weapons convoys destined for Lebanon’s militant Hezbollah group........."

Sent using Jamii Forums mobile app

Source please, again ni wapi wamesema Ndege za Israel zillingia moja kwa moja kwenye anga la Syria,by the way who took body count, was it Isreal air force Generals au Syrian Military - habari nyingine zinawekwa chumvi mno kwa lengo la kisiasa au kutoka kuonyesha kwamba Israel Military ni invincible/formidable.

Kama kweli makombora ya Israel yanayo vurumishwa Syria mara kwa mara yakitokea anga la Lebanon yasingekuwa yanasambaratishwa na air defense systems za Syria, kama ingekuwa kirahisi kihivyo Syria ingekuwa imekwisha sabaratika siku nyingi tu, sasa kitendo cha Israel kurudia rudia mara kwa mara kujaribu kushambulia almost the same targets day in day out - what does that tell you? Kuna tatizo kwenye operations zao za kijeshi si bure,walio pitia jeshini wanalitambuwa hilo.

Kama nakumbuka vizuri kuna wakati fulani Natenyahu alidai eti Air defense systems za Syria pamoja na jeshi la Syria vimeshambuliwa kweli kweli na ndege za Israel, eti itawachukuwa Serikali ya Syria miaka ishirini kujipanga tena upya - yaani jeshi limesambaratishwa lote, we sikiliza propaganda za kitoto za Natenyahu!

Baada ya wiki moja kupita Natenyahu huyo huyo kaja na mpya, akasema wanajeshi na silaha za Iran pamoja na makambi yao nchini Syria vimeharibiwa na mashambulizi ya ndege za Israel, hivyo Iran haitatia pua tena nchini Syria - Natenyahu msanii sana

Sasa swali, kama kweli Israel ilifanikiwa kusambaratisha jeshi la Syria na Iran nchini Syria kwa nini wanarudia rudia mara kwa mara kushambulia target zile zile, je, zinahibuka tu kama uyonga au kuna kitu Israel hataki kusema ukweli kwamba operation ndani ya Taifa la Syria ni maji marefu - wanajeshi wa Iran nchini Syria pamoja na jeshi la Syria na Hazibolla wanaitoa jasho kweli kweli Israel, Natenyahu is simply trying to put up a brave face, ndio maana Waisrael wanataka kumuondoa madarakani Natenyahu lakini yeye anakuwa kig'ang'anizi tu.
 
Wayahudi wamefanya mashambulizi ya kushtukiza wakiwa wamekiandaa sasa kulipiza bila kujiandaa ndio hasara kwa raia wasio na hatia waliouawa na makombora ya Syria.
 
Source please, again ni wapi wamesema Ndege za Israel zillingia moja kwa moja kwenye anga la Syria?

Kama kweli makombora ya Israel ya yanayo vurumishwa Syria mara kwa mara yasingekuwa yanasambarasha na air defense sysyems za Syria mbona Israel inarudia rudia mara kwa mara kujaribu kusambulia almost the same targets day in day out - what does that tell you? Kuna wakati fulani Natenyahu alidai eti Air defense systems za Syria pamoja na jeshi la Syria vineshambuliwa na ndege za Israel itawachukuwa Serikali ya Syria miaka ishirini kujipanga tena - yaani jeshi limesambaratishwa lote, we sikiliza propaganda za Natenyau! Baada ya wiki moja kupita Natenyahu huyo huyo kaja na mpya anasema wanajeshi na silaha za Iran pamoja na makambi yao vimeharibiwa na mashambulizi ya ndege za Israel, hivyo Iran haitatia pua tena nchini Syria - Natenyahu msanii sana.

Sasa swali, kama kweli Israel ilifanikiwa kusambaratisha jeshi la Syria na Iran nchini Syria kwa nini wanarudia rudia mara kwa mara kushambulia target zile zile, je, zinahibuka tu kama uyonga au kuna kitu Israel hataki kusema ukweli kwamba operation ndani ya Taifa la Syria ni maji marefu - wanajeshi wa Iran nchini Syria pamoja na jeshi la Syria na Hazibolla wanaitoa jasho Israel, Natenyahu is simply trying to put up a brave face.
Source angalia juu ya uzi
 
Biden ana busara sana hawezi kuendeshwa akili za kiwenda wazimu na ujeuri wa Natenyahu - atampuuzia Natenyahu kama Rais Barak Obama alivyo fanya akiwa Ikulu, Obama na Natenyahu walikuwa haewelewani hata kidogo kutokana na Natenyahu kuwa muongo na mfitinishi, mara aseme Iran imebakiza miezi miwili kulipua bom la nuklia - uzushi wenye lengo la kuikasirisha Merikani ili ishambulie Iran on behalf of Israel, Natenyahu ni mtu mwenye hila sana - akimkuta Rais wa ambaye hana msimamo na lege lege anaweza kumchezea sana kaalivyo kuwa anawachezesha akina Trump na Pompeo mpaka wanafikia kutoa statements za ajabu pamoja na vitisho kuhusu Taifa la Iran - Biden awezi ku-entertain ujinga huo na kumbuka Biden na Obama ni kitu kimoja - Natenyahu hawezi kutia pua pale.
Biden ni pro Israel lialia toka kitambo sana.
 
Kama vile sijakuelewa ebu fafanua mkuu.
Wanamgambo wanaofadhiliwa na Iran pamoja na military bases za Iran zilizopo Syria ndio zinazoshambuliwa na ndio zilikuwa chini ya jenerali Soleiman aliyeuawa na drone ya US nchini Iraq
 
Source please, again ni wapi wamesema Ndege za Israel zillingia moja kwa moja kwenye anga la Syria?

Kama kweli makombora ya Israel ya yanayo vurumishwa Syria mara kwa mara yasingekuwa yanasambarasha na air defense sysyems za Syria mbona Israel inarudia rudia mara kwa mara kujaribu kusambulia almost the same targets day in day out - what does that tell you? Kuna wakati fulani Natenyahu alidai eti Air defense systems za Syria pamoja na jeshi la Syria vineshambuliwa na ndege za Israel itawachukuwa Serikali ya Syria miaka ishirini kujipanga tena - yaani jeshi limesambaratishwa lote, we sikiliza propaganda za Natenyau! Baada ya wiki moja kupita Natenyahu huyo huyo kaja na mpya anasema wanajeshi na silaha za Iran pamoja na makambi yao vimeharibiwa na mashambulizi ya ndege za Israel, hivyo Iran haitatia pua tena nchini Syria - Natenyahu msanii sana.

Sasa swali, kama kweli Israel ilifanikiwa kusambaratisha jeshi la Syria na Iran nchini Syria kwa nini wanarudia rudia mara kwa mara kushambulia target zile zile, je, zinahibuka tu kama uyonga au kuna kitu Israel hataki kusema ukweli kwamba operation ndani ya Taifa la Syria ni maji marefu - wanajeshi wa Iran nchini Syria pamoja na jeshi la Syria na Hazibolla wanaitoa jasho Israel, Natenyahu is simply trying to put up a brave face.
Enab Baladi – Ali Darwish

Israel has repeatedly bombed positions within Syrian territory amid Syrian air defenses’ failure to intercept, respond, or stop its missiles, which targeted military posts and bases for the Syrian regime, the Lebanese Hezbollah, Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), and local and foreign militias.

After every targeting by Israel, the Syrian regime announces its interception through firing anti-aircraft missiles. However, satellite images show destruction in some of the regime’s military and scientific research facilities after targeting them.

Israel does not usually confirm its strikes on Syria, but the Israel Defense Forces’ (IDF) annual report mentioned the execution of 50 air strikes in 2020, without specifying the targeted places.

Iran exploits Syria’s military vacuum. Israel attacks

Israel conducts a reconnaissance of Syrian territory all the time. Meanwhile, leaders and experts from the IRGC, especially the Quds Force and other militias affiliated to Iran, do a reconnaissance of the southern region of Syria, select training sites, and establish camps for these militias, whether foreign such as the Zeinabiyoun Brigade and the Fatemiyoun Division or local militias, the head of the Rasd Center for Strategic Studies, Brigadier General Dr. Abdullah al-Asaad, said to Enab Baladi.

Iran uses military posts and sites the regime previously left for they are fortified and equipped, such as the two radar stations of Najran in Daraa and Tell Kharouf, west of the recently targeted As-Suwayda province, according to al-Asaad.

The IranWire Arabic news website identified 51 military points (sites) where Iranian militias and Hezbollah are located in Syria’s southern region, including five provinces, namely Damascus, Rif Dimashq, Quneitra, As-Suwayda, and Daraa.

للمزيد Israel attacks expose Syrian air defense weakness - Enab Baladi

Soma kwa utulivu mkuu upate madili kuhusu Syria air defense
 
Wanamgambo wanaofadhiliwa na Iran pamoja na military bases za Iran zilizopo Syria ndio zinazoshambuliwa na ndio zilikuwa chini ya jenerali Soleiman aliyeuawa na drone ya US nchini Iraq

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran hana kambi za kijeshi nchini Syria wala hana wanajeshi wanao pigana vita ndani ya Syria na hata Iran alisha lisema sana.

Bali ana ana washauri wa kijeshi walioko kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa majeshi ya Syria na hao wana mgambo unao wasema .

Wanao shambuliwa na Israel ni wana mgambo kutoka nchi mbali mbali duniani ambao wanapewa silaha na Iran na ndio maana Iran huwa hayapi uzito mashambulizi hayo.

Kama Marekani alivyo kuwa anawapa silaha wana mgambo wa kikurdi ila badae wakaja kuangamizwa na Turkey na Marekani hakuweza kufanya chochote pamoja na kwamba alilamika.

Kama Iran ingekuwa na base ndani ya Syria kwa hayo mashambulizi yote ya Israel Iran ingesha kimbia kwa sababu sidhani kama Iran ingezewa kuhimili gharama za kutengeneza base zinazo haribiwa na Israel kila siku, Ukingatia kujenga base ni gharama kubwa sana.

Kwa hiyo Iran haiwezi kuishambulia Israel eti kwa sababu ya kushambuliwa kwa wanamgambo ambao hata sio raia wake.
 
Haaa kwa hiyo mkuu baada ya kupigwa za uso kwenye ule uzi ukaamuwa uje uanzishe uzi uku ili kujifariji?
Hivi unashindwa hata kujifikiria ya kwamba Isrrael imeanza kushambulia hizo zinazoitwa ngome za Iran zaidi ya miaka sita iliyo pita mbona haziishi tu?
Au Iran ana hela gani hizo kujenga base kila siku?

What a brilliant question - BRAVO.
 
kule kaweka wanamgambo wake na walikua wakiwa chini ya kamanda Suleiman aliyeuawa mwaka jana ndio maana jamaa akapata moto

Sent using Jamii Forums mobile app

Kauwawa kamanda Suleiman - Merikani na Israel wakafanya sherehe ya kijipongeza usiku kucha, lakini jeshi la Iran likamwambia Trump kwamba litalipiza kisasi at opportune time and they did it, resulting into catastrophic Consequencies 4 US military Iraq.

The facts remains that Iranian military operation in Iraq scared a living daylights out of US Generals in Iraq US military bases, they never expected Iranian Military had such overwhelming capabilities.

Wairan walipo vurumisha makombora ya rocketi kwenye makambi ya kijeshi ya Merikani huko Iraq - wanajeshi wengi walijeruhiwa wengine kupoteza maisha licha ya kujichimbia kwenye mahandaki yaliyo kuwa yamaimarishwa kwa zege hilo halikuwasaidia kitu, na wana sema kama Uongozi wa Iraq usinge watonya Wamerikani kuhusu mpango wa Iran kushambulia kambi za jeshi za Merikani nchini Iraq, hivyo kuwezesha wanajeshi wa Merkani kupata muda wa kutosha wa kujichimbia kwenye mahandaki kama hisingekuwa hivyo makombora yakawakuta wanajeshi wakiwa nje, basi wangekufa wengi sana.

Mwanzo Trump alijifanya hapakuwepo tukio kama hilo baadae kasema hakuna mwanajeshi hata mmoja aliye pata madhara, baadae kabisa kasema wanajeshi watano ndio walijeruhiwa, mwishowe kasema karibu wanajeshi 90 walikimbizwa mahospitalini kupata matibabu, lakini idependent sources zilisema wanajeshi wapatao 130+ walijeruhiwa kutokana na mashambulizi ya makomnora ya Iran kwenye kambi za kijeshi Nchini Iraq.

Bottom line is: Jeshi la Iran sio la kuchukulia poa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom