Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Israel inapims upepo kuona msimamo wa Biden ni upi na pia inajaribu kuwachokoza Iran wareact vibaya ili wamfunge mikono Biden kuhuisha ile Nuclear deal
Israel kwenye issue ya Iran can act independently all the time.Israel inapims upepo kuona msimamo wa Biden ni upi na pia inajaribu kuwachokoza Iran wareact vibaya ili wamfunge mikono Biden kuhuisha ile Nuclear deal
Mkuu, USA kuutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ipo kwenye makaratasi toka miongo mingi huko nyuma Trump ndie aliyefanikisha. Mikataba ikiyoingiwa na Democratic, Republican waliitengua. So sometimes utashi wa kiongozi unahusikaYa, lakini hakuna Rais yuko na uhuru wa kuamua kuitosa Israel, kuipotezea wala kuigeuzia kibao.
Tulishawahi kusema hayo machumachuma s300 na s400 hayana parformance nzur kwa kuwa hayajawahi kutestiwa kwenye real bettle... Israeli anajipigia anakotaka....Israel bado anatawala anga la Syria lenye S-300 na S-400.
Sawa situliambiwa ikiwashwa hiyo s300 au s400 inaona mpaka Israeli kabla hata hizo jet hazijaruka vip sasa hiv hazioni?Saivi wanazungukia Lebanon waibukia Syria na kufanya mambo yao kama kawa
bado hawajawasha labdaSawa situliambiwa ikiwashwa hiyo s300 au s400 inaona mpaka Israeli kabla hata hizo jet hazijaruka vip sasa hiv hazioni?
Kwenye katiba yao imeandikwa?hiyo sio issue ya utashi wa kiongozi. kuisupport Israel ni LAZIMA.
Tena there is even much to come soon Israel itajumlichwa kwenye maamuzi makubwa zaidi kwenye jeshi la.USKwenye katiba yao imeandikwa?
How?Tena there is even much to come soon Israel itajumlichwa kwenye maamuzi makubwa zaidi kwenye jeshi la.US
Soma vizuri kilicho andikwa - wamesema ndege za Israel uvurumisha makonbora ya rocket kutoka kwenye anga la Lebanon sio anga la Syria - wewe unafikiri ni kitu gani kinawafanya ma Pilots wa ndege za Israel kugwaya kuingia kichwa kichwa kwenye anga la Syria?Israel bado anatawala anga la Syria lenye S-300 na S-400.
Israel inapims upepo kuona msimamo wa Biden ni upi na pia inajaribu kuwachokoza Iran wareact vibaya ili wamfunge mikono Biden kuhuisha ile Nuclear deal
Nasema mje waarabu wa bongo msikilizie kipigo mnaemsifia Iran mbele ya IsraelUnasemaje Muisraeli wa Bongo??!
On January 13, Israeli warplanes carried out intense airstrikes in eastern Syria apparently targeting positions and arms depots of Iran-backed forces. At least 57 fighters were killed and dozens were wounded, according to a Syrian opposition war monitoring group.Soma vizuri kilicho andikwa - wamesema ndege za Israel uvurumisha makonbora ya rocket kutoka kwenye anga la Lebanon sio anga la Syria - wewe unafikiri ni kitu gani kinawafanya ma Pilots wa ndege za Israel kugwaya kuingia kichwa kichwa kwenye anga la Syria?
Jeshi la ulinzi wa anga la Syria limesema makombora mengi yaliyo rushwa na ndege za Israel yakitokea huko Lebanon yalisabaratishwa/lipuliwa na air defense systems za jeshi la Syria, machache yaliyo fanikiwa kujipenyeza yaliharibu makazi ya raia na kuua watu. Haya mambo ya kudai eti air defense systems za jeshi la Syria si lolote si chochote hiyo si kweli hata kidogo - kama ingekuwa hivyo ndege za Israel zingekuwa zinaingia moja kwa moja kwenye anga la Syria na sio zinavurumisha makombora kutokea anga la Lebanon, huu ni ushahidi tosha kwamba Israel inaogopa ndege zake kutunguliwa.
Hizo ngome unazo ita za Iran haziishagi tu huko Syria?Umeelewa.nini "pro Iranian militia"
Makundi yanayoungwa mkono na Iran kama walivyo Hezbollah
Zinaishaje wakati wanaendelea kupeleka zingine na jamaa alishaapa hataruhusu kambi za Iran nchini Syria maana ni jarani na kwake so anazipopoa na Iran hana cha kufanya. Au kuna siku ashawahi kujibu mashambulizi??? Nikumbushe sheheHizo ngome unazo ita za Iran haziishagi tu huko Syria?
Haaa kwa hiyo mkuu baada ya kupigwa za uso kwenye ule uzi ukaamuwa uje uanzishe uzi uku ili kujifariji?Umeelewa.nini "pro Iranian militia"
Makundi yanayoungwa mkono na Iran kama walivyo Hezbollah
Ukute hata wakati wa kuyatengeneza hayo madude Israel alishakuwa na watu wake kitambo. Hivyo anajua uwezo waote wa hayo makitu. Ama wakati wa kuyatengeneza kuna mtundu mtu wa Israel karika hao wataalam akaingiza kitu kidogo kuyapunguza uwezo. Wenyewe watakuwa wanayaringia kumbe Israel zamani tu imeshajua uwezo wa hayo madudeTulishawahi kusema hayo machumachuma s300 na s400 hayana parformance nzur kwa kuwa hayajawahi kutestiwa kwenye real bettle... Israeli anajipigia anakotaka....