Israel yatishia kuangamiza mitambo ya Russia endapo itahatarisha Pilot wake hata kama warusi wakiwepo

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,384
9,751
Baba wa Mababa wa Mashariki ya Kati Israel Imetamka rasmi kuwa itateketeza mtambo wa S-300 wa Syria au mtambo wowote utakao tumiwa na jeshi la syria au jeshi la russia pale tu itakapoona inahatarisha usalama wa rubani yeyote wa Taifa hilo la Israel... na Israel itaendelea kujilinda dhidi ya tishio lolote itakaloligundua dhidi yake.
Hayo yalitamkwa na Waziri wa ulinzi wa mazingira wa Israel Bwana Ze’ev Elkin akihojiwa kuhusu mahusiano na nchi ya Urusi. Alisema Serikali ya Urusi imtenda kosa kubwa sana kuipatia nchi ya Syria Mtambo aina ya S-300 wa ulinzi angani kwamba utapelekea kuvuluga hali ya utulivu uliopo sasa.
Pia alijiuliza kuwa Wasyria wanauwezo wa kuendesha hiyo mitambo sawasawa? ''Wanajeshi wa Syria sio kwamba wanauzweo wa kutumia kila mitambo wanayopelekewa, huenda wakatumia vibaya na kupelekea kutungua ndage za abiria'' Elkin alisema.

Aliendelea kuonya kuwa Serikali ya Israel itafanya Shambilizi ikiwa kujibu mapigo pale Syria itakapotumia mitambo yake na kusema Warusi watabeba lawama kwa kuwaachia Wasyria kutumia mitambo hiyo ya S-300.

''Shambulio letu litaelekea pale pale kwa aliyetushambulia sisi Tutamshambulia bila kujali eneo alipo endapo tu atalenga ndege zetu. aliongeza kuwa anauhakika kuwa wanajeshi na wataalamu wa mitambo wa Usuri hawatakuwepo eneo ambapo hiyo mitambo ya S-300 ilipofungwa''

Israel threatens to target Russia-manned S-300s in Syria

Wed Nov 7, 2018 08:01AM
ec72724d-d709-4db1-88c3-bc666ab7e33c.jpg

The photo taken on May 9, 2016 shows the S-300 missile defense systems in Red Square in Moscow, Russia. (Photo by AP)

The Israeli regime has threatened to hit the Russia-made S-300 missile defense launchers in Syria, even those manned by the Russian military itself, should the launchers target Tel Aviv’s warplanes.
Speaking during a press conference for Russian media on Monday, Israeli Minister of Environmental Protection Ze’ev Elkin said Moscow’s supply of the S-300 system to Damascus was “a big mistake” that “might lead to destabilization of the situation.”
He then questioned the Syrian army’s ability to use the system properly.
“The Syrian military are not always capable of correctly using the hardware transferred to them. In case of improper operation, civilian aircrafts may be harmed,” Elkin said.
He further warned that the Israeli regime would take “practical action” in response to alleged attacks from Syria and stressed that Russia “bears partial responsibility” for Syria’s use of the system.

PressTV-‘Israel won't stop ops in Syria despite S-300 delivery’
The Israeli minister for military affairs says the Tel Aviv regime will continue its strikes in Syria irrespective of Russia’s delivery of S-300 anti-aircraft missiles to the Syrian military.

“Actions would undoubtedly take place, should [an attack] occur, against the launchers used to attack” the occupied territories or Israeli planes, he said, adding, “I hope greatly that there would be no Russian military specialists [at S-300 sites].”
The S-300 missile defense system – known as one of the most advanced in the world -- is capable of striking short- and medium-range ballistic missiles, cruise missiles as well as tactical and strategic aircraft.
Russia signed an agreement to sell the system to Syria back in 2010, but later scrapped the plan.
In September 2018, however, Moscow decided to bolster Syria’s air defense capability by deploying the modern S-300 system to the country.

PressTV-‘Russia gives Syria 3 battalion sets of S-300 systems’
A Russian military says ‘three battalion sets of S-300PM systems of eight launchers each’ have been delivered to Syria for free amid a dispute with Israel.

The announcement came in the wake of the accidental downing of Russia's Il-20 reconnaissance aircraft with 15 servicemen on board by Syria’s S-200 launchers, which were at the time responding to a wave of Israeli strikes on state institutions in Latakia Province.
Moscow held Israel responsible for the incident, saying the regime’s pilots had intentionally used the Russian plane as cover to conduct air raids, effectively putting it in the crosshairs of the Syrian air defenses.
 
Anaposema Russia amefanya big mistake kuwapa Syria S-300 ina maana wanaiogopa au wanataka waendelee kuwapiga Syria watakavyo?
Nilikua sijui kama Isreal naye anapuyanga puyanga kama kama USA
Israel hawapigi wasyria bali Hezbollah na wairan sasa syria anawakingia kifua hata yupo tayari kuhatarisha maisha yake huo ni upumbavu wacha apigwe tu... ndio mistake ya russia kuwapa mtambo syria
 
Hii mashine S 300 ama kweli imewatia kiwewe sana hawa wakorofi.

Safari hii wamekuwa watu wa kupiga kelele tuu,

zile ndege zao zilizo kuwa zikipepea kwenye anga la syria zisizo onekana kwenye rada mbona siku hizi hazionekani...?
mbona washapiga tayari au upo nyuma kihabari?

ukipewa onyo si kwamba unaogopwa ni kuwa madhara utakayokuja yapata ni makubwa zaidi na pia israel adui zake ni tofauti na syria wao ni hezbollah na iran so russia anajifanya malaya ila nae keshapewaa makavu aamue akae mbele mbele apewe za uso au akae mbali kabisa
 
Wamepiga lini tujuzane mkuu??Kwanini umeandika kwa kupanic sana??
 
Baba wa Mababa wa Mashariki ya Kati Israel Imetamka rasmi kuwa itateketeza mtambo wowote wa Syria au utakao tumiwa kwa ajili ya syria pale tu itakapoona inahatarisha usalama wa rubani yeyote wa Taifa hilo la Israel... na Israel itaendelea kujilinda dhidi ya tishio lolote itakaloligundua dhidi yake.
Hayo yalitamkwa na Waziri wa ulinzi wa mazingira wa Israel Bwana Ze’ev Elkin akihojiwa kuhusu mahusiano na nchi ya Urusi. Alisema Serikali ya Urusi imtenda kosa kubwa sana kuipatia nchi ya Syria Mtambo aina ya S-300 wa ulinzi angani kwamba utapelekea kuvuluga hali ya utulivu uliopo sasa.
Pia alijiuliza kuwa Wasyria wanauwezo wa kuendesha hiyo mitambo sawasawa? ''Wanajeshi wa Syria sio kwamba wanauzweo wa kutumia kila mitambo wanayopelekewa, huenda wakatumia vibaya na kupelekea kutungua ndage za abiria'' Elkin alisema.

Aliendelea kuonya kuwa Serikali ya Israel itafanya Shambilizi ikiwa kujibu mapigo pale Syria itakapotumia mitambo yake na kusema Warusi watabeba lawama kwa kuwaachia Wasyria kutumia mitambo hiyo ya S-300.

''Shambulio letu litaelekea pale pale kwa aliyetushambulia sisi Tutamshambulia bila kujali eneo alipo endapo tu atalenga ndege zetu. aliongeza kuwa anauhakika kuwa wanajeshi na wataalamu wa mitambo wa Usuri hawatakuwepo eneo ambapo hiyo mitambo ya S-300 ilipofungwa''

Israel threatens to target Russia-manned S-300s in Syria

Wed Nov 7, 2018 08:01AM
ec72724d-d709-4db1-88c3-bc666ab7e33c.jpg

The photo taken on May 9, 2016 shows the S-300 missile defense systems in Red Square in Moscow, Russia. (Photo by AP)

The Israeli regime has threatened to hit the Russia-made S-300 missile defense launchers in Syria, even those manned by the Russian military itself, should the launchers target Tel Aviv’s warplanes.
Speaking during a press conference for Russian media on Monday, Israeli Minister of Environmental Protection Ze’ev Elkin said Moscow’s supply of the S-300 system to Damascus was “a big mistake” that “might lead to destabilization of the situation.”
He then questioned the Syrian army’s ability to use the system properly.
“The Syrian military are not always capable of correctly using the hardware transferred to them. In case of improper operation, civilian aircrafts may be harmed,” Elkin said.
He further warned that the Israeli regime would take “practical action” in response to alleged attacks from Syria and stressed that Russia “bears partial responsibility” for Syria’s use of the system.

PressTV-‘Israel won't stop ops in Syria despite S-300 delivery’
The Israeli minister for military affairs says the Tel Aviv regime will continue its strikes in Syria irrespective of Russia’s delivery of S-300 anti-aircraft missiles to the Syrian military.

“Actions would undoubtedly take place, should [an attack] occur, against the launchers used to attack” the occupied territories or Israeli planes, he said, adding, “I hope greatly that there would be no Russian military specialists [at S-300 sites].”
The S-300 missile defense system – known as one of the most advanced in the world -- is capable of striking short- and medium-range ballistic missiles, cruise missiles as well as tactical and strategic aircraft.
Russia signed an agreement to sell the system to Syria back in 2010, but later scrapped the plan.
In September 2018, however, Moscow decided to bolster Syria’s air defense capability by deploying the modern S-300 system to the country.

PressTV-‘Russia gives Syria 3 battalion sets of S-300 systems’
A Russian military says ‘three battalion sets of S-300PM systems of eight launchers each’ have been delivered to Syria for free amid a dispute with Israel.

The announcement came in the wake of the accidental downing of Russia's Il-20 reconnaissance aircraft with 15 servicemen on board by Syria’s S-200 launchers, which were at the time responding to a wave of Israeli strikes on state institutions in Latakia Province.
Moscow held Israel responsible for the incident, saying the regime’s pilots had intentionally used the Russian plane as cover to conduct air raids, effectively putting it in the crosshairs of the Syrian air defenses.
Nimejaribu kusoma andiko la mleta mada,na baadae kusoma andiko la English Version,ambalo naamini ndilo msingi wa uzi,kwa hakika,sijaona ni kwa namna gani huyo Waziri kahakikisha kuwa ataipiga hiyo mitambo ya Russia chapa S-300!
Hivi siku Syria akipata S-400 au baba lao S-500,hao jamaa si watajiharishia kabisa.
Nilichokisoma katika maandishi yote ni propaganda na Mapovu tupu.
 
kama umesoma na kuelewa kakojoe ulale... ujumbe tayari ushamfikia Ndugu PUT-IN.. Ndoto zako za S-400 au S-500 endelea kukaa nazo tu hamjui mambo ya vita watoto... ukija na silaha fulani na Israel anazo za kila aina za hata kuzimisha Camp yote ya Russia huko Syria
 
ungekuwa mwanamke basi wew ungekuwa kiumbe cha kwanza kubeba mimba ya kujifungua kila baada ya miez4
 
Konk konk kawatoa nduki insta sasa mmekimbilia kwa ma great thinker... wacha oil chafu aje huku mkimbie pia kereb
 
Back
Top Bottom