Israel yapiga inapotaka haimuogopi mtu na hakuna anayewalaumu

Kule Uganda ikikuwaje.Waliomba ruhusa kuingia na kuchukua mateka wao au waliingia tu kibabe na kuondoka bila kutoa shukurani kwa Uganda.
Tukumbushane kidogo
 
Hao kiboko yao ni Hizbullah tu, hawasahau kichapo walichokipata 2006. Kama sio dunia kuwakingia kifua tungelisha wasahau kabisaa.
Mnajua nyie mnachekesha sana kuisifia hezbollah walimchakaza Israel akati ukiangalia Hezbollah walikufa 270 na wananchi wa lebanon walikufa 1200 na miundo mbinu mingi ya lebanon iliharibuliwa mpaka leo lebanon haijarecover madhara ya ile vita wanajeshi wa israel waliuawa 127 na wananchi 49 sasa hapo hezbollah walishinda nini kwa muisrael akati vita vya kupigana na magaidi ni ngumu wanajificha kwenye nyumba za raia,mashuleni ,misikitini,hospital kwa vila mnaushabiki wa dini ya kiislamu mtasifia hata pasipo stahili kusifiwa
 
Uongo haifai.Israel haijawahi kufanya mashambulizi Iran hata mara moja.
Hakuna kombora ama fight jet ilowahi kuivamia Iran ikitokea Israel.Labda useme mabomu ya kutegwa ambayo hayajulikani nani claim of attack.
Amefanya israel imewaua wanasayansi wengi wa nuclear wa Iran pale pale iran
 
Hao kiboko yao ni Hizbullah tu, hawasahau kichapo walichokipata 2006. Kama sio dunia kuwakingia kifua tungelisha wasahau kabisaa.
Israel hakuwa pekeyake .
NATO nzima ilikua ikiisaidia Israel.
Halafu kilichofanya waarabu washindwe ni usaliti wa kamanda mmoja wa kimisri.
Kwani waarabu walikuwa mataifa 22 na urusi pia alikuwepo kulichangia taifa dogo la israel
 
Katika WW 2 aliwasaidia Allied powers. Kupitia sheria ya Lend -Lease Act Marekani iliweza kutoa msaada wa fedha, vifaa vya kivita ili kuwaidia Allied powers. Ikumbukwe hii vita ilipoanza Ujerumani alikuwa amekaribia kuiteka Ulaya nzima akielekea kumshinda Mrusi, huko Asia Mjapani akikiwasha kweli kweli.

Mipango ya Marekani ilianzia Asian, Mjapani alikuwa ameshamshinda M China, U Filipino na akiwa anaelekea Australia. Marekani alianza kwa kuzamisha meli za mjapani, akaingia Australia kuzuia majeshi ya mjapani kuingia, akaelekeza nguvu New Guinea then vita vikahamia ndani ya Japan. Bandari kadhaa zikapigwa, mafuta yakakosekana ndani ya Japan ikifuatwa na mabomu ya Nagasaki na Hiroshima, hapo mjapani akonyoosha mikono. Hapa ndipo m China alipoponea kama mshirika wa Allied powers.

Baada ya kumaliza Asia, Mmarekani akarudi kusaidia Allied powers maeneo ya Ulaya, Marekani ilijipenyeza maeneo ya Kaskazini mwa Afrika kama njia ya Kutwanga Mtaliano ambapo walifanikiwa, walivyotoka hapo wakaingia Ufaransa na mwishowe wakaingia ndani ya Ujerumani.

Mwaka 1945 Winston Churchill aliwataka waingereza wajiulize ingekuwaje kama Allied powers wasingepata msaada wa Marekani.
"God saved the Queen "
Nilishasomaga, najua vizuri tu. Ila sikumbuki kama Mmarekani ndiye alimkalisha Mjerumani, labda unazungumzia "Japan???"
 
Mnajua nyie mnachekesha sana kuisifia hezbollah walimchakaza Israel akati ukiangalia Hezbollah walikufa 270 na wananchi wa lebanon walikufa 1200 na miundo mbinu mingi ya lebanon iliharibuliwa mpaka leo lebanon haijarecover madhara ya ile vita wanajeshi wa israel waliuawa 127 na wananchi 49 sasa hapo hezbollah walishinda nini kwa muisrael akati vita vya kupigana na magaidi ni ngumu wanajificha kwenye nyumba za raia,mashuleni ,misikitini,hospital kwa vila mnaushabiki wa dini ya kiislamu mtasifia hata pasipo stahili kusifiwa
Unatakiwa ujuwe nini lilikua lengo la vita ile, na je lengo limefikiwa ama la, hayo mambo yakufa watu ndio vita yenyewe. Hakuna cha dini apo Israel hatambui uislam wala ukristo. Ni afadhali ya uislamu ni 17% wakristo ni 2% tu ndani ya Israeli jelimishe kwanza. Huyo unaemshabikia ni adui yako zaidi.
 
Katika WW 2 aliwasaidia Allied powers. Kupitia sheria ya Lend -Lease Act Marekani iliweza kutoa msaada wa fedha, vifaa vya kivita ili kuwaidia Allied powers. Ikumbukwe hii vita ilipoanza Ujerumani alikuwa amekaribia kuiteka Ulaya nzima akielekea kumshinda Mrusi, huko Asia Mjapani akikiwasha kweli kweli.

Mipango ya Marekani ilianzia Asian, Mjapani alikuwa ameshamshinda M China, U Filipino na akiwa anaelekea Australia. Marekani alianza kwa kuzamisha meli za mjapani, akaingia Australia kuzuia majeshi ya mjapani kuingia, akaelekeza nguvu New Guinea then vita vikahamia ndani ya Japan. Bandari kadhaa zikapigwa, mafuta yakakosekana ndani ya Japan ikifuatwa na mabomu ya Nagasaki na Hiroshima, hapo mjapani akonyoosha mikono. Hapa ndipo m China alipoponea kama mshirika wa Allied powers.

Baada ya kumaliza Asia, Mmarekani akarudi kusaidia Allied powers maeneo ya Ulaya, Marekani ilijipenyeza maeneo ya Kaskazini mwa Afrika kama njia ya Kutwanga Mtaliano ambapo walifanikiwa, walivyotoka hapo wakaingia Ufaransa na mwishowe wakaingia ndani ya Ujerumani.

Mwaka 1945 Winston Churchill aliwataka waingereza wajiulize ingekuwaje kama Allied powers wasingepata msaada wa Marekani.
"God saved the Queen "
Asilimia 85 ya jeshi la Hitler lilimalizwa na Warusi ndugu.katika kosa kubwa alilolifanya Hitler ni kuvamia Urusi japo alikuwa na wasiwasi kuwa kama asingewavamia Warusi basi kungekuwa na uwezekano mkubwa wa Warusi kumvamia.
 
Soma historia ya world wars uone ni kwa nini Mjerumani na kambi zake walishindwa.
Pasipo WARUSI mpaka leo tungekuwa tunaimba nyimbo za kusifu na kuabudu za Hitler.
Nenda kasome battle of staligrad na battle of berlin ndo utajua WARUSI si watu wa mchezo mchezo ndugu.

Battle of staligrad ilikuwa kati ya WARUSI vs GERMANY, ITARY, HUNGARY, ROMANIA.na bado mwanaume akatoka mshindi
 
Huyo ndo mshindi wa Hitler, hakuna mwingine zaidi yake.bandera iyo ikipepea ndani ya mji mkuu wa ujerumani(Berlin) baada ya mji kutekwa na WARUSI
images.jpeg
 
Hapa sikueleza vyote, kuna hoja huwa inajadiliwa kuwa taifa gani lililomshinda Hittler kwenye WW2. Kama nilivyoeleza awali, Ujerumani alikuwa na kambi yake kama Italy, France na Japan, akizungumzia aliyedhoofisha hii kambi ni USA. Ila ukizungumzia aliyemshinda Ujerumani nyumbani kwake unaweza sema ni Russia, tena baada ya kupata usaidizi wa vifaa na maaskari wa USA, ukikumbuka Russia alikuwa almost kashapigwa na miji yake kadhaa ikiwa imeshatekwa.
Pasipo WARUSI mpaka leo tungekuwa tunaimba nyimbo za kusifu na kuabudu za Hitler.
Nenda kasome battle of staligrad na battle of berlin ndo utajua WARUSI si watu wa mchezo mchezo ndugu.

Battle of staligrad ilikuwa kati ya WARUSI vs GERMANY, ITARY, HUNGARY, ROMANIA.na bado mwanaume akatoka mshindi
 
Hapa sikueleza vyote, kuna hoja huwa inajadiliwa kuwa taifa gani lililomshinda Hittler kwenye WW2. Kama nilivyoeleza awali, Ujerumani alikuwa na kambi yake kama Italy, France na Japan, akizungumzia aliyedhoofisha hii kambi ni USA. Ila ukizungumzia aliyemshinda Ujerumani nyumbani kwake unaweza sema ni Russia, tena baada ya kupata usaidizi wa vifaa na maaskari wa USA, ukikumbuka Russia alikuwa almost kashapigwa na miji yake kadhaa ikiwa imeshatekwa.
Iyo historia umeitowa wapi ndugu ya kuwa WARUSI walisaidiwa na USA.

WARUSI awajawahi kutumia hata pistor ya Wamarekani, sasa wewe iyo habari ya kuwa WARUSI wamesaidiwa vifaa na Wanajeshi wa Marekani umeitowa wapi na ni Vita ya kugombea sehemu gani iyo ambayo USA na WARUSI walikuwa pamoja?.Usidanganywe na mapicha mapicha ya Rambo ndugu.

WARUSI ndo watu wa kwanza kuingia UJERUMANI na ndo watu waliokamata mji mkuu(Berlin) sasa uyo mshindi we umempata vipi ?

.
images.jpeg
 
Katika WW 2 aliwasaidia Allied powers. Kupitia sheria ya Lend -Lease Act Marekani iliweza kutoa msaada wa fedha, vifaa vya kivita ili kuwaidia Allied powers. Ikumbukwe hii vita ilipoanza Ujerumani alikuwa amekaribia kuiteka Ulaya nzima akielekea kumshinda Mrusi, huko Asia Mjapani akikiwasha kweli kweli.

Mipango ya Marekani ilianzia Asian, Mjapani alikuwa ameshamshinda M China, U Filipino na akiwa anaelekea Australia. Marekani alianza kwa kuzamisha meli za mjapani, akaingia Australia kuzuia majeshi ya mjapani kuingia, akaelekeza nguvu New Guinea then vita vikahamia ndani ya Japan. Bandari kadhaa zikapigwa, mafuta yakakosekana ndani ya Japan ikifuatwa na mabomu ya Nagasaki na Hiroshima, hapo mjapani akonyoosha mikono. Hapa ndipo m China alipoponea kama mshirika wa Allied powers.

Baada ya kumaliza Asia, Mmarekani akarudi kusaidia Allied powers maeneo ya Ulaya, Marekani ilijipenyeza maeneo ya Kaskazini mwa Afrika kama njia ya Kutwanga Mtaliano ambapo walifanikiwa, walivyotoka hapo wakaingia Ufaransa na mwishowe wakaingia ndani ya Ujerumani.

Mwaka 1945 Winston Churchill aliwataka waingereza wajiulize ingekuwaje kama Allied powers wasingepata msaada wa Marekani.
"God saved the Queen "
Duh! Itabidi nirudi tena darasani kujifunza upya historia ya dunia. Maana unayoyaeleza ni tofauti kabisa na jinsi ulimwengu unavyofahamu (ikiwepo Marekani yenyewe). Soma hapo ===> https://www.google.com/amp/s/www.wa...n-saved-the-world-from-hitler/?outputType=amp
Au kama hujaridhika na chanzo hicho soma hata Wikipedia hapo chini.
Nazi Germany - Wikipedia.
 
Unatakiwa ujuwe nini lilikua lengo la vita ile, na je lengo limefikiwa ama la, hayo mambo yakufa watu ndio vita yenyewe. Hakuna cha dini apo Israel hatambui uislam wala ukristo. Ni afadhali ya uislamu ni 17% wakristo ni 2% tu ndani ya Israeli jelimishe kwanza. Huyo unaemshabikia ni adui yako zaidi.
Sasa kama waislamu ni 17% nchi israel kwanini waislamu mnachuki na israel ?
 
Unatakiwa ujuwe nini lilikua lengo la vita ile, na je lengo limefikiwa ama la, hayo mambo yakufa watu ndio vita yenyewe. Hakuna cha dini apo Israel hatambui uislam wala ukristo. Ni afadhali ya uislamu ni 17% wakristo ni 2% tu ndani ya Israeli jelimishe kwanza. Huyo unaemshabikia ni adui yako zaidi.
Je lengo lilikuwa ni nini?
Je lilifanikiwa?
 
Duh! Itabidi nirudi tena darasani kujifunza upya historia ya dunia. Maana unayoyaeleza ni tofauti kabisa na jinsi ulimwengu unavyofahamu (ikiwepo Marekani yenyewe). Soma hapo ===> https://www.google.com/amp/s/www.wa...n-saved-the-world-from-hitler/?outputType=amp
Au kama hujaridhika na chanzo hicho soma hata Wikipedia hapo chini.
Nazi Germany - Wikipedia.
Nimeshindwa kuweka ile link moja kwa moja ila nime screen shot ili iwe rahisi kwako kuifuatilia. Baada ya hapa tuambie ni dunia ipi haijui yaliyotokea. Kama ni dunia it's OK
Screenshot_20200921-105806.jpeg
 
Back
Top Bottom