Israel yapata dili la mamilioni ya dola toka India

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
fca23cb178d1f3715ddae081433cd8b7.jpg


Kampuni za Israel zimesaini dili kubwa la dola milioni 630 ($630M) na jeshi la majini la India.
Mkurugenzi mkuu wa masuala ya anga wa Israel Yossi Weiss amesema kwamba dili hilo litaimarisha na kukuza hadhi ya kampuni za Israel kwenye sekta ya mitambo ya ulinzi wa anga duniani.
Dili hilo linahusisha kufungwa kwa mitambo mipya ya ulinzi wa anga kwenye meli vita nne za jeshi la majini la India.
5fdc28bae495daf0355407b25d0e9367.jpg

Hii inakua mara ya kwanza kwa mkataba huo kusainiwa kati ya kampuni za Israel na kampuni ya serikali ya India Bharat Electronics Ltd.
Kabla ya shughuli ya utiaji saini wa dili hilo,Mfumo huo wa kulinda anga wa masafa marefu wa Barak 8 uliotengenezwa na Israel ulijaribiwa kwenye meli vita za India wiki iliyopita na kuonyesha mafanikio makubwa kwa kuweza kutambua haraka kitisho na kukiharibu kwa haraka.

ea3260e1a8a7d56fd943b4e5b5620d31.jpg


Bwana Yossi Weiss aliendelea kwa kusema kwamba dili hilo linaungana na madili mengine ambayo Israel imeshaini na jeshi la India kwa miongo iliyopita na kwamba dili hilo litaimarisha uwezo na kuongeza hadhi ya kampuni za Israel kama kinara wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani.Na kwamba ushirikiano na kampuni ya serikali ya India BEL kwenye dili hilo ni njia moja ya kuimarisha uhusiano na sekta ya uzalishaji/viwanda nchini India kama njia ya kutekeleza sera ya India 'Tengeneza ndani ya India'.
dcd04fdd3599ca20e22bf29355b98095.jpg


Sasa Embu Tuangalie kiundani kidogo mfumo wa huu wa Barak 8 !!

Barak 8 ni mfumo mpya kabisa na wa kisasa uliobumiwa mahsusi kwa ajili ya ulinzi dhidi ya vitisho vya anga kama vile ndege, helicopter,ant ship missiles ,UAV na pia dhidi ya makombora ya kruizi(cruise missiles) kwa umbali zaidi ya 70km( japokua kuna vyanzo vinasema umeongezwa uwezo mpk 100km). Mfumo huu upo ule wa majini na pia nchi kavu.Mfumo huu umebuniwa kwa pamoja kati ya Israel na India.

Barak 8 ni mfumo mpya kabisa wa ulinzi ambapo tunaweza kusema ni kama zao la Barak 1 uliobuniwa Mara ya kwanza kabisa na Israel (kwa lugha nyingine tunaweza kusema Barak8 ni matokeo ya maboresho ya Barak 1).Mfumo huu ulibuniwa mahsusi kabisa kwa ulinz dhidi ya makombora, ndege, drones, etc.

Tunaposema maboresho tunamaanisha ukubwa,uzito, na pia a much heavy warhead (60kg against the previous version's 22kg),uwezo wa kuzuia kitisho kwa umbali zaid kuliko mfumo uliopita, mfumo mpy wa injini, nk.
Mfumo huu mpya unahusisha A state of the art phased array multi-mission radar, two way data link, and A flexible control system, jambo linalowezesha mtumiaji wa mfumo huu kuweza kushughulikia/kuharibu vitisho vingi kwa wakati mmoja(mfano:kombora, ndege au drone) iwe mchanA au usiku na katika hali yoyote ile ya hewa.

Kwanini mfumo huu ni moja ya Mifumo ya Kisasa zaidi duniani kwa sasa?!

1.Mfumo wake mpya wa rada(Active-radar- seeker) hauna haja ya kutegemea radar ya meli kuelekeza wapi pa kupiga bali wenyewe hutafuta mahala ilipo target.
e3d2682c5fce7778449a9ee73d507e46.jpg


2.Inaarifiwa kwamba mfumo huu una ufanisi mkubwa katika kuharibu vitisho(extremely accurate) ,can destroy it's target by direct impact instead of exploding near it.

3.Mfumo huu una uwezo wa kuharibu kitisho (threat/target) hata kikiwa karibu zaidi na meli (500m) hivyo kufany a kazi mbili kwa wakati mmoja km ulinzi kwa masafa mafupi na yale marefu (fulfill both short range point defence and medium range missile in one go)
361ce595e2724f83b416b015524cde92.jpg


4.Improved terminal seeker :- Once locked onto d target Barak 8 doesn't need active guidance from d ship based radar although its assistance may improve a kill chance
d4e7c07c99492c64cd03ee56aebf85b0.jpg


5.Very high kill probability: The single shot kill probability of this missile is supposedly unmatched(tunaweza kusem mbele ya huu mfumo there's NO ESCAPING ZONE)

6.The dual pulse motor : kuongeza Range mpk 90km licha ya kutokua na uzito mkubwa sana.
7f37473c196347ed43e148564e6d91ce.jpg


Kwanini mfumo huu ni muhimu kwa India na Israel?!

32362e9787911ab048a051ecc80c6948.jpg


1.Ndio mfumo wa kwanza wa ulinzi wa masafa marefu kwa jeshi la majini la India (It is the Indian Navy's first long range SAM)

2.Muhim kwa Israel baada ya kuongezeka kwa vitisho toka makundi kama Hamaz na Hezbollah dhidi ya meli za Israel.

3.Umebuniwa mahsusi kwa ajili pia ya kuharibu makombora mapya na ya kisasa kama vile Brahmos,P-800 oniks, Yakhont, nk.

Inasemekana Israel bado anaufanyia maboresho zaidi mfumo huu ili uweze kuzuia makombora ya ballistic (anti-ballistic missile defense system).

Pia Israel bila ushirikiano na India anaboresha mfumo huu ili uweze kufikia range ya 120km, akiuongezea na vifaa vingine kuongeza ufanisi wake zaidi.


izzo Nalendwa Elungata The bold TUJITEGEMEE nankumene MTOTO WA KUKU Root The bold sir chief hazole1
 
Palestine wao wamegundua Tende na Halua
Na nchi yako waliozaliwa wazee wako wamegundua Nini, ,,,maana mnavyowashobokea hao mashoga wa kiyaudi utadhani na nyinyi ni miongoni mwao.jivunie ya nchi yako dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom