Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,222
@yamakagashi,yeah israel ana matanker yanaweza kufanya air refueling,lakini sasa tatizo menyewe sio stealth,kwahiyo yatavuruga element of suprise,kwa maana iran watajua kuwa wanakuja kushambuliwa kabla ndege za israel hazijaliacha anga la syria,jordan au saudi arabia,
isitoshe iran ako na Over The Horizon na Early warning long range rada ambazo wataweza kuona group kubwa la ndege zinapoondoka israel kuja kupiga iran,
kama element of suprice haitakuwepo maanake ni kuwa iran watakutwa wameandaa interceptor mapema mno na hata wanaweza kufyatua makombora yakatua israel kabla ndege za israel hazijaliacha anga za iraq kuingia kupiga iran