Israel yanunua ugomvi wa Marekani - yaionya Iran

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,171
5,905
Netanyahu warns Iran it is within range of Israeli air strikes, citing Iranian threats
Reuters Tue, Jul 9 4:56 PM GMT+3

900fd1d286400d1186e2c28911f5d11b
FILE PHOTO: Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures during the weekly cabinet meeting at his office in Jerusalem
JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu cautioned Iran on Tuesday that it is within range of Israeli air strikes, citing what he described as Iranian threats to destroy Israel.
"Iran recently has been threatening Israel's destruction," Netanyahu said at an Israeli air force base, where he viewed a squadron of advanced U.S.-built F-35 warplanes.
"It should remember that these planes can reach anywhere in the Middle East, including Iran, and certainly Syria,"
he said in a YouTube video clip filmed at the base, with an F-35 in the background.
Last week, a senior Iranian parliamentarian was quoted by the semi-official Mehr news agency as saying that if the United States attacked Iran, Israel would be destroyed in half an hour.
Israel has long said that every option is on the table in ensuring that Iran does not develop a nuclear weapon, and has backed pledges to prevent Iranian military entrenchment in Syria by carrying out air strikes there.
Tehran denies seeking nuclear arms.
(Writing by Jeffrey Heller; Editing by Mark Heinrich)
 
Aaaah those are just words which are even written on birthday cakes.
Netanyahu mwache ajaribu atakumbuka yale ya hizbollah kule Lebanon sooner and soonest.
 
Just keep on cheating yourself, Iran doesn't have capability to win a war against Israel.
Mtapigwa hadi mtajuta, ni mara ngapi Israel imekuwa ikipiga base za Iran Syria? je mmejibu? Hamtaweza kumiliki Nuclear weapons, mtapigwa kabla ya kutengeneza hilo bomu, ole wenu..
 
Kaa ivyo ivyo na umahaba wako, maana inavyosemekana Iran ameshatest silaha za Nuclear tokea 2002 mashariki mwa Iran, na ndio maana Tramp kala kona, wazungu wanajua wanachokifanya hawakurupuki kama ww, Izrail imaliziane na hamas na hizzbullah kwanza
Just keep on cheating yourself, Iran doesn't have capability to win a war against Israel.
Mtapigwa hadi mtajuta, ni mara ngapi Israel imekuwa ikipiga base za Iran Syria? je mmejibu? Hamtaweza kumiliki Nuclear weapons, mtapigwa kabla ya kutengeneza hilo bomu, ole wenu..
Screenshot_20190703_195158_com.google.android.youtube.jpeg
 
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
 
Kwa utaaalamu huuu unatakiwa uajiliwe na Jeshini. Duhuuu, mwanangu au ukafundishe vyuo vya kijasusi vya pale Chicago na Alaska
 
israel hana uwezo wa kuproject power kwa umbali huo na ikaleta matokeo mazuri,mindege itaishiwa mafuta katikati ya mpambano na haiwezi kurudi israel bila fuel,njia pekee anaweza fanya ni kutumia makombora na kuyafyatua kwa kutumia submarine ikiwa arab sea au kutokea israel uwezo ambao hata iran anaweza kufyatua makombora yakatua dimona nuclear facilities. Bila kuteamup na marekani israel hawezi iffanya lolote iran
Mkuu wewe ni kiboko unabishana na Netanyahu... Muhahahahaha
 
Huu ni ugomvi wa Israel siyo kwamba kanunua kutoka US

Israel inamuogopa sana Iran kwasababu ya uwezo wake kiutalaamu katika middle east

Siyo Israel tu, Saudia Arabia na UAE kwa ujumla wanamhofia sana Iran

Iran ni Shia ambao kokote duniani katika ''sect' za kiislam wamepiga hatua sana hasa kielimu

Hofu ya Israel ni Iran kuwa ''mbabe' wa middle east baada ya Saddam waliyemuondoa

Ubabe wa Iran utasaidia sana akina Hezbollah ambao wapo mlangoni mwa Israel

Netanyahu alimtaka Obama ampige Iran, Obama hakutaka kwasababu ya majeshi ya US eneo hilo na usalama wake. Alijua kuipiga Iran ni kuleta tatizo Iraq , Yemen, Pakistan n.k.
Huo ndio ukawa ugomvi wa Netanyahu na Obama

Obama alipofanikisha Nuclear deal, Netanyahu hakutaka kwasababu aliona tatizo linaahirishwa

Trump akakampeni kufuta nuclear deal, na aliifuta na kuacha EU na Russia

Vikwazo vya US havionekani kuidhoofisha Iran kijeshi. Netanyahu anaona muda wa Trump una hati hati na hivyo anamchagiza ampige Iran.

Trump anajua vita na Iran ni ngumu na itamgharimu kama ilivyokuwa Iraq na Afghanistan

Kinachoendelea ni US kumtumia Israel kuleta chokochoko ili vita iwe ya Iran na Israel

Ukweli, Israel hawezi kusimama na Iran kama alivyoteswa na Hezbollah na anahofia hilo

Watu wengi hawaelewi kuwa nguvu ya Israel ina US nyuma yake.

Israel yenyewe kwa eneo lake kijiografia, population na ukubwa wa uchumi haina nguvu kama inavyoelezwa

Hata hivyo, nguvu yao ni uwezo wa teknolojia na kuwatumia wenye uwezo nje ya nchi yao. Hilo ndilo linawasaidia, lakini yenyewe kama Israel bila US haisimami

Hassan Nasral na Hezbollah walidhihirisha na Israel ilikiri kushindwa vita ile.

Kushindwa ni kutokana na usumbufu walioupata kwa Hebollah kiasi cha kuanza piga piga tu bila mpangilio. Walikiri hilo na tume iliyoundwa ilitoa taarifa

Walishindwa kwasababu hawakutaka msaada wa US wakijua Hezbollah ni wanamgambo tu.

Funzo lake ni kubwa, kwamba, kwa taifa kama Iran hali ni tofauti.
Hicho ndicho wanachotaka kuzuia kwa kumchokoza Iran kwanza ili US ampige

Israel ina silaha za nyuklia,taarifa iliyotolewa na jasusi Modechai Vanunu

Nani anatoa vibali vya umiliki wa silaha hizo?
Kwanini Pakistan na India wawe nazo, Israel iwe nayo lakini si Iran?

Huu ni ugomvi wa Israel ikijificha nyuma ya mgongo wa US.

Israel inajua vita inaweza kuchukua sura ya dini na wao watakuwa mahali pabaya sana.

Kwa kujificha sasa hivi wana ushirika na Saudia Arabia kupitia MBS.

Israel inawatisha kuwa Iran itaangusha dola, Saudi hawana uelewa, wanapelekwa pelekwa tu

Iran si tishio kwa US, ni tishio kwa Israel na nchi za EU. EU wanajua tatizo lao na Turkey

Kwamba, Trukey waliyoikataa ndani ya EU imerudi middle east na kama itaungana na Iran kiushirika maana yake ni kuwa mpaka wa Iran na EU utakuwa mpaka wa Turkey na EU
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom