Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Kweli wewe ni kichwa maji hujui chochote.
Waarabu wanaongoza kwa Ushenzi duniani.
Chuki haijengi bali inabomoa,,, ni dhahiri shahiri una chuki sana dhidi ya waarabu. Fanya ufanyavyo but huwapunguzii kitu isipokua unaendelea kuumia moyoni pindi uisikiapo mwarabu. Usije pata maradhi makubwa mkuu,,, kuwa makini sana! Dunia ni mapito tu.