smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,977
- 3,066
Aliyesuru biwa ni Mungu wa wakristo, siyo mungu wa madrasa.Sasa mungu ATASULUBIWA VIPI NA VIUMBE VYAKE?
na wale hawakuwa viumbe bali vishetani vilivyotumia viumbe binadamu. na hivo vishetani vipo mpaka leo. havina mpango
Vilidhani vitaweza km walivo fanya kule Bustani ya Eden dhidi ya Adam.