Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

Sasa mungu ATASULUBIWA VIPI NA VIUMBE VYAKE?
Aliyesuru biwa ni Mungu wa wakristo, siyo mungu wa madrasa.

na wale hawakuwa viumbe bali vishetani vilivyotumia viumbe binadamu. na hivo vishetani vipo mpaka leo. havina mpango

Vilidhani vitaweza km walivo fanya kule Bustani ya Eden dhidi ya Adam.
 
kwani waisraeli kumuua yesu WALIFANYA MAKOSA?
Aliyesuru biwa ni Mungu wa wakristo, siyo mungu wa madrasa.

na wale hawakuwa viumbe bali vishetani vilivyotumia viumbe binadamu. na hivo vishetani vipo mpaka leo. havina mpango

Vilidhani vitaweza km walivo fanya kule Bustani ya Eden dhidi ya Adam.
 
Kumbe huyo Daaiye mwenyewe anafanya kaz ktk office za Governor Jerry Brown ktk utetezi wa ushoga na usagaji?!
Hawa watu pandikizi ndio unawafananisha na waislam?
Na watu wenyewe chaajabu wapo watano tu aisee.
Uone wanajaribu kuchafua dini ila haikubaliki.
Hujajibu swali
 
Aliyesuru biwa ni Mungu wa wakristo, siyo mungu wa madrasa.

na wale hawakuwa viumbe bali vishetani vilivyotumia viumbe binadamu. na hivo vishetani vipo mpaka leo. havina mpango

Vilidhani vitaweza km walivo fanya kule Bustani ya Eden dhidi ya Adam.
Duh kwahyo visheti vimemzidi Mungu wa wakristooo?!
 
kwann nisisemne utashi wakati mtume amesharuhusu kwamba kama mkisafisha viatu vyenu basi ruksa kuswali navyo
Ahaa kumbe kama vikisafishwaaaaaa?!
Basi ushapata jibu kwann waislam twavua viatu tukiingia masjid.
 
Allah anasema.
"Allahu junuudu ssamawaatu wal ardhi"
Mungu ana majeshi mbinguni na ardhini.
Yeye anaongeza nguvu majeshi yake yampiganie.
Asa ulitaka ashuke km Yesu aliyekosa wafuasi ilhali alishuka??!!
Yeye anayaamuru kwa Mighty power yake majeshi yake yampiganie.
Mungu muweza wa yote hawezi piganiwa na watu, Allah ni kitu mlichokitengeneza wenyewe na mtauna sana kwa akili zenu finyu
 
Chakushangaza nyie mnaoombeana na kutoana mapepo kila siku kazi ni hiyo hiyo na hayaishi, tatizo nini au yanarudi?
Tatizo hatuyataki, hata yakirudi tunayaombea yatoke.

Ni tofauti na ninyi ambao mnaishi na Majini vizuri kabisa yaani ni ndugu zenu na mnayapenda.
 
Duh kwahyo visheti vimemzidi Mungu wa wakristooo?!
Siyo visheti bana , vishetani!

Yaani pale ilikuwa lazima lengo la Mungu litimie, kwa mpango ule.

Ndivyo Mungu wetu alivyo, anawaacha watu wanajidai sana, but siku akisema ''no'' ni ''no kweli''

wana wa Israel aliwaburuza jangwani, kwa nini asinge wabeba tu na kuwaweka nchi ya ahadi?

ndo ilivo kuwa kwa masihi pia, alipanga iwe hivyo hakuna wa kuhoji. njoo kanisani utafaidi ndg Mungu wetu anakupenda, nakuombea sasa.
 
Swali lako Nimekujibu kuwa hao usiwanasibishe na pure answar Muslims kwasababu wamekiuka mafundisho ya dini ya kiislam kwahyo si waislam ni makafir nyuma ya pazia.
Umeelewa
Hivi kumbe Answar ndio Waislam halisi

I belong to Al sunnah Al jamaal
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom