Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

Mafundisho ya biblia yanasapoti uislam.
Ukiifata biblia mafundisho yake moja kwa moja unaingia kwenye uislam.
Kuanzia kuvaa hijabu
Kuswali.
Kuchukua udhu.
Kuvua viatu mahali patakatifu hayo yote ni mafunzo ambayo yapo kwenye biblia ndo yapo kwenye uislam
nikurekebishe ,kuvaa hijabu ni utamaduni wa kiarabu tofautisha uarabu na uislam.arabuni hata asiye muislam navaa kanzu au hijab
pili swala la kuvua viatu hakuna sehemu yoyote iwe kwenye quran au hadith inayosema muislam avue viatu sehemu ya ibada kama unayo ukiweka hapa leoleo nitasilimu na kuwa muislam
 
Ime copy wapi wewe, bibilia zenu zinasema Yesu ni mungu mara zinajigonga.

Quran imesema Yesu ni binadamu.

Bibilia inasema Yesu amekufa msalabani

Quran inasema Yesu hakufia msalabani na alipopaishwa ndio Mungu akamuambie lazima afe tu.

Bibilia inasema Yesu kafaa afu kafufuka bada ya siku tatu

Quran inasema Yesu kisha kufaa kama Mitume wengine.

Quran inasema Yesu alisema Salamu siku nimezaliwa na Salam siku nakufa na Salam siku narudishwa hai, yani kufa kafaa mpaa arudishwe hai yani hapo sijui itakuwa duniani au akhera, siri anajua Mungu.

Kuna hadth ya kislam inasema atarudi kabla ya kiyama hapo kidogo inakubaliana na bibilia kwa njia tofauti, yani hadith inasema akirudi anakuja fata amri za Mtume Muhammad na kuvunja misalaba, wakati bibilia inazugumza vingine.

hakuna sehemu quran inasema yesu kashakufa bali ipo sehemu imesema yesu alipaa .ukinionyesha sehemu quran inasema yesu ameshakufa nasilimu leo nakua muislam
 
Akikujibu hayo maswali nitag mkuu
Mimi ni mkristo lakini hapa sijakuelewa
.yesu ni mtoto wa mungu kwa kuwa amezaliwa kupitia tumbo la maria???/ yani anayezaliwa kupitia tumbo la maria ni mtoto wa mungu au unamaanisha huyu maria ndio mungu so yesu ni mtoto wake yani mtoto wa mung

pili ,umesema bikira maria amemzaa yesu halafu bado anauliza nani mkubwa, kwa hiyo wewe unamaanisha yesu na maria mkubwa maria?????
 
Algebra ni neno la kiarabu likawa na maana ya ukamilisho, yaani Aljebra. Huyu jamaa alikuwa ni Muislam. Kwenye Uislam kuna kitu kinaitwa Zaka na Mirathi. Mgawanyo wa vitu hivi viwili unagawanywa kimahesabu. Ndipo hesabu ya aljebra ikagunduliwa ikiwa na maana inafanya ukamilisho wa mgawanyo wa mahesabu ya moja kwa moja.

Huu Ugunduzi ulifanywa na Muhammad Ibn Musa Al- Khawarizm. Kipindi cha Dola ya Abbasid, na huyu jamaa aliishi kipindi cha 780-850. Aligundua na hesabu za Log( hii sifahamu alikuwa anatumia kwenye nini). Vitabu vyake vya mahesabu vilitafsiriwa kwa lugha ya Kilatini "Ulaya" miaka ya 1000 na 1100s. Kutokana na jina lake Al- Khawarizm na uvumbuzi wake wa hesabu ikiwemo (log). Walatin kutokana na lugha yao wakamuita Algorithm, na ndiye aliyeanzilisha hiyo heasabu.

Ni kama mgunduzi wa mahesabu ya Infinity ambaye ni Muhindi, Ramanujan ndiyo lake jina.
hesabu za infinity??????
 
nikurekebishe ,kuvaa hijabu ni utamaduni wa kiarabu tofautisha uarabu na uislam.arabuni hata asiye muislam navaa kanzu au hijab
pili swala la kuvua viatu hakuna sehemu yoyote iwe kwenye quran au hadith inayosema muislam avue viatu sehemu ya ibada kama unayo ukiweka hapa leoleo nitasilimu na kuwa muislam
Umesoma mubaadiul fiqhi?!
Uislam unaongozwa na kuran,sunnah na mafundisho ya mtume na nukuu za ulamaau toka kwa mtume.
Mtume alikua akivua viatu ili aingie kuswali kwasababu moja ya shuruti swalah itabid eneo la ibada lisibebe najis.
Na viatu vinabeba najis hvyo mtume akawa anavua viatu ili aache najis nje ili aswali kwa usafi.
Na mtume kasema "swalini km mlivyokuwa mkiniona naswali"
Kwahyo unapoingia masjid vua viatu kwa mujibu wa mafundisho ya mtume.
 
C kutawadha tu hata namna ya kula vipi ule c ujilie tu na leo madaktari wanajiuliza huyu Mtume alijua vipi haya?

Mwarabu ndio kaleta Mezani Kosema Quran utayakuta hayo.

Mwarabu ndio kawapa akili kuwa itafikia time utawasiliana na watu kwa mbali na mtapanda gari na ndege kabla hazijafika duniani.

Kasome Quran utakuta mwarabu aliona hayo kabla ya mashoga zenu.
Sawa! Ngoja tukutafutie bwana wa kiarabu maana inaonekana unawasujudu sana hao watu
 
hakuna sehemu quran inasema yesu kashakufa bali ipo sehemu imesema yesu alipaa .ukinionyesha sehemu quran inasema yesu ameshakufa nasilimu leo nakua muislam
Kweli mkuu.
Kuran inaelezea kuwa Yesu aliokolewa na wakamleta mtu mbadala wake.
Lakini ipo zama atarudi,ataoa na atazaa na atafariki pia.
 
Umesoma mubaadiul fiqhi?!
Uislam unaongozwa na kuran,sunnah na mafundisho ya mtume na nukuu za ulamaau toka kwa mtume.
Mtume alikua akivua viatu ili aingie kuswali kwasababu moja ya shuruti swalah itabid eneo la ibada lisibebe najis.
Na viatu vinabeba najis hvyo mtume akawa anavua viatu ili aache najis nje ili aswali kwa usafi.
Na mtume kasema "swalini km mlivyokuwa mkiniona naswali"
Kwahyo unapoingia masjid vua viatu kwa mujibu wa mafundisho ya mtume.
nipe hilo andiko linalosema mtume alivua viatu ,au sehemu aliposema watu wakiswali wavue viatu .au nipe andiko lolote linaloelekeza mtu akiswali avue viatu.
NB .usinipe maelezo yako wewe kutoka kichwani mwako cjui viatu vinabeba matope hapana naomba nipe andiko lolote
 
Bnafsi sijawahi sikia mwarabu akimuita mtu mweusi kwa majina mabaya na kisha kuletwa mitandaoni. Isipokuwa yanatokea kwa mashoga zenu mara oh Shitole, wazinzi, Sokwe/Nyani
Kweli wewe ni kichwa maji hujui chochote.

Waarabu wanaongoza kwa Ushenzi duniani.
 
Kweli mkuu.
Kuran inaelezea kuwa Yesu aliokolewa na wakamleta mtu mbadala wake.
Lakini ipo zama atarudi,ataoa na atazaa na atafariki pia.
muelekeze muislam mwenzako anadanganya umma eti yesu alishakufa kwa mujibu wa quran,aache uongo kama hana ilmu akae kimya
 
Mimi ni mkristo lakini hapa sijakuelewa
.yesu ni mtoto wa mungu kwa kuwa amezaliwa kupitia tumbo la maria???/ yani anayezaliwa kupitia tumbo la maria ni mtoto wa mungu au unamaanisha huyu maria ndio mungu so yesu ni mtoto wake yani mtoto wa mung

pili ,umesema bikira maria amemzaa yesu halafu bado anauliza nani mkubwa, kwa hiyo wewe unamaanisha yesu na maria mkubwa maria?????
Pia bro nataka muuliza nduguyo.
Kama yesu alipewa mamlaka ya Mungu amekuwaje alpha and Omega?!
Inamaana kuna Alpha na Omega kumzidi ama?!
Na kama kapewa mamlaka ya Umungu kwanini Mungu ajiadhibu kisa watu wake walomkosea kwanini asingepitisha msamaha kwamba viumbe wake dhaifu awasamehe mpaka ajiue kisa kuwasamehe walomkosea mwenyeww?!
 
Unakumbuka nilikwambia kwamba uislam unaendeshwa na sunnah za mtume pia baada ya kuran.?!
Na mtume alisema tuswali kama tulivyomwona yeye akiswali.
Na nikakwambia mtu anatakiwa avue viatu kutokana na kubeba najis .

KUSWALI NA VIATU MSIKITINI ::::::::::
ﻋَﻦْ ﺃَﺑِﻲ ﺳَﻌِﻴﺪٍ ﺍﻟْﺨُﺪْﺭِﻱِّ، ﻗَﺎﻝَ ﺑَﻴْﻨَﻤَﺎ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ‏( ﷺ ‏) ﻳُﺼَﻠِّﻲ ﺑِﺄَﺻْﺤَﺎﺑِﻪِ ﺇِﺫْ ﺧَﻠَﻊَ ﻧَﻌْﻠَﻴْﻪِ ﻓَﻮَﺿَﻌَﻬُﻤَﺎ ﻋَﻦْ ﻳَﺴَﺎﺭِﻩِ ﻓَﻠَﻤَّﺎ ﺭَﺃَﻯ ﺫَﻟِﻚَ ﺍﻟْﻘَﻮْﻡُ ﺃَﻟْﻘَﻮْﺍ ﻧِﻌَﺎﻟَﻬُﻢْ ﻓَﻠَﻤَّﺎ ﻗَﻀَﻰ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ‏( ﷺ ‏) ﺻَﻼَﺗَﻪُ ﻗَﺎﻝَ " ﻣَﺎ ﺣَﻤَﻠَﻜُﻢْ ﻋَﻠَﻰ ﺇِﻟْﻘَﺎﺋِﻜُﻢْ ﻧِﻌَﺎﻟَﻜُﻢْ " . ﻗَﺎﻟُﻮﺍ ﺭَﺃَﻳْﻨَﺎﻙَ ﺃَﻟْﻘَﻴْﺖَ ﻧَﻌْﻠَﻴْﻚَ ﻓَﺄَﻟْﻘَﻴْﻨَﺎ ﻧِﻌَﺎﻟَﻨَﺎ . ﻓَﻘَﺎﻝَ ﺭَﺳُﻮﻝُ ﺍﻟﻠَّﻪِ ‏( ﷺ ‏) " ﺇِﻥَّ ﺟِﺒْﺮِﻳﻞَ ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ ﺃَﺗَﺎﻧِﻲ ﻓَﺄَﺧْﺒَﺮَﻧِﻲ ﺃَﻥَّ ﻓِﻴﻬِﻤَﺎ ﻗَﺬَﺭًﺍ " . ﻭَﻗَﺎﻝَ " ﺇِﺫَﺍ ﺟَﺎﺀَ ﺃَﺣَﺪُﻛُﻢْ ﺇِﻟَﻰ ﺍﻟْﻤَﺴْﺠِﺪِ ﻓَﻠْﻴَﻨْﻈُﺮْ ﻓَﺈِﻥْ ﺭَﺃَﻯ ﻓِﻲ ﻧَﻌْﻠَﻴْﻪِ ﻗَﺬَﺭًﺍ ﺃَﻭْ ﺃَﺫًﻯ ﻓَﻠْﻴَﻤْﺴَﺤْﻪُ ﻭَﻟْﻴُﺼَﻞِّ ﻓِﻴﻬِﻤَﺎ " .
ﺣﻜﻢ : ﺻﺤﻴﺢ ‏( ﺍﻷﻟﺒﺎﻧﻲ )
Kutoka kwa Abu Sa’id Al Khudri ( ﺭﺿﻲ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻨﻪ ) Mtume ( ﷺ) alikuwa akiswali na masahaba, alivua viatu vyake na akaviweka kushoto kwake; walipoona hivyo (maswahaba) na owakavua viatu vyao. Alipomaliza swala Mtume (ﷺ ) akauliza; nini kilichokufanyeni muvue viatu vyenu? Wakajibu tumekuona wewe ukivua na sisi tukavua. Mtume (ﷺ ) akasema Jbiril ( ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻠﻢ ) amenijia na kunijulisha kuwa (viatu vyangu) vilikuwa na uchafu. Na akasema anapokuja mmoja wenu msikitini atazame na akiona uchafu (kwenye viatu) na avisafishe na kuswali navyo.

nipe hilo andiko linalosema mtume alivua viatu ,au sehemu aliposema watu wakiswali wavue viatu .au nipe andiko lolote linaloelekeza mtu akiswali avue viatu.
NB .usinipe maelezo yako wewe kutoka kichwani mwako cjui viatu vinabeba matope hapana naomba nipe andiko lolote
 
Unafkiri wanatoa kwa kujionyesha kama mashoga zako na myahudi yako!!!
Bnafsi sijawahi sikia mwarabu akimuita mtu mweusi kwa majina mabaya na kisha kuletwa mitandaoni. Isipokuwa yanatokea kwa mashoga zenu mara oh Shitole, wazinzi, Sokwe/Nyani
HAKUNA KITU KAMA HIYO
Islam is Love

Allah anawapenda wote Wallah

Wabillah Tawfiq

images%20(10).jpeg
images%20(8).jpeg
 
Attachments

  • images%20(9).jpeg
    images%20(9).jpeg
    36.6 KB · Views: 16
  • images%20(9).jpeg
    images%20(9).jpeg
    36.6 KB · Views: 15
  • images%20(3).jpeg
    images%20(3).jpeg
    17 KB · Views: 15
Back
Top Bottom