Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
856
Points
1,000
Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
856 1,000
Kweli wewe ni kichwa maji hujui chochote.

Waarabu wanaongoza kwa Ushenzi duniani.
Chuki haijengi bali inabomoa,,, ni dhahiri shahiri una chuki sana dhidi ya waarabu. Fanya ufanyavyo but huwapunguzii kitu isipokua unaendelea kuumia moyoni pindi uisikiapo mwarabu. Usije pata maradhi makubwa mkuu,,, kuwa makini sana! Dunia ni mapito tu.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000

Achana nae bro keshapewa funzo huko na kafunzika
 
Mama Debora

Mama Debora

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Messages
646
Points
1,000
Mama Debora

Mama Debora

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2018
646 1,000
Samahani mkuu, baada ya kugundua hizo log na algebra Waarabu walizifanyia nini? nip elimu mkuu kitu walichogundua kutumia hizo hesabu ni nini? Maanake hata teknolojia ya kuchimba mafuta imetoka huko magharibi mwa dunia.
Hii comment ulikua unaandika huku unakunya kwenye pagale ama???
Maana ni kama vile umeandika kwa mawazo yatokayo makalioni badala ya kichwan
😂 😂 😂 😂
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
13,810
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
13,810 2,000
Achana nae bro keshapewa funzo huko na kafunzika
Chuki haijengi bali inabomoa,,, ni dhahiri shahiri una chuki sana dhidi ya waarabu. Fanya ufanyavyo but huwapunguzii kitu isipokua unaendelea kuumia moyoni pindi uisikiapo mwarabu. Usije pata maradhi makubwa mkuu,,, kuwa makini sana! Dunia ni mapito tu.
Mmerithi ushenzi wa waarabu
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Mmerithi ushenzi wa waarabu
Shukran mkuu Shukran wacha turithi ushenzi wa waarabu.
Wewe rithi ustaarabu wa wazungu.
Yani hata neno ustaarabu linakusuta.
Usta-arabu hilo neno umelitohoa kwa waarabu arabian civilisation lakin bado unapinga.
Sawa bhana
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
13,810
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
13,810 2,000
Bila mwarabu sijui nani angekustaarabisha, ungeendelea kujifutia majani/makaratasi after use!

Bila mwarabu usingejuwa hata kuongea kiswahili.
Ustaarabu haujawahi kuwa wa lazima kuliko chakula na mavazi hata magome ya miti. Magome ya miti waliovaa watu weusi waliketewa na Waarabu???

Nisingezungumza kiswahili basi ningezungumza lugha nyingine hata ya kabila langu.

Bado huna points.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Ustaarabu haujawahi kuwa wa lazima kuliko chakula na mavazi hata magome ya miti. Magome ya miti waliovaa watu weusi waliketewa na Waarabu???

Nisingezungumza kiswahili basi ningezungumza lugha nyingine hata ya kabila langu.

Bado huna points.
Unachekesha ww inaonekana huujui ustaarabu.
Kujiziba mbele matako unayaacha hio sio ustaarabu.
Mwarabu kaja akakuletea ustaarabu wa mavazi hakukulazimisha uliyapenda mwenyewe mpk baadhi ya. Machifu wenu walikua wakivaa hzo nguo.
Kuhusu lugha watabe wa kiswahili wenyewe wametohoa kutoka ktk kiarabu misamiati kedekede asa unapoleta mvutano huo ni utashi wako.
Watabe wa kiswahili waliona kuna umuhim wa kutohoa misamiati ya kiarabu kuweka ktk kiswahili ww nan mpk ulete mvutano??
 
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,511
Points
1,500
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,511 1,500
Bila mwarabu sijui nani angekustaarabisha, ungeendelea kujifutia majani/makaratasi after use!

Bila mwarabu usingejuwa hata kuongea kiswahili.
Mshirikina sio lazima awe na ALAMA! Ilaha WatauwaTUNAANGALIA dalili Kwa hiyo Umefikia kumuona maarabu NI MUNGU WAKO msiba huu
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
13,810
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
13,810 2,000
Unachekesha ww inaonekana huujui ustaarabu.
Kujiziba mbele matako unayaacha hio sio ustaarabu.
Mwarabu kaja akakuletea ustaarabu wa mavazi hakukulazimisha uliyapenda mwenyewe mpk baadhi ya. Machifu wenu walikua wakivaa hzo nguo.
Kuhusu lugha watabe wa kiswahili wenyewe wametohoa kutoka ktk kiarabu misamiati kedekede asa unapoleta mvutano huo ni utashi wako.
Watabe wa kiswahili waliona kuna umuhim wa kutohoa misamiati ya kiarabu kuweka ktk kiswahili ww nan mpk ulete mvutano??
Tatizo una uelewa mdogo sana ndio maana huelewi nilichosema

Kwanza nikuulize, wewe ni Mwarabu?
 
Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
856
Points
1,000
Otterhound

Otterhound

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
856 1,000
Mshirikina sio lazima awe na ALAMA! Ilaha qa dalili
Kwa hiyo Umefikia kumuona maarabu NI MUNGU WAKO msiba huu
Cheki nae huyu, unalialia nini sasa, wanawake ndio kazi yao kulialia bwana. Wewe ni mwanaume hutakiwi kulialia.Qur'an haijaacha kitu mzee.
Tatizo una uelewa mdogo sana ndio maana huelewi nilichosema

Kwanza nikuulize, wewe ni Mwarabu?
Na wewe ni mzungu?
 
P

permanides

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Messages
3,059
Points
2,000
P

permanides

JF-Expert Member
Joined May 18, 2013
3,059 2,000
Mafundisho ya biblia yanasapoti uislam.
Ukiifata biblia mafundisho yake moja kwa moja unaingia kwenye uislam.
Kuanzia kuvaa hijabu
Kuswali.
Kuchukua udhu.
Kuvua viatu mahali patakatifu hayo yote ni mafunzo ambayo yapo kwenye biblia ndo yapo kwenye uislam
Jifunze kuwa Quaran iliandikwa na wahuni wachache walioiba baadhi ya vitu kwenye Biblia na kuongezea uhuni uhuni juu yake
 
Forum statistics

Threads 1,326,681
Members 509,566
Posts 32,230,849
Top