Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Ktk pic uliyoleta ya jiwe jeusi lile jiwe lipo ndan ya kile chuma chenye tundu ambacho ulifosi kusema inafanana na uke
Lile chuma limewekwa miaka hii kulitunza lile jiwe jeusi.
Chuma kipi??
Nn mantiki ya jiwe jeusi hapo Kaaba????
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Umeshaambiwa limewekwa toka enzi ya Ibrahim.
Asa mantiki yake kamuulize Allah.
Au wewe nikuulize,
Ni ipi mantiki ya Yesu kujipigilia misumari kisa nyie mliomkosea wenyewe kwann asingepitisha msamaha km Mungu mwenye huruma??
Chuma kipi??
Nn mantiki ya jiwe jeusi hapo Kaaba????
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
585
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
585 500
Leta ushahid kuwa ya wapagani.
Usipende kulazimisha vitu kaka.
UMEROPOKA mpk umekuwa pointless sasa hv unaongea chochochote ilimradi uonekane umeongea.
NIKIKWAMBIA leta ushahidi unashindwa
Kuhusu Ibrahim nashukuru umeelewa
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
585
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
585 500
Leta ushahid kuwa ya wapagani.
Usipende kulazimisha vitu kaka.
UMEROPOKA mpk umekuwa pointless sasa hv unaongea chochochote ilimradi uonekane umeongea.
NIKIKWAMBIA leta ushahidi unashindwa
Hiyo Kaaba Ni ya makureshi soma Kitabu cha maisha ya mudi kuanzia UK wa 4, na miongoni mwa matukufu ya makureshi Ni pamoja na Hijaba yaani shika funguo za kaaba na humo humfungulia wamtakae. Mudi alipozalia alfajiri Abumutwalibu babu ya mudi kachukua ktk swala ya alfajiri kamuombea fua na kumwambia mashairi kisha karudi nae alfajiri hiyohiyo .

Je abumutwalibu alimuombea mudi kwa dini gani????
Alimuombea kwa Mungu yupi?????
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
585
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
585 500
Niletee hiyo ayah katika quran inayosema kuwa kitu cheusi ni najisi sasa hiv niwe mkristo.
Kama haujui kitu mkuu ni bora uulize bhana.
Unafki na urongo haufai.
Niletee hyo aya hapa
We kweli hujui unaabudu jiwe jeusi bila kujua maanayake???
Pole Sana
Njia ya kweli na uzima ni moja tu ambayo Ni Yesu BWANA
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
585
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
585 500
Kumbuka hakuna aya hata moja MUNGU Mwenyezi Anasema muhamadi ni nabii au mtume, zaidi ya kusema 'Mungu Ni shahidi '. Na mafunuo kyatoa ana kwa mizimu au wachawi. Ndiposa naye akarogwa hiyo yote ni ktk kupimana na wachawi wenzake.....
Yakupasa usome kwa bidii sana ikibidi soma hata yale usiyoyapenda ili uelewe. Usitumie Bible kutetea uislam hapo utakuwa umebugi. Yoh 5:39.
kwa faida tu Bwana Yesu atufundisha kuwa muhamadi hakutoka kwa MUNGU Mwenyezi yoh 5:43
 
Muhamadi si mjumbe wa MUNGU Mwenyezi
screenshot_20190721-131945-jpg.1158815
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Hiyo Kaaba Ni ya makureshi soma Kitabu cha maisha ya mudi kuanzia UK wa 4, na miongoni mwa matukufu ya makureshi Ni pamoja na Hijaba yaani shika funguo za kaaba na humo humfungulia wamtakae. Mudi alipozalia alfajiri Abumutwalibu babu ya mudi kachukua ktk swala ya alfajiri kamuombea fua na kumwambia mashairi kisha karudi nae alfajiri hiyohiyo .

Je abumutwalibu alimuombea mudi kwa dini gani????
Alimuombea kwa Mungu yupi?????
Asee huna akili timamu ww.
Alkaaba makuraish wameikuta.
Alkaaba ilikuwepo kabla ya makkah kukaliwa na. Makuraish.
Alkaaba ndio jengo la kwanza kujengwa pale makkah watu wengine wakafuatia baada ya uzao wa Ibrahim kufariki.
Acha kulazimisha vitu
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Hiyo Kaaba Ni ya makureshi soma Kitabu cha maisha ya mudi kuanzia UK wa 4, na miongoni mwa matukufu ya makureshi Ni pamoja na Hijaba yaani shika funguo za kaaba na humo humfungulia wamtakae. Mudi alipozalia alfajiri Abumutwalibu babu ya mudi kachukua ktk swala ya alfajiri kamuombea fua na kumwambia mashairi kisha karudi nae alfajiri hiyohiyo .

Je abumutwalibu alimuombea mudi kwa dini gani????
Alimuombea kwa Mungu yupi?????
Kumbuka makuraish walikua wanaabudu masanam
Na walikua wakiwapa majina yao ya Laata na uzzah.
Alkaaba ilichafuliwa na Makuraish ndio mtume akaamriwa aisafishe.
Lile jengo makuraish wamelikuta.
Kasome Historia ya nabii.Ibrahim mpk pale alipotaka kumchinja Ismail.Mpk akaletewa kondoo na Jibril.
Usilazmishe vitu
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Kumbuka hakuna aya hata moja MUNGU Mwenyezi Anasema muhamadi ni nabii au mtume, zaidi ya kusema 'Mungu Ni shahidi '. Na mafunuo kyatoa ana kwa mizimu au wachawi. Ndiposa naye akarogwa hiyo yote ni ktk kupimana na wachawi wenzake.....
Yakupasa usome kwa bidii sana ikibidi soma hata yale usiyoyapenda ili uelewe. Usitumie Bible kutetea uislam hapo utakuwa umebugi. Yoh 5:39.
kwa faida tu Bwana Yesu atufundisha kuwa muhamadi hakutoka kwa MUNGU Mwenyezi yoh 5:43
Aal-e-Imran 3:144

وَمَا مُحَمَّدٌ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ ٱلرُّسُلُۚ أَفَإِي۟ن مَّاتَ أَوْ قُتِلَ ٱنقَلَبْتُمْ عَلَىٰٓ أَعْقَٰبِكُمْۚ وَمَن يَنقَلِبْ عَلَىٰ عَقِبَيْهِ فَلَن يَضُرَّ ٱللَّهَ شَيْـًٔاۗ وَسَيَجْزِى ٱللَّهُ ٱلشَّٰكِرِينَ

Muhammad is not but a messenger. [Other] messengers have passed on before him. So if he was to die or be killed, would you turn back on your heels [to unbelief]? And he who turns back on his heels will never harm Allah at all; but Allah will reward the grateful.

get Quran App:https://goo.gl/w6rESk

ISOME HIYO MZEE BABA
 
Mungu anakwambia na Muhammad si chochote ila ni mtume wa mwenyezi Mungu.Na wameshapita mitume mingine kabla yake.
Huna pa kuniteteresha mzee naijua dini yangu vema
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
We kweli hujui unaabudu jiwe jeusi bila kujua maanayake???
Pole Sana
Njia ya kweli na uzima ni moja tu ambayo Ni Yesu BWANA
Inaonesha jinsi gani ulivyo pointless.
Nimekwambia unithibitishie kivp tunaliabudu jiwe jeusi.
Na nimekuuliza je wajua nini maana ya ibadah?
Na je wajua namna waislam tunavyoabudu!?
Huna majibu unalazmisha mambo.yani uko pointless kaka.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Aal-e-Imran 3:144

وَمَا مُحَمَّدٌ إِلَّا رَسُولٌ قَدْ خَلَتْ مِن قَبْلِهِ ٱلرُّسُلُۚ أَفَإِي۟ن مَّاتَ أَوْ قُتِلَ ٱنقَلَبْتُمْ عَلَىٰٓ أَعْقَٰبِكُمْۚ وَمَن يَنقَلِبْ عَلَىٰ عَقِبَيْهِ فَلَن يَضُرَّ ٱللَّهَ شَيْـًٔاۗ وَسَيَجْزِى ٱللَّهُ ٱلشَّٰكِرِينَ

Muhammad is not but a messenger. [Other] messengers have passed on before him. So if he was to die or be killed, would you turn back on your heels [to unbelief]? And he who turns back on his heels will never harm Allah at all; but Allah will reward the grateful.

get Quran App:https://goo.gl/w6rESk

Huyo Yohana huyu Allah
Muhamadi si mjumbe wa MUNGU Mwenyezi View attachment 1158815
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Niletee ushahidi km kuna aya za shetan na Niletee ushahidi km mtume alikuwa na marohani
Kumbuka hakuna aya hata moja MUNGU Mwenyezi Anasema muhamadi ni nabii au mtume, zaidi ya kusema 'Mungu Ni shahidi '. Na mafunuo kyatoa ana kwa mizimu au wachawi. Ndiposa naye akarogwa hiyo yote ni ktk kupimana na wachawi wenzake.....
Yakupasa usome kwa bidii sana ikibidi soma hata yale usiyoyapenda ili uelewe. Usitumie Bible kutetea uislam hapo utakuwa umebugi. Yoh 5:39.
kwa faida tu Bwana Yesu atufundisha kuwa muhamadi hakutoka kwa MUNGU Mwenyezi yoh 5:43
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,189
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,189 2,000
Kwanza hakuna Historia inayoelezea hvyo.
Abuutwalib hakumuombea mtume na wala hakumpeleka Alkaaba kabla ya Muhammad kuwa mtume.
Muhammad aliingia Alkaaba kipindi cha unabii wake.
Full stop.
Tunga unavyoweza
Mtume alizaliwa mwaka wa tembo kipind Alkaaba inavamiwa na mfalme wa Yemen.
Hakuna aliyempeleka Muhammad kaaba akiwa mchanga.
Hiyo Kaaba Ni ya makureshi soma Kitabu cha maisha ya mudi kuanzia UK wa 4, na miongoni mwa matukufu ya makureshi Ni pamoja na Hijaba yaani shika funguo za kaaba na humo humfungulia wamtakae. Mudi alipozalia alfajiri Abumutwalibu babu ya mudi kachukua ktk swala ya alfajiri kamuombea fua na kumwambia mashairi kisha karudi nae alfajiri hiyohiyo .

Je abumutwalibu alimuombea mudi kwa dini gani????
Alimuombea kwa Mungu yupi?????
 
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,477
Points
1,500
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,477 1,500
Inaonesha jinsi gani ulivyo pointless.
Nimekwambia unithibitishie kivp tunaliabudu jiwe jeusi.
Na nimekuuliza je wajua nini maana ya ibadah?
Na je wajua namna waislam tunavyoabudu!?
Huna majibu unalazmisha mambo.yani uko pointless kaka.
Kwani mawe hayapo kunduchi hadi mwende makka?
 
Forum statistics

Threads 1,325,699
Members 509,266
Posts 32,199,856
Top