Israel yamkamata waziri mtukutu kutoka Palestine ananyea ndoo siku ya tatu leo

lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,511
Points
1,500
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,511 1,500
Nadhan vyombo vya habar wavisikiza kuhusu waislam wanavyochomwa visa na kupigwa risasi au hujitoa akili ww??
Vyombo vya NI VITABU gani Imani?? Hebu soma hii mistari halafu USEME nani Anamchukia mwenzie! Kwa mujibu wa ayat hizo MKRISTO akimchukia muisilamu hataiona Paradise na muisilamu AKIMFANYA RAFIKI MKRISTO HATAIONA SARDAUS yaani mmeagizwa mtung'oe hadi kucha...
img_20190719_074530_984-jpeg.1157002
img_20190719_074646_124-jpeg.1157005
img_20190719_074729_928-jpeg.1157006
img_20190719_074227_163-jpeg.1157007
img_20190719_073827_288-jpeg.1157008
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Vyombo vya NI VITABU gani Imani?? Hebu soma hii mistari halafu USEME nani Anamchukia mwenzie! Kwa mujibu wa ayat hizo MKRISTO akimchukia muisilamu hataiona Paradise na muisilamu AKIMFANYA RAFIKI MKRISTO HATAIONA SARDAUS yaani mmeagizwa mtung'oe hadi kucha...View attachment 1157002View attachment 1157005View attachment 1157006View attachment 1157007View attachment 1157008
Unaweza ukanambia sababu ya hizo aya kushuk ??
Na wakati gani zilishuka na hikma yake ni nini??
Ukinijibu hayo utakuwa ushaona ulipokosea kunukuu aya pasi na kufahama lengo lake.
 
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,511
Points
1,500
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,511 1,500
Unaweza ukanambia sababu ya hizo aya kushuk ??
Na wakati gani zilishuka na hikma yake ni nini??
Ukinijibu hayo utakuwa ushaona ulipokosea kunukuu aya pasi na kufahama lengo lake.
Kwani MNA AGANO LA kale na JIPYA?ref hii aya allah anapo Omba dua mbaya kwa MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE WAKRISTO NA WAYAHUDI NI im-expire lini??
img_20190719_194842_756-jpeg.1157403
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Kwani MNA AGANO LA kale na JIPYA?ref hii aya allah anapo Omba dua mbaya kwa MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE WAKRISTO NA WAYAHUDI NI im-expire lini?? View attachment 1157403
Still mgumu kuelewa ??
Quran sijasema km ina agano jipya wala la kale Quran aya zake huwa zina sababu ya kushushwa unaweza nielezea sababu ya kushushwa hzo aya za kuamrishwa kuwapiga makafiri??
 
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,511
Points
1,500
lukwangul

lukwangul

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,511 1,500
Still mgumu kuelewa ??
Quran sijasema km ina agano jipya wala la kale Quran aya zake huwa zina sababu ya kushushwa unaweza nielezea sababu ya kushushwa hzo aya za kuamrishwa kuwapiga makafiri??
Hizo sababu zimeisha??
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
595
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
595 500
Huko hira akimuabudu Mungu gani?

Wakati huo Kaaba ulikuwepo??
Jiwe jeusi ilikuwepo???
Kwa nn jiwe ni jeusi???
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Quruani Ni maneno ya nani???
Al-Furqan 25:1

تَبَارَكَ ٱلَّذِى نَزَّلَ ٱلْفُرْقَانَ عَلَىٰ عَبْدِهِۦ لِيَكُونَ لِلْعَٰلَمِينَ نَذِيرًا

Blessed is He who sent down the Criterion upon His Servant that he may be to the worlds a warner -

get Quran App:https://goo.gl/w6rESk Al-Furqan 25:2

ٱلَّذِى لَهُۥ مُلْكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَلَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ شَرِيكٌ فِى ٱلْمُلْكِ وَخَلَقَ كُلَّ شَىْءٍ فَقَدَّرَهُۥ تَقْدِيرًا

He to whom belongs the dominion of the heavens and the earth and who has not taken a son and has not had a partner in dominion and has created each thing and determined it with [precise] determination.

get Quran App:https://goo.gl/w6rESk

NI MANENO YA ALLAH
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Huko hira akimuabudu Mungu gani?

Wakati huo Kaaba ulikuwepo??
Jiwe jeusi ilikuwepo???
Kwa nn jiwe ni jeusi???
Historia ya Alkaaba imejengwa na nabii.Ibrahim alipomtorosha Ismail na Hajra kutokana na vitimbi vya Sarah.
Na alifikishwa makkah.
Alkaaba ilijengwa kipindi ambacho nabii.Ibrahim akiwa kule makkah.
Na alitumwa liweka lile jiwe ndani ya Alkaabah.
Baada ya uzao wa Ibrahim kufariki waarabu wakaja kuichafua Alkaaba na kuweka masanam na kuabudia masanam.
Hii inatokana na kwamba Alkaabah ilijengwa makkah ikiwa bado jangwa na hakukuwa na. Mkazi karibia na Alkaaba ambaye MUISLAM.
Ndipo mtume alipokuja kuisafisha alkaaba kwa kuvunja masanam na lile jiwe likawa limefungwa na kitambaa na kuwekwa alkaaba pembezon.
KWAHIYO ALKAABA ILIKUA KABLA YA MUHAMMAD NA MUHAMMAD ALIIKUTA NA JIWE MUHAMMAD ALILIKUTA.
Mtume alikuwa akienda jabbar hiraa ili kukaa na kuepukana na ibada chafu za waarabu walizozirithi toka kwa mababu zao.
Wala hakuwa akiabudu chochote.
Bali alikua akienda kukaa tu kuepukana na ibada chafu.
Zikiisha huwa alikua akirudi nyumbani na kutulia na Bi.Khadija.
Kwahyo futa kauli yako ya Kusema Muhammad alikua anaenda hiraa kufanya ibada.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Huko hira akimuabudu Mungu gani?

Wakati huo Kaaba ulikuwepo??
Jiwe jeusi ilikuwepo???
Kwa nn jiwe ni jeusi???
Na lile jiwe halikuwa na chuma bali kulihifadhi ndio ufalme wa Suudia wakalizungushia chuma kile chenye kung,ara.
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
595
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
595 500
Ibrahimu wa Biblia Ni tofauti kabisa na huyowa quran,
Ibrahimu Tera no tofauti na Ibrahim uzeri.
Kaaba Ni ya wapagani ndugu yangu
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
595
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
595 500
Na lile jiwe halikuwa na chuma bali kulihifadhi ndio ufalme wa Suudia wakalizungushia chuma kile chenye kung,ara.
Chuma kipi??
Nn mantiki ya jiwe jeusi hapo Kaaba????
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Kwa Mujib wa quran vitu vyeusi Ni vichafu la ww unaliabudu jiwe jeusi kulikoni?
Nishaanza kukuchoka.
Usipende kulazimisha kitu jamaa Embu elewa basi acha ufala.
NIMEKUWA NIKIKUELEZA HATULIABUDU JIWE JEUSI.
NA NILIKUA NIKIKUULIZA MAANA YA IBADA UNAIJUA?
JE UNAJUA JINSI WAISLAM TUNAVYOABUDU??
NATAKA MAJIBU YA. HAYO MASWALI.
UNAJUA MAANA YA IBADA?
NA JE UNAJUA JINSI WAISLAM TUNAVYOABUDU?

ACHAGA UFALA JIWE JEUSI HATULIABUDU

1 Kuna riwaayah nyingi zilizotaja kuhusu Hajarul-Aswad (Jiwe jeusi) na asili yake, lakini nyingi kati ya hizo zina mashaka ya usahihi wake. Na katika Uislam hatutakiwi kutegemea marejeo ambayo hayajapatikana usahihi wake mia kwa mia. Kwa hiyo iliyo sahihi zaidi ni kuwa asili yake limewekwa na Nabii Ibraahiym ('alayhis-salaam) baada ya kumaliza kujenga Ka'abah na kutokana na amri ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa). Na sababu yake ni kuwa ni alama ya kuanzia kufanya twawaaf katika Ka'bah.
Kwa hiyo Muislamu hatakiwi kuambatanisha Utukufu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) na jiwe hilo kama alivyosema 'Umar ibnil-Khatwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) alipolibusu:
" ﺇﻧﻲ ﺃﻋﻠﻢ ﺃﻧﻚ ﺣﺠﺮ ﻻ ﺗﻀﺮ ﻭﻻ ﺗﻨﻔﻊ ﻭﻟﻮﻻ ﺃﻧﻲ ﺭﺃﻳﺖ ﺍﻟﻨﺒﻲ ﺻﻠﻰ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ ﻳﻘﺒﻠﻚ ﻣﺎ ﻗﺒﻠﺘﻚ " ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ
"Wewe ni jiwe tu ambalo halinufaishi wala kumdhuru mtu, na ingelikuwa sikumona Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) anakubusu basi nisingelikubusu". [Al-Bukhaariy]
Inavyompasa Muislamu anapojaaliwa kwenda 'Umrah au Hajj anapofanya twawaaf ni kulibusu akiweza, yaani ikiwa hakuna zahma ya watu katika Ka'bah, au kuligusa. Na ikiwa ni zahma kubwa ya watu basi haimpasi Muislamu kusukuma watu kulifikia kwa kujilazimisha hadi alibusu kwani si lazima, bali inatosha kunyanyua mkono wake wa kulia kwa mbali na kusema: “Allaahu Akbar.” Na hii pia ni kufuata Sunnah ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kama ilivyo dalili katika Hadiyth

NA NATAKA USHAHIDI KUWA KITU CHEUSI NI UCHAFU.
LETE MAANDIKO YANAYOELEZEA KUWA KITU CHEUSI NI UCHAFU.
KAKA USIPENDE KULAZMISHA MAMBO.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Niletee hiyo ayah katika quran inayosema kuwa kitu cheusi ni najisi sasa hiv niwe mkristo.
Kama haujui kitu mkuu ni bora uulize bhana.
Unafki na urongo haufai.
Niletee hyo aya hapa
Kwa Mujib wa quran vitu vyeusi Ni vichafu la ww unaliabudu jiwe jeusi kulikoni?
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
5,351
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
5,351 2,000
Leta ushahid kuwa ya wapagani.
Usipende kulazimisha vitu kaka.
UMEROPOKA mpk umekuwa pointless sasa hv unaongea chochochote ilimradi uonekane umeongea.
NIKIKWAMBIA leta ushahidi unashindwa
Ibrahimu wa Biblia Ni tofauti kabisa na huyowa quran,
Ibrahimu Tera no tofauti na Ibrahim uzeri.
Kaaba Ni ya wapagani ndugu yangu
 

Forum statistics

Threads 1,326,680
Members 509,566
Posts 32,230,813
Top