Israel yamdaka 'kama kuku' kiongozi wa ngazi ya juu wa Hamas

Huo msikiti ukibolewa unabii utakuwa umetimia, vita itapigwa sana sio hapo Israel pekee bali dunia nzima.
Waarabu watachachamaa sana
Haswaaaaaa ule mwisho u karibu

Ufunuo 22:11 SRUV

Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
 
Back
Top Bottom