Israel yamdaka 'kama kuku' kiongozi wa ngazi ya juu wa Hamas

kuna ndugu zako walio masikini hawana maji safi na mifumo bora ya maisha kama israel kingine hao huwa hawafatilii mambo ya africa acha shobo
wanafuatilia sana Africa na mamboye.Niligundua sababu ya kutolewa mugabe madarakani ,mapinduzi ya mali, mfadhili wa boko haram ni taifa gani,na vifo vya Goma kupitia chanel i24 ya Israel.Africa kuna mambo gani zaidi ya wizi wa hela za mafuta Nigeria, magonjwa, chuki za kidini Nigeria Sudan na somalia, na miradi ya wachina inayowajaza kuishi africa. kero tupu!!!!!
 
acha shobo kuna watu kijijini kwenu hawajala asubuhi hao unaowafatilia wamekula baga asubuhi
hapa tunatafuta ukweli wa nani mchokozi huko middle east. ugomvi huu mataifa ya kiarabu hupotosha sana watu kuhusu Israel pindi washambuliwapo na kupigwa na Israel.kumbuka 1973 tulilazimishwa kuvunja uhusiano wa kibalozi na Israel ingawa Misri ndiyo ilikuwa mchokozi.
 
Hivi usitishwaji wa mapigano baina ya Jeshi la Israel na Hamas ulihusu masharti yapi?

Sasa kwa nini Serikal i ya Israel inafuatilia fatilia Viongozi wa Hamas kwa lengo la kutaka kuwa maliza.

Israel will never succeed to exter minate Palestinians, they will fail just like Hitler failed to exter minate them Jews during WW2 - Israel leader should beware that History repeats itself, Palestinians too shall over come some day to gain independance from Israel sha kles of blatant racism.
 
Hapa mnapiga kelele weeeee kuhusu ufisadi wa ccm najaa juzi PM kagundua bado wanapiga tu sa utafanya nini??
 
hapa tunatafuta ukweli wa nani mchokozi huko middle east. ugomvi huu mataifa ya kiarabu hupotosha sana watu kuhusu Israel pindi washambuliwapo na kupigwa na Israel.kumbuka 1973 tulilazimishwa kuvunja uhusiano wa kibalozi na Israel ingawa Misri ndiyo ilikuwa mchokozi.
Wakipigwa "wanaonewa" wakiachwa "wanaogopwa" Waarabu bhana ukiwapiga kidogo wanasema "hata sijaumia" ukikandamizaa wanaliaaaa "Mamaaaaa naonewa huku"

Hao ndio waarabu
 
Hivi usitishwaji wa mapigano baina ya Jeshi la Israel na Hamas ulihusu masharti yapi?

Sasa kwa nini Serikal i ya Israel inafuatilia fatilia Viongozi wa Hamas kwa lengo la kutaka kuwa maliza.

Israel will never succeed to exter minate Palestinians, they will fail just like Hitler failed to exter minate them Jews during WW2 - Israel leader should beware that History repeats itself, Palestinians too shall over come some day to gain independance from Israel sha kles of blatant racism.
Kale kamsikiti ka Al aqsa kanawindwa kabomolewe lijengwe Hekalu la Mfalme Sulemani
FB_IMG_1621139883051.jpg
 
hapa tunatafuta ukweli wa nani mchokozi huko middle east. ugomvi huu mataifa ya kiarabu hupotosha sana watu kuhusu Israel pindi washambuliwapo na kupigwa na Israel.kumbuka 1973 tulilazimishwa kuvunja uhusiano wa kibalozi na Israel ingawa Misri ndiyo ilikuwa mchokozi.
Kuna mi nchi mia 2 achana na hivyo vinchi vidogo
 
Back
Top Bottom