Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
Duh, hizi ndo stori za vijiweni sasa na ushabiki. Mwaka 1956 Israel, ikishirikiana na UK pamoja na Ufaransa walivamia Misri. Hapa USA alitofautiana pakubwa tu na Israel. Na alikuwa anamsakama sana muisrael kuhusu mradi wa nyuklia. Baadae kibao kikageuka, akawa kitoto chake.
Kwanini aligeuka akawa kitoto chake???---- Nuclear ya US ni nani ali enginer???, sio Einstein ?!!, huyo ni mzungu??, Israel ni kitoto kitukutu Chenye akili katika kila nyanja, America anatumia huo uwezo wa hicho kitoto kujipatia maslahi yake , Israeli ni kama mkia wa mbwa na mbwa mwenyewe ndiye America, kuna kipindi mkia huwa unamtikisa mwenye mkia, why?? angalia List ya prominent American Jews katika:-
Academic, Activist, Art, Business , Entertainment, Legal systems , Military , politics ,Sports, Writer , nk.
Angalia athari zao katika siasa , jamii na uchumi wa America ili uone ni kwa jinsi gani hao American jews walivyojikita ndani ya America kiasi kwamba America inashindwa kupumua dhidi ya Israeli isipokuwa kulazimika kuipenda Israel kwa faida. Hii ni inside story iliyojificha kwa watu wengi sana, watu wengi wanajua story za media tu ambazo zimejaa vijiweni na katika mabaraza ya kahawa na alkasusu.