Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Iran

Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Sep 13, 2021 02:27 UTC

[https://media]

Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa droni yaani ndege zisizo na rubani za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina uwezo mkubwa wa kufanya mashambulizi makini na angamizi.

Kwa mujibu wa mujibu wa tovuti ya habari ya "Arab24," waziri wa vita wa Israel, Benny Gantz alikiri jana (Jumapili) kwamba moja ya zana muhimu za kijeshi za Iran ni ndege zake zisizo na rubani ambazo ni kama makombora ya balestiki na ndege za kivita, zinaweza kuruka umbali wa maelfu ya kilomita na kufanya mashambulizi makini na angamizi.

Kabla ya hapo pia, Uzi Rubin aliyepewa lakabu ya baba wa makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel alikuwa naye amekiri nguvu na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Iran akisisitiza kuwa, maenendeleo ya haraka iliyopita Iran katika miradi yake ya anga za mbali isiyo ya kijeshi na ya kijeshi, ni jambo linalotia wasiwasi mkubwa.

[https://media]Benny Gantz, waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel

Kamanda mwingine wa ngazi za juu wa jeshi la utawala wa Kizayuni naye pia amekiri kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kufanya mashambulizi makali na hatari kwa Israel na kuisababishia Tel Avavi hasara kubwa.

Meja Jenerali Aharon Haliva ameendelea kusema, ishara zote zinaonesha kuwa, kutaka na kukataa, mwaka 2020 si mwaka wa mafanikio ya kiusalama kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Seen
 
Ishi

πŸ˜‚ Ati nini? Aluminium sulphate ni base? ( Nimecheka kwa nguvu hadi nime kaukiwa , )​

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
asa unachokataa ww ni nini?
Kwanza kuna compound ambazo ni strong acidic in nature,weak acidic in nature,neutral na zingine zina depend number ya OH concentration moja wapo ni hyo aluminium sulphate.
hatuwez kusema ni acidic in nature hundred percent.
 
Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Sep 13, 2021 02:27 UTC

[https://media]

Waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa droni yaani ndege zisizo na rubani za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina uwezo mkubwa wa kufanya mashambulizi makini na angamizi.

Kwa mujibu wa mujibu wa tovuti ya habari ya "Arab24," waziri wa vita wa Israel, Benny Gantz alikiri jana (Jumapili) kwamba moja ya zana muhimu za kijeshi za Iran ni ndege zake zisizo na rubani ambazo ni kama makombora ya balestiki na ndege za kivita, zinaweza kuruka umbali wa maelfu ya kilomita na kufanya mashambulizi makini na angamizi.

Kabla ya hapo pia, Uzi Rubin aliyepewa lakabu ya baba wa makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel alikuwa naye amekiri nguvu na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Iran akisisitiza kuwa, maenendeleo ya haraka iliyopita Iran katika miradi yake ya anga za mbali isiyo ya kijeshi na ya kijeshi, ni jambo linalotia wasiwasi mkubwa.

[https://media]Benny Gantz, waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel

Kamanda mwingine wa ngazi za juu wa jeshi la utawala wa Kizayuni naye pia amekiri kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kufanya mashambulizi makali na hatari kwa Israel na kuisababishia Tel Avavi hasara kubwa.

Meja Jenerali Aharon Haliva ameendelea kusema, ishara zote zinaonesha kuwa, kutaka na kukataa, mwaka 2020 si mwaka wa mafanikio ya kiusalama kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Weka chanzo cha habari we muongo. Hiyo link haileti hii habari uliyoweka hapa.
 
sipingani na ww mkuu.
Ndiomaana nkasema US kuipiga Iran sio km hawez ila anahitaji kujitoa sana na hasara atakayopata haivumiliki.
Ila Israel kuipiga Iran ni uongo.
Ila kaka kuhusu uamuzi wa vita hapo kdogo nakinzana na ww maana US hana influence km mwanzo.
Na mataifa makubwa km Russia hususan China ikiingilia kati US hukaa pembeni.
Mfano North korea aloamua mzozo kutulia toka 1959 alikua China sio USA.
Asante. Kaka, ninakubali USA kimtindo ipo hatua za awali sana za kupungua nguvu. Lakini bado sana kuelekea kuzimika. Huenda sisi tukafa tukaicha bado inamalizia umwamba wake. Marekani ni mzee wa maslahi tu. Hiyo China kuonekana anaidhibiti NK, ina sababu zake, ni haohao USA wanataka hivyo. Wao washapima faida wanayoipata kwa hali ikibaki hivyo ilivyo sasa. Kumbuka hiyo miaka yoote huko nyuma, USA kawekeza mabilioni ya dola Uchina kwa kuhamishia viwanda vyake huko kufuata nguvu kazi rahisi China. Wakati amewekeza China, miaka yote utaona anamkoromea NK. Na kuna wakati anamkoromea mchina kuhusu urafiki wake na Korea. Lakini, hafanyi vita. Ukiongezea na uwekezaji mwingine pale Korea ya kusini, USA hawezi kufanya vita ile ya Baghdad maana itakula kwake. Hivyo, si rahisi hivyo kusema eti miaka yote hiyo anaiogopa China ama NK, kuna suala la maslahi. Kama unafuatilia, hata sasa Mchina anadhibitiwa kule bahari inayopakana na Japan, na hanusi. Kama Mchina ni mbabe, amfukuze USA kule tuone. Maana kwa sasa China ndo mtabe maeneo yale. Kule USA hatoki, maana akimuachia Mchina, ataichukua hata Japan ambayo USA ana maslahi nako pia.

Si kwamba hampi changamoto USA, MchINA anampa presha sana. Lakini, si kama wengi tunavyoamini eti China anaweza kusimama na USA kesho tu ,USA akasalimu amri. Kama hali ya mambo ikiwa hivi yalivyo, China ana nafasi ya kuja kumzimisha USA. Si leo lakini.
 
Ndugu unaleta mipasho badala ya facts?
Leta facts kupinga hilo sio mipasho ndugu.
Kama unapinga tulijadili hilo mwanzo mwenga.
 
Kaka umenivutia kujadili na ww duh una mengi sana ya kutugaia.
Lakini kaka vipi kuhusu south China sea ambako mchina kajimilikisha maeneo mpk baadhi ya philipines ambayo yana rasilimali bahari na US ameshindwa kumuondoa?
Pia kuhusu viwanda alivyowekeza US ndani ya China haimaanishi kuwa US amemdhibiti china kila kona.Na ashaanza kuviondoa baadhi toka ule mgogoro wa google kipindi cha Trump.
Pia US inatumia mali ghafi nyingi sana kutoka China hususan rare metals za utengenezaji simu na vifaa vya kieletroniki kwahyo ht US akisema aondoe viwanda kule anajiangusha yeye sio China.
Mm naamin China ana uwezo wa kumuangusha US kwa sababu tatu.
1)China anamdai USA deni kubwa sana zaidi ya trillion 20 dollars.
2)China ameshateka dunia kiushawishi wa kifedha,kisiasa na viwanda maana mwaka huu walitoa ripoti Benki kuu ya China imekopesha karibu robo tatu ya dunia.
3)USA inazidi kupoteza ushawishi kisiasa na kifedha ulimwenguni.
Kuhusu North korea na South korea kaka hilo tutalijadili taratibu maana una ujuzi mwingi kaka.
 
kuna watu wanachekesha humu ndani.
Eti Marekani hajapata sababu ya kuishambulia Iran.
Sababu zilipatikana nyingi sana tena kubwa kma kuiteka meli ya Uingereza ya mafuta,kuuza mafuta kibabe ilhali aliwekewa vikwazo,kuzidisha asilimia ya urutubishaj wa vinu vya nuclear,kushambulia kambi za US Iraq,kufadhili vikundi km Hizbollah na Houthi,kuzishusha drone ya Marekani.
Hizi sababu zingekua ni za nchi nyingine USA angeshavamia maana alijaribu akashindwa.
Kuhusu silaha toka 1979 Iran iliwekewa vikwazo vya silaha toka siku hiyo wakawa wana fabricate technology ya Russia na China wanaunda silaha zao.
Huyo anayesema Iran haiwezi kutengeneza silaha NAOMBA ANIJIBU KHORDAK BALLISTIC MISSILES SYSTEM IMETOKEA WAPI NA IMEUNDWA NA NANI?
MATLA UL-FAJR MISSILES ZA NANI?
NOOR MISSILES ZA NANI?
HIZI ZOTE HAZINA MFUMO HATA MMOJA WA KIMAREKANI.
Tena khordak ndio mfumo halis wa makombora wa Iran hata Russia hajachangia kuziunda.
Ingekua US anaweza akaipiga Iran km msemavyo angeshafanya ila anshindwa kwasababu mifumo ya ulinzi ya iran ni ya asili ya Iran 80% na asili ya Russia 20%.
Labda amtongoze Russia amuibie siri hapo atamuangusha kirahisi.
2011 kipindi cha Obama si kuna ndege nne za kivita zilishushwa Tehran bila kulipuliwa kipindi zimetumwa kushambulia?
Hapo bado hujajua Iran ana uwezo gani Iran?
Acheni kui underestimate Iran US sababu za kuipiga iran anayo ila anajua sio rahisi kupigana naye.
Bro hapa unapigia mbuzi gitaa
Watu wamekariri maisha na wapo kishabiki sana. Ukifuatilia vizuri utagundua Marekan anakila sababu ya kuishambulia Iran shida inakuja ni kwanamna gan atamuingia.
 
1) Iran sio waarabu. Sijui silaha zipi wamevumbua wenyewe na zipi wamekopi ila ninachojua wana silaha za kisasa.
2) Hana nguvu kubwa kiuchumi kifupi wana hali ngumu sababu ya vikwazo.
3)Hawana teknolojia ya Marekani na kuishusha Drone ya kisasa sio rahisi kama unavyofikiri.
4)Israel ndio anaongoza kupokea msaada wa silaha na fedha kutoka Marekani. Ni silaha gani hizo ambazo Israel amevumbua?
5) Iran wameweza kuishambulia kambi ya Marekani Iraq pamoja na kuwa na mifumo ya ulinzi, wahouthi( Yemen) walishambulia visima vya mafuta vya Saudia Arabia inayolindwa na mifumo ya ulinzi ya Marekani. Kwa mifano hiyo bado unaamini Marekani anaweza kushinda kirahisi? Na usisahau strait of Hormouz ipo kwao, wana milima ya kutosha, population kubwa na nchi ni kubwa.
mkuu kuna watu wanamahaba na Islael kama wanatiwa midole
 
Bro hapa unapigia mbuzi gitaa
Watu wamekariri maisha na wapo kishabiki sana. Ukifuatilia vizuri utagundua Marekan anakila sababu ya kuishambulia Iran shida inakuja ni kwanamna gan atamuingia.
Ni kukaza kichwa tu kaka ila ukweli wanaujua.
ila Iran sio rahis kuiangusha sio kwamba US hawez ila je kwasasa yuko tayar kuzimudu gharama?
 
Genius kampigia makofi kilaza
Ndiyo hapo sasa, Israel alijuaje maguvu aliyo nayo adui yake mkubwa? tena maguvu ambayo ni siri!! hiyo ni siraha kubwa sana kumtisha Iran, ina maana tupu yake inayo muingilia mkewe iko wazi, nchi zote jirani maadui si ndo kabisaa wanajinyea mpaka sasa, walie tu!
 
Yani unaona katika mahusiano ya US na Israel, ni Mmarekani ndiye anaepata msaada kiteknolojia toka Israel? Kama hiki ndicho unachomaanisha, itakuwa kituko kikubwa. Si kwamba Wayahudi wamechoka, hapana. Hawa jamaa kama walivyo mahasimu wao Wafursi (Wairan) wapo vizuri sana vichwani. Hata historia inaonesha hivyo. Lakini, kama unavyoona kwa Mfursi, US akikupa alama ya ushetani tu, umekwisha. Hii ndiyo inamla Iran kwa sasa. Kwa unafiki na undumilakuwili wa USA, siku maslahi yakihamia Iran, dunia hii itakuwa kama movie ya kina Van Damme.

Kuhusu kuwepo kwa Wayahudi kwenye sekta ya sayansi na teknolojia kule US, si kigezo kuwa Marekani = Israel. USA haina mwenyewe (ukiacha Wahindi wekundu ambao wanaelekea kumalizwa), yeye vichwa vyote ulimwenguni anavitumia. Hata Wairan wapo kule, tena kwenye sayansi hizo za fizikia na kemia.

Screenshot_20210916-215414.png
 
Haijakataliwa kuwa Israel ana technology ila sio kusema anaizidi US kwa tech huo ni uongo.
Israel inasapotiwa na Marekani kifedha na silaha hata ndege vita anazotumia ni advancement ya US made fighter jets.
Huo ushahidi wa financial support tutakuletea na ya silaha kaka.

View attachment 1940991

Wanasayansi wake wanaomchango mkubwa wa mambo ya kisayansi huko America, Israel anayo mahusiano makubwa ya KISAYANSI na Hi tech na America, kuna researches nyingi "ZA SIRI" wanazifanya kwa pamoja, jambo hilo ni moja ya mambo yanayokuza uhusiano kati yao. Huko America kuna mascientists wengi Waisraeli, huwezi kuzungumzia juu ya Sayansi ya American na Russia (Soviet union zama zile) bila kutaja Waisraeli, Kwa upande wa US huwezi kutaja sayansi ya American bila kuzungumzia wanasayansi Waisraeli waliopo huko Marekani na uhusiano kati ya Israel na America.---- Hawa jamaa kubali au kataa au uwachukie ukweli ni; they are nentally gifted by God in many fields.
 
Ndugu hebu kuwa serious aisee, yani unaweza kuleta hiki kitu ukaona ni rejea aisee? Hivi unashindwa kuona kwa aina hiyo ya uandishi, hata China na Japan zinaweza kutajwa hivyo? China kwa sasa, kwa mfano, si unaweza sema ndiyo anatawala ulimwengu, lakini ndo ukweli?

Halafu usidhani labda tunafanya ushabiki, tunajua mziki wa wayahudi, lakini tunafahamu pia jeuri yao inapotoka. Ninakueleza, siku USA akimtema, akawekeza kwa kina Iran, tutakuja kusema Iran kijogoo kumbe ni kazi ya USA. Hivi unafahamu hata Japan ni USA ndo aliamua iwe vile ilivyo? Soma kitabu kinaitwa HOW THE WORLD WORKS kilichoandikwa na Noam Chomsky, kitakujuza mengi kuhusu hila za USA.

Chomsky ni Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi. Ni mwanazuoni na mkosoaji mkubwa wa sera za Marekani
 
Wanasayansi wake wanaomchango mkubwa wa mambo ya kisayansi huko America, Israel anayo mahusiano makubwa ya KISAYANSI na Hi tech na America, kuna researches nyingi "ZA SIRI" wanazifanya kwa pamoja, jambo hilo ni moja ya mambo yanayokuza uhusiano kati yao. Huko America kuna mascientists wengi Waisraeli, huwezi kuzungumzia juu ya Sayansi ya American na Russia (Soviet union zama zile) bila kutaja Waisraeli, Kwa upande wa US huwezi kutaja sayansi ya American bila kuzungumzia wanasayansi Waisraeli waliopo huko Marekani na uhusiano kati ya Israel na America.---- Hawa jamaa kubali au kataa au uwachukie ukweli ni; they are nentally gifted by God in many fields.
Hizi stori tunazipigaGa vijiweni πŸ˜‚ Marekani haina kabila la asili ukiacha wale wahindi wekundu ambao wanawaangamiza. Kwahiyo,Marekani ina kila mtu toka pande zote za dunia. Ni kweli wayahudi wapo huko USA, lakini kuna mamilioni ya rangi zingine pia. Kila mtu akisema eti wana wataalamu wengi huko USA kwahiyo ndo ionekane USA ni cha mtoto kwao, basi UK ndiye ingeongoza maana ni koloni lake lile. Watu wa asili ya UK ni wengi tu kule. Lakini mpaka leo mahusiano ya UK na USA ni ya kuviziana tu.

Kinachoziunganisha USA na Israel ni maslahi tu. USA ana hesabu kali sana. Pale Ghuba kuna uislamu wa kisuni (Saud Arabia, Emirates n.k.), kuna Shia (Iran) na Wazayuni (Wayahudi). Kazi ya USA ni kuhakikisha pande tatu hizi hazipikiki chungu kimoja. Anachoma huku, anazima kule, anapuliza huku, anachoma kule. Kwa hiyo, Israel ni sehemu muhimu kimkakati. Waislamu wakichachamaa na kuungana, USA ana kasehemu ka kutua ndege na kuweka manowari zake za kivita. Na ili kuhakikisha anawadhibiti waarabu vizuri, anaijaza Israel silaha nzito balaa. Kumbuka USA ndo anawapa silaha wote wale, kwa ufadhili ama kuziuzia. Anajua nani nimpe nini. Aliye na hali mbaya ni Iran tu, tangu wagombane anachezea vikwazo kwa kwenda mbele.

Mikakati hii ni muhimu kwa USA kwa sababu za kiuchumi (mafuta na kuuza silaha) pamoja na kujitanua (expansionism) kunakoendana na usalama kuhakikisha dola na ubepari unatamalaki
 
Ulichoandika ni kitu cha kidhahiri ambacho hakihitaji akili kubwa kukitafakari kwa maana hicho ndicho kinachosemwa kila uchao, ni hadithi zilizojaa kwenye media, mitaani nk.

Hadithi ninayokupa mimi ni underlying, imejificha haijulikani na wengi narudia kusema; kitu kingine kinachoimarisha uhusiano kati ya America na Israeli ni usuhuba wa Sayansi na Technology, Weka pembeni mambo ya uchumi.----- uwezo MKUBWA wa akili zao katika nyanja nyingi zinafanywa wapendwe, watumiwe nk, na America, kama jinsi uwezo mkubwa wa akili zao ulisababisha Hitler awachukie kwa America ni kinyume.

Kwa America Israeli na waisraeli wametoa mchango mkubwa kuifanya Marekani iwe super power dhidi ya Soviet union, kumbuka hili jambo muhimu pia.
 
Duh, hizi ndo stori za vijiweni sasa na ushabiki. Mwaka 1956 Israel, ikishirikiana na UK pamoja na Ufaransa walivamia Misri. Hapa USA alitofautiana pakubwa tu na Israel. Na alikuwa anamsakama sana muisrael kuhusu mradi wa nyuklia. Baadae kibao kikageuka, akawa kitoto chake.
 
Wanasayansi wake wanaomchango mkubwa wa mambo ya kisayansi huko America, Israel anayo mahusiano makubwa ya KISAYANSI na Hi tech na America, kuna researches nyingi "ZA SIRI" wanazifanya kwa pamoja, jambo hilo ni moja ya mambo yanayokuza uhusiano kati yao. Huko America kuna mascientists wengi Waisraeli, huwezi kuzungumzia juu ya Sayansi ya American na Russia (Soviet union zama zile) bila kutaja Waisraeli, Kwa upande wa US huwezi kutaja sayansi ya American bila kuzungumzia wanasayansi Waisraeli waliopo huko Marekani na uhusiano kati ya Israel na America.---- Hawa jamaa kubali au kataa au uwachukie ukweli ni; they are nentally gifted by God in many fields.
Ukisema hivyo unapambisha mkuu.
Embu tuongee uhalisia kidogo.
Ingekua Israel anajiweza hasa kitech kumzidi US basi zile pesa za msaada billion 3+ dollars anazopewa kila mwaka ange develop kwake utengenezaji wa ndege vita na makombora ila kila mwaka leo anapata misaada ya silaha kutoka US.Hata km ndio ushirikiano kaka ndio ujenge kwa mwenzako halafu kwako upaache utegemee misaada!?
Mwaka huu kipindi vurugu za Hamas na IDF zikitokea bunge la senate US limepiga kura kuinyima msaada wa silaha Israel pale ilipotishia kulipua shule ya UN ukanda wa Gaza.
Hapo tu inajulisha baba nani mtoto nani.
 
Back
Top Bottom