Israel yalazimika kukiri nguvu kubwa za kijeshi za Iran

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,189
2,000
Duh, hizi ndo stori za vijiweni sasa na ushabiki. Mwaka 1956 Israel, ikishirikiana na UK pamoja na Ufaransa walivamia Misri. Hapa USA alitofautiana pakubwa tu na Israel. Na alikuwa anamsakama sana muisrael kuhusu mradi wa nyuklia. Baadae kibao kikageuka, akawa kitoto chake.


Kwanini aligeuka akawa kitoto chake???---- Nuclear ya US ni nani ali enginer???, sio Einstein ?!!, huyo ni mzungu??, Israel ni kitoto kitukutu Chenye akili katika kila nyanja, America anatumia huo uwezo wa hicho kitoto kujipatia maslahi yake , Israeli ni kama mkia wa mbwa na mbwa mwenyewe ndiye America, kuna kipindi mkia huwa unamtikisa mwenye mkia, why?? angalia List ya prominent American Jews katika:-

Academic, Activist, Art, Business , Entertainment, Legal systems , Military , politics ,Sports, Writer , nk.

Angalia athari zao katika siasa , jamii na uchumi wa America ili uone ni kwa jinsi gani hao American jews walivyojikita ndani ya America kiasi kwamba America inashindwa kupumua dhidi ya Israeli isipokuwa kulazimika kuipenda Israel kwa faida. Hii ni inside story iliyojificha kwa watu wengi sana, watu wengi wanajua story za media tu ambazo zimejaa vijiweni na katika mabaraza ya kahawa na alkasusu.
 

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,881
2,000
Mkizidiwa point ndivyo mnavyosema.
Tiktok unafananisha na hesabu za algebra?
Tiktok unafananisha na sulphuric acid?
Embu nambie ww tiktok na sulphuric acid kipi kitu useful ndgu?
Pia ht ktk vifaa vya utabibu na upasuaji vipo vilivyogunduliwa na wahajemi na waturuki.
Sisemi mm hata ukizama google utaambiwa.
Halafu uje unambie GOOGLE NAYO INA AKILI YA MADRASSA?
pambana kwa hoja sio ukishindwa unakimbilia madras
 

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,881
2,000
khordak ballistic missiles ni Iranian made we kijana.
Mwanzo mpk mwisho hakuna sehem wamesaidiwa.
Halafu usifananishe Iran na Tz utakua huna akili.
WAHAJEMI UNAOWABEZA WW NDIO WAGUNDUZI WA ALPHABETS,WAGUNDUZI WA SULPHURIC ACID,WAGUNDUZI W BAKGAMMON.
AYA NAMBIE HVYO VITU NI USEFUL AU SIYO USEFUL?
MSIPENDE KUKARIRISHWA FANYENI TAFITI
ikishindwa hoja inakimbilia kusema "" madrasa, hawa hovyo Sana
 

mack255

Senior Member
Aug 26, 2021
111
250
Ulichoandika ni kitu cha kidhahiri ambacho hakihitaji akili kubwa kukitafakari kwa maana hicho ndicho kinachosemwa kila uchao, ni hadithi zilizojaa kwenye media, mitaani nk.

Hadithi ninayokupa mimi ni underlying, imejificha haijulikani na wengi narudia kusema; kitu kingine kinachoimarisha uhusiano kati ya America na Israeli ni usuhuba wa Sayansi na Technology, Weka pembeni mambo ya uchumi.----- uwezo MKUBWA wa akili zao katika nyanja nyingi zinafanywa wapendwe, watumiwe nk, na America, kama jinsi uwezo mkubwa wa akili zao ulisababisha Hitler awachukie kwa America ni kinyume.

Kwa America Israeli na waisraeli wametoa mchango mkubwa kuifanya Marekani iwe super power dhidi ya Soviet union, kumbuka hili jambo muhimu pia.
Bro unapoteza muda kubishana na mtu mwenye akili ya madrasa na anazani amemaliza chuo na anataka kuwa mganga mkuu.
Kuna mmoja , kaniambia Aliminium Sulphate ni base, Alafu Hydrocloric Acid sio strong kuliko sulphuric Acid - Yani hapo wote hao ni vilaza , DON'T WASTE YOUR TIME , Bro
 

Kosugi

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
2,658
2,000
Bro unapoteza muda kubishana na mtu mwenye akili ya madrasa na anazani amemaliza chuo na anataka kuwa mganga mkuu.
Kuna mmoja , kaniambia Aliminium Sulphate ni base, Alafu Hydrocloric Acid sio strong kuliko sulphuric Acid - Yani hapo wote hao ni vilaza , DON'T WASTE YOUR TIME , Bro
Umeambiwa utoe fact umeshindwa unabaki ku attack watu.
Tuichambue hiyo chemistry hapa ubavu kwa ubavu km unabisha sulphuric acid haina concentration kubwa kuliko hydrochloric acid.
Jamaa hujui halafu unajifanya unajua.
Rudi shule
Kapitie acidic compound zinakujae,basic compound zinakuaje,neutral compound zinakuaje na zinawezaje kuwa acidic na basic based on conce of OH negative.
Uspende kudharau watu wakiongea eti wana akili za madrasa km unajua toa fact sio mipasho
 

mack255

Senior Member
Aug 26, 2021
111
250
Umeambiwa utoe fact umeshindwa unabaki ku attack watu.
Tuichambue hiyo chemistry hapa ubavu kwa ubavu km unabisha sulphuric acid haina concentration kubwa kuliko hydrochloric acid.
Jamaa hujui halafu unajifanya unajua.
Rudi shule
Kapitie acidic compound zinakujae,basic compound zinakuaje,neutral compound zinakuaje na zinawezaje kuwa acidic na basic based on conce of OH negative.
Uspende kudharau watu wakiongea eti wana akili za madrasa km unajua toa fact sio mipasho
Chemistry sio Siasa
1 + 1 = 2
 

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,563
2,000
Mwarabu ajavumbua chochote, silaha zote anazotumia uvumbuzi wake umefanyikia nchi za magharibi kisha wanatengeneza kupitia formular za nchi ya magharibi. Hii ni tofauti na vitu vya kiteknolojia vinavyotoka Israel - formular huwa tofauti na huwezi aribu mifumo haya. Iran ina Drone zilizotengenezwa kwa formular ya Mmarekani - ni rahisi sana kuzi shut-down bila ya kufanya tukio kwa sababu wamarekani wanajua mapungufu yapo wapi.

Iran ana nguvu ya kiuchumi , lakini akili hana. Israel na Mmarekani wana-uchumi na pia wanatumia akili

Bado unarudia yale yale,,,nani kakuambia iran ni waarabu??

Hapo kwenye uchumi, ume2mia kigezo gani kuisema iran akili hana!!!! Aise unajiaibisha mkuu. Iran huijui na wala hujaishipo.


Alafu unawapaisha US na israel 😁 while kwao wanakuona takataka tu, na wengine wanakufananisha na sokwe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom