Israel yajiandaa kuishambulia Iran muda wowote kuanzia leo

Kumbe Ibrahim ni muajemi!
Kwahiyo hawa wayahudi walitokea wapi?
Buj ibrahim alitokea iraq ni kweli wote hao ni watoto wa ibrahim kumbuka watoto wa isaka yani yakobo na esau isaka akambariki yakobo ambaye ni israel na esau aliambiwa na baba yake utaishi kwa upanga toka wakati huo hao ndugu ni vita vya kutaka kutoana roho chanzo ni esau kuuza ukubwa kwa uji na kukosa baraka za baba yako kiufupi ni Mungu tu atakayemaliza matatizo ya israel na mashariki ya kati
Hakuna anayeweza futa israel ni wateule taifa la Mungu mashariki ya kati wote wanajua israel ni nani
 
Ajaribu kurusha ata kokoto ardhi ya Iran, nakumbuka yule mkuu wa majeda wa Iran alipoulizwa ungechukua hatua gani kama Marekani ingekijibu yale mashambulizi ya kushambuliwa kwa kambi zake, alijibu kulikua kuna ballistics 1200 taari zimeshaekwa kwa kujibu shambulio moja tu liwe limefanikiwa au halijafanikiwa

Unafkiri huyo DT siku ile akili hazikumrudia? Maana alipata vichaa wenzake, hio kasi ya ballistic si rahisi kuiintacept na Marekani angechezea kichapo sana maana siku izi vita imebadilika, nchi kama Iran wamechelewa sana kuipatiza kuidhoofisha na haiwezekani tena milele
hivi unajua bajeti ya jeshi la marekani kwa mwaka tu.endelea kuropoka pumba zako hujui nguvu ya marekani kijeshi
 
Hakuna anayeweza futa israel ni wateule taifa la Mungu mashariki ya kati wote wanajua israel ni nani
Kwahio taifa lako ni lashetani? Acheni propaganda, taifa la Mungu wanaongoza kwa wasenge, laana zote zinafanyika huko, kwani ile sehem iliogeuzwa juu chini na Mungu unafkiri ni sehem gani, Taifa teure hilo mbona halikuombewa na Mungu wao 2006 ilipochezea kichapo
 
Sawa endelea

Hayo unayoyasema ndo yamekuwa yanasababisha Israel kupigwa na maadui zao na kutekwa waliwahi pigwa na kutekwa na wairan (uajemi),iraq sababu ni kuacha kumcha Mungu na kuishi kama mataifa mengine.ILA ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU HAPA DUNIANI
 
Kwa akili zako unafkiri Iran hana Nuclear? Walipojibu kwa maneno kuwa wataifuta Israel kwenye ramani ya dunia ulifkiri wataifuta kwa kutumia kitambaa hahahahaha
Sasa kuwa makini Iran isije ikaanzwa kufutwa maana sera za israel zipo wazi tu adui haanzi adui anaanzwa na kumalizwa
 
Ajaribu kurusha ata kokoto ardhi ya Iran, nakumbuka yule mkuu wa majeda wa Iran alipoulizwa ungechukua hatua gani kama Marekani ingekijibu yale mashambulizi ya kushambuliwa kwa kambi zake, alijibu kulikua kuna ballistics 1200 taari zimeshaekwa kwa kujibu shambulio moja tu liwe limefanikiwa au halijafanikiwa

Unafkiri huyo DT siku ile akili hazikumrudia? Maana alipata vichaa wenzake, hio kasi ya ballistic si rahisi kuiintacept na Marekani angechezea kichapo sana maana siku izi vita imebadilika, nchi kama Iran wamechelewa sana kuipatiza kuidhoofisha na haiwezekani tena milele
Mbona unaropaka sana punguza kusikiliza radio Iman,nakusoma magazeti ya parsday na Igna hivi kweli Iran ilivyochoka kiuchumi na vikwazo itaweza kusimama kwenye ulingo wa vita na marekani?hata mwezi mmoja Iran itaangamizwa
 
Kwahio taifa lako ni lashetani? Acheni propaganda, taifa la Mungu wanaongoza kwa wasenge, laana zote zinafanyika huko, kwani ile sehem iliogeuzwa juu chini na Mungu unafkiri ni sehem gani, Taifa teure hilo mbona halikuombewa na Mungu wao 2006 ilipochezea kichapo
Kichapo gani akati israel hawakufikia malengo tu wakati hezbollah wengi walikufa,na walebanon wengi walikufa na miundo mbinu mengi ya lebanon iliharibiwa
 
Ajaribu kurusha ata kokoto ardhi ya Iran, nakumbuka yule mkuu wa majeda wa Iran alipoulizwa ungechukua hatua gani kama Marekani ingekijibu yale mashambulizi ya kushambuliwa kwa kambi zake, alijibu kulikua kuna ballistics 1200 taari zimeshaekwa kwa kujibu shambulio moja tu liwe limefanikiwa au halijafanikiwa

Unafkiri huyo DT siku ile akili hazikumrudia? Maana alipata vichaa wenzake, hio kasi ya ballistic si rahisi kuiintacept na Marekani angechezea kichapo sana maana siku izi vita imebadilika, nchi kama Iran wamechelewa sana kuipatiza kuidhoofisha na haiwezekani tena milele
kwa hiyo kwa akili yako unaamini iran inaweza kupigana na marekani? na ikamshinda? hata sadam alikuwa anatisha hivyohivyo mwisho aliokotwa kwenye mtaro. hata gadafi pia.
 
Ulishaona iran inavamia nchi na kuanza vita??
hiyo iran unayoisifia jua Marekani alishakuwepo pale akiisaidia ipigane na sadam/iraq, anawajua in and out, kinu chao cha nyukes wanawaona kila wanachofanya wakiwa kulekule marekani, iran inatumia mifumo ya mitandao ya magharibi, simu na internet za magharibi, na watu wa magharibi hawajawekeza sana pale kwamba wataogopa kuvuruga uchumi kwamba wao wataathirika, wanachoogopa tu mafuta yatapanda bei basi, jambo ambalo kama hamna namna wataona kama noma na iwe noma. otherwise kwenye ulingo wa vita iran hana uwezo kupigana hata na israel tu. kwanza wakizima tu internet watu wasiwasiliane, uchumi utavurugika wiki moja tu. ndio maana wanapigwa vikwazo everyday. kama ana uwezo kwanini asijibizane na yeye kuwawekea vikwazo wamagharibi?
 
Wazime unternet yao watahamia kwa net ya russia
 
Netanyahu amekuwa akiitumia Iran kisiasa Ili kujipatia ushawishi wa kisiasa this time huu ujinga watu hawautaki wanataka asepe na ufisadi wake
 
Back
Top Bottom