Israel yaishutumu Marekani kwa kupanga kura dhidi yake

Netanyahu aliwezaweja kulihutubia bunge la marekani bila Obama mkuu??
Hilo bunge liliongozwa na waRepublicans, kwa wakati ule ilikuwa ni silaha yao ya kumuudhi Obama kwa makusudi, ila nakumbuka baadae kinara mpango ule alikuja jiuzulu.
 
Wakati mwingine mtoto ukimdekeza udhani unamwogopa, ni waafrica tu hasa watanganyika ndo wamebaki watumwa wa kifra wa Israel wazungu wameshawachoka mpaka baba mlezi US ameshaonyesha dalili ya kuwachoka na kwa Trump watapata wakati mgumu sana na muda si mrefu Israel inakwenda kuwekewa vikwazo vya uchumi na UN
Usijidanganye Trumph yuko na Israel mia kwa mia anataka kujenga ubarozi wa USA Jerusalem.
 
Uelewa wako nauhisi ni mdogo. Nimeandika HISTORICAL facts, wewe unakimbilia FUTURE probabilities! Hapa tatizo ni wewe.
Nadhani umekariri baadhi ya mambo ambayo huyaelewi vizuri, taratibu za kibunge huwa zinaruhusu kuwaalika wageni kutoka nchi nyingine, na hii ndio sababu hata kwenye bunge letu huwa kuna kipengele cha kutambulisha wageni.Nyetanyahu alienda kwa mwaliko wa Republicans ambao ndio wanachukua nchi na Trump tayari kashatia nia ya kuiunga mkono Israel tena akitaka ubalozi uwe Jerusalem. Pengine hii itakusaidia zaidi kwani ilikuwa completely at loss.
 
Atakaye inariki Israel nitambariki na atakayeilaani nitamlaani.

JPM anajua hilo na laana ya Tanzania ilianzia huko ndio maana kaanzisha ubalozi wa Israel na Sasa JPM hata asipoombewa na watu,MUNGU WA ISRAEL kishambariki na kumpa miaka mingi yenye heri duniani.

Akhsante baba JPM,hakika utakumbukwa vizazi na vizazi!
 
Usijidanganye Trumph yuko na Israel mia kwa mia anataka kujenga ubarozi wa USA Jerusalem.
Hahahahahhahaha nataka kukwambia katika watu wakiongea kitu hawamaanishi kutoka moyoni ni Trump na katika watu ambao dunia aiwaamini na wameshindwa kujua msimamo wake kabisa ni Trump niambie tu kitu kimoja tu alichosema ktk kampeni yke bado anasema atakitekeleza kwa 100% kama alivyosema? kuanzia ukuta Mexico sasa ni face tena ya senyenge si ukuta tena ok alisema ataondoa Obama care sasa kuilekebisha si kuondoa alisema atafukuza wahamiaji wote haramu US kuna watu milion 8 ni wahamiaji haramu lakini sasa wataondoka watu milion 3 tena wale wenye makosa ya jinai vipo ving sana alisema lakini now kabadilisha pia unatakiwa kujua Trump si mwanasiasa na hajawai kufanya kazi sehemu yeyote zaid ya Trump empire kwa maaana ya biashara zake tu na swala la Israel ni swala la kisiasa

NOTE : Trump ni mtu ambae ashauriki hata kidogo analodhani yeye ni sawa bhas ni hvyo hvyo hata kama ni la hatari kiasi gani leo hakuna mwanasiasa yeyote wa Democrat au Republican anayetaka mahusiano mazuri kati ya US na Russia kwani mahusiano hayo yanawatisha hata EU likini Trump kahamua yeye kama yeye juu ya ushwahiba wa Trump na Putin utaleta pia ushwahiba wa US na Russia kitu ambacho ni hatari kwa nchi za Ulaya na NATO kiujumla kumbuka NATO ni special kwa ajili ya kujilinda na Urusi na 50% Ya bajeti ya NATO ni US ndo anatoa na Trump kasema kila nchi wachangie sawa sawa je unadhani itakuwaje ? ninachokwambia ktk watu ambao si wakuamini ni Trump maana mahamuzi yake ni kama Juma . P. Mapungo
 
Nadhani umekariri baadhi ya mambo ambayo huyaelewi vizuri, taratibu za kibunge huwa zinaruhusu kuwaalika wageni kutoka nchi nyingine, na hii ndio sababu hata kwenye bunge letu huwa kuna kipengele cha kutambulisha wageni.Nyetanyahu alienda kwa mwaliko wa Republicans ambao ndio wanachukua nchi na Trump tayari kashatia nia ya kuiunga mkono Israel tena akitaka ubalozi uwe Jerusalem. Pengine hii itakusaidia zaidi kwani ilikuwa completely at loss.

Utaelewa tuuu. Jibu hili swali;

Netanyahu alipolalikwa na Congress ya republicans, kisha akaingia USA kama kiongozi wa taifa lingine dhamana ya USALAMA wake ilikuwa kwa Congress au ofisi ya Rais Obama? kwa namna nyingine ni ofisi ipi ili-dispatch kundi la Secret Service agents kumlinda?

Plz waza vyema kabla ya kujibu
 
Utajua tu kwa nini imekuwa vigumu kwako kuijua Israel kuwa ni potential kwa nguvu za kiteknologia, kiuchumi, kijeshi , kilimo, kielimu, uwekezaji mkubwa katika elimu unawezesha hayo maendeleo yake, mmarekani ni msaada kwake lakini huyo mtoto ana uwezo wa Kujibeba, rejea vita ya 1948,67,73,81,2002,06,14 kwa uwezo wa nchi za kiarabu wangeweza kuiufutilia mbali wanabaki wanalilialia tu, suala la ulinzi wa ndani nawapa big up, fika miji kama Jerusalem, ashkelon, tel Aviv imejengeka, mfumo wa kilimo na maji upo juu, shule zao zinafundidha uzalendo na uchungu wa utaifa tangu enzi za Ben gurion na wengineo wengi, Israel ipo hiyoooo kwa sasa na kiboko wa middle east
 
Kuna Wamarekani wanauliza, Waisrael kwa nini wailaumu Marekani wakati Marekani ni Taifa huru lina haki ya kuexercise any foreign policy inayoitaka?.

Wanauliza kama Israel wanasema wao ni ally wa Marekani, je Wao Israel wanaipa nini Marekani, mbona ni Marekani pekee ndo inaipa misaada Israel, na huwa inawalinda kwenye security council?
 
Israel ndo mjenz nambar one wa taifa la America
Hakuna lolote hapa Obama kesho kutwa out ndo utajua Israel ni nchi ya aina gani hats bila marekan itajitetea.
 
Israel ndo mjenz nambar one wa taifa la America
Tatizo mmekaririshwa, soma sana akina Max na Plato, Mungu aliumba viumbe wote sawa tofaut ni mazingira tu,,,, Marekani imeendelezwa na Mwingereza hapo kabla ya uhuru na baada ya uhuru wake, imeendelezwa na watu wa dunia nzima,,,,,, Akina Einstein wasiwachanganye ni myahudi sehemu ya watu wengine wa dunia hii waliovumbua vitu vya kutisha
 
Back
Top Bottom