Israel Yaimarisha Vituo Vyake Vya Nuklia Baada Ya Vitisho Vya Iran

Israel haijawahi mtishia yeyote zaidi ya wao kujilinda wenyewe!
Kwani Irani pasipokumchokoza alishawahi tangaza Taifa gani atalitwanga na Nyuklia, Kama alivyo Israel anatengeneza silaha Kali na Irani hivyo hivyo kwa madhumuni ya kujilinda na maadui....lkn dunia Ina wapuuzi wa dunia mwingine akitengeneza haulizwi mwingine akitengeneza anawekewa vikwazo....ujinga mtupu
 
Iran ilishasema inataka kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia sasa wewe unataka Israel iendelee kusubiri tu bila kufanya lolote?
 
Mtakuja kuniambia... anytime israel itapotezwa na Iran...waajemi sio watu wazuri
Angalia usije ukafutika wewe Israel ikaendelea kuwepo.... Israel ndo taifa lenye maadui wengi na limezungukwa na maadui kila upande na mpaka leo ipo na hao maadui wanajua Israel nani.... Angalizo kama Iran hataki kuwepo kwenye ramani ya Dunia basi ajaribu
 
Iran na israel bado wanapigana kwa njia ya proxy,undefinedsiku israel akishusha makombora ndani ya iran,ndo utaona response ya iran,kabla ustarajie iran akarusha kombora kwenda israel
 
Back
Top Bottom