Movie + propaganda vimekuathiri mkuu , waulize delta force waliopelekwa Somali na Vietnam kitu kilichowakuta hawatokuja kusahauKwa watu wasio fahamu mambo ya ujasusi na covert operations za mossad,shabak,wanaweza wakafurahia hili tukio!!
Kwa wenye macho ya kijasusi,Ili tukio linaweza kuwa ni operation iliyoandaliwa na vyombo vya ujasusi vya Israel,Kati ya "waliotoroka"Kuna mmoja ameishakuwa "recruited"kufanya kazi na Israel,sasa Ili aweze kuwa source nzuri ya taarifa inabidi aachiwe,arudi kwenye kikundi chake,iwe Hamas,fatah,palestina authority?!!swali ataachiwaje?ni ama afungwe mpaka kifungo kiishe,au tukio la kutoroka lipangwe,Ili atoroke,Kiasi kwamba kwa macho ya raia wa kawaida wataona kweli jamaa katoroka,na viongozi wenzie watamkaribisha,atakuwa karibu na viongozi wa juu kabisa wa mamlaka za kipalestina!!na hapo Israel itakuwa imefanikiwa kupandikiza spy wao ndani kabisa jikoni.
Hizi ni intelligence operations.
Kwenye magereza yote Israel Kuna mbwa,fence,drone,askari wenye silaha harafu mfungwa achimbe shimo kwenye sakafu mpaka atokee upande wa pili??!
C mon men let's us not be naive!!
It can only happen in movies or dreams!not in Israel prisons
Movies zimewaathiri sanaHawakuwadunga tracking chips?
Ngoja tusubiri comments za Mayahudi wa Nzega.