Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Ni kama Series ya Prison break. Wapiganaji wa Kipalestina wa brigade ya AL Aqsa wamefanikiwa kutoroka jela yenye ulinzi mkali liitwalo 'Safe' huko Gilboa Israel. Jamaa Hawa wamechimba shimo chini ya sink la Kunawia likatokea mashamba ya jirani ya barabara.
Jeshi linaamini kuwa Hawa jamaa walitumia koleo waliloficha kwenye bango na walichimba shimo Hilo kwa miezi kadhaa.
Wanakijiji walitoa taarifa kwa Serikali baada ya kuona watu wasiojulikana mashambani.
Hamas na vikundi vingine vya kiislam vimeusifu ushujaa huo wa askari wao na kusema hawazuiliki.
Mamlaka za Israel zimeweka vizuizi ili kuwakamata. Inasemekana jamaa wamechukuliwa na Gari ambalo walikua wakiwasiliana nalo kwa simu ya wizi.