Israel Soldiers Throw Tea Gas Grenades at Praying Palestinian Muslims

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
4,706
2,000
Ndugu zangu waislamu na wasiokuwa waislamu, naomba mufungue hiyo YOUTUBE ni ya hivi karibuni, muone hao waisrael jinsi gani walivyo makatili dhidi ya waislamu, wamerusha mabomu ya machozi/Tea gas grenades hali yakuwa waislamu wakiwa katika ibada na kusababisha waumini kukatiza sala na kukimbia hovyo na wengine kugaragara chini. Sub hanallah! inasikitisha sana kuona ndugu zetu wapalestina wakitaabika dhidi ya hawa madhaalim waliolaaniwa 😢😢😢 Allah atawalipa!

May Allah protect them, Amiin!

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,683
2,000
Nyie hata mfanyweje siwaoni huruma. Nyinyi ni wakorofi sana
 
chikanu chikali

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
1,070
2,000
Ndugu zangu waislamu na wasiokuwa waislamu, naomba mufungue hiyo YOUTUBE ni ya hivi karibuni, muone hao waisrael jinsi gani walivyo makatili dhidi ya waislamu, wamerusha mabomu ya machozi/Tea gas grenades hali yakuwa waislamu wakiwa katika ibada na kusababisha waumini kukatiza sala na kukimbia hovyo na wengine kugaragara chini. Sub hanallah! inasikitisha sana kuona ndugu zetu wapalestina wakitaabika dhidi ya hawa madhaalim waliolaaniwa 😢😢😢 Allah atawalipa!

May Allah protect them, Amiin!

Saf sana Israel ndo maana nawapenda sana hao jamaa wakorofi sana
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,167
2,000
lazima kutakuwa na sababu hawezi kurusha hivi hivi
Unaweza kusema sababu ni nn??
Au wale watoto wadogo alokuwa anawafukia na kuwabakiza vichwa kisha kuwakanyaga na vifaru nao amewaua kwasababu ??
Hao ni wananchi wa kawaida sababu ni ipi mpk awaumize hivyo??
 
Ummayed

JF-Expert Member
May 21, 2019
6,167
2,000
Nyie hata mfanyweje siwaoni huruma. Nyinyi ni wakorofi sana
Ukorofi wetu umetokea wapi??
Hao watu wamewafanya nn??
Huyo Israel anaua na kuwakanyaga na vifaru hadi watoto wadogo ,hao watoto pia walimletea Ukorofi gani??
Akili imejawa kasumba za kizungu tu
 
mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,433
2,000
Wacha kutafuta huruma.waisrael wako sahihi,waislam wakorofi wapigwe tu.
Ndugu zangu waislamu na wasiokuwa waislamu, naomba mufungue hiyo YOUTUBE ni ya hivi karibuni, muone hao waisrael jinsi gani walivyo makatili dhidi ya waislamu, wamerusha mabomu ya machozi/Tea gas grenades hali yakuwa waislamu wakiwa katika ibada na kusababisha waumini kukatiza sala na kukimbia hovyo na wengine kugaragara chini. Sub hanallah! inasikitisha sana kuona ndugu zetu wapalestina wakitaabika dhidi ya hawa madhaalim waliolaaniwa Allah atawalipa!

May Allah protect them, Amiin!

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom