Israel sasa ana jeuri ya F-35, inabidi kukaa mbali naye

Russia told them if they believe in what is called stealth, then let them fly over Syria with the intention of hitting Assad's men, they will be met by rude shock. Did they try? US is only better than others in propaganda.
Mbna mwezi huu Israel kashambulia bhna...Huyo Russia hata waarabu walishawah kumlalamikia anauwauzia rada feki... Hlf kinachonishangaza wao kila siku kusema stealth tec ya US ni mbovu wakt wao miaka na miaka wanashindwa kuimalizia stealth tec kwenye 5th gen fighter jet yao huku wakihangaika kudukua stealth project za US wakiongozwa na mzee na kukopi (China)...Wanasema za mwenzao mbovu wakati tumeziona kwenye battle na zimeonyesha mafanikio makubwa from F117 to B2 spirit bomber tena against hzohzo modern Soviet radars.
 
Mbna mwezi huu Israel kashambulia bhna...Huyo Russia hata waarabu walishawah kumlalamikia anauwauzia rada feki... Hlf kinachonishangaza wao kila siku kusema stealth tec ya US ni mbovu wakt wao miaka na miaka wanashindwa kuimalizia stealth tec kwenye 5th gen fighter jet yao huku wakihangaika kudukua stealth project za US wakiongozwa na mzee na kukopi (China)...Wanasema za mwenzao mbovu wakati tumeziona kwenye battle na zimeonyesha mafanikio makubwa from F117 to B2 spirit bomber tena against hzohzo modern Soviet radars.
Where was that battle held pitting Russia's S range of air defence system against US stealth technology?
 
sp
Halafu hiyo S400 unayosema kuwa haifui dafu kwa F35 sasahivi kuna dude linaitwa S500 upgrade ya kumtungua huyo F35 na generations zake. Wataalam wanakwambia Deadly ime get deadlier




speed ya ayo madude ni 7.8 times speed of sound
 
Israeli ni taifa teule la Mungu àitwaye Jehova.

ukiona umepigana nao na umeshinda ujue Bwana Mungu Jehova. Ameruhusu.

Ninachoshukuru serikali ya tz ni kufungua ubalozi Israeli maana imeandikwa atakayewabariki Israeli atabarikiwa ayakayewalaani atalaaniwa.
Ukiwa na akili ndogo ...ni janga kwel kwel
 
Wewe cyo Mkristo.... hakuna mkristo kama wewe......
Wacha uongo.
Mimi ni Mkristo na huwezi kunibadilisha. Narudia Israel ya akina Natanyahu na waisrael wa leo sio wale walioandikwa kwenye biblia right?? Nenda kasome vizuri Biblia utaratibu utakaotumiwa na wana wa Israel kurudi kwenye nchi yao ya ahadi na nini kitatokea watakapofika pale kwenye nchi ya ahadi. Achana na ushabiki na mafundisho uliopewa kwa miaka gede gede) na wewe unaufahamu wako fikirisha kichwa chako
 
Milokole kwa kutukuza isael noma.Kamwe siwezi kuamini maneno ya milokole.Waanzishe forum yao humu wasije kabisa
 
Baada ya haya maelezo marefu ungejiongeza kidogo tu, kwa swali kwa nini hii misaada yote Us waipeleke Israel na si Tanzania? Kerry jana/juzi katumia zaidi ya saa 1.30 kujitetetea maamuzi yao hapo UN kuhusu Israel. Netanyau katumia dakika chini ya 15 kumpuuza.​

Na washawasha!


Ngongo Unapodhani wewe unajua kuliko wengine unakatiwa pia kujua wapo wenzio wanajua kulko ww pia Mkuu ze kokuyo wewe unazungumzia Israel Aerospace Industries (IAI) hili ndio shirika pekee ndani ya israel wana deal na Aerospace ,Defence na Tech na project hyo unayoizungumzia ni ya mwaka 1980 project ya Lavi ilikuja kushindwa mwaka 1987 baada ya bunge la israel kuachana nayo si kwa kukatanzwa na US kama ulivyosema na chanzo cha bunge kuikataa ni kutokana na bajeti ya program yani program cost kuwa kubwa sana ndio maana siku hizi kuna joint strike project kwa ajili ya kupunguza mzigo wa project cost F -35 yenyewe tu project cost yake ni US$ 1.508 trillion sasa ni fedha nying sana kwa nchi ndo maana zinashirikiana nchi zaid ya moja kwenye hzo project
coz project cost ni kama una Bet kwani unaweza poteza fedha nying lakini uspate kile ulichokuwa au ubora uliokuwa unataka ww

Mimi naomba Ngongo uniambie ni ndege gani ambayo ipo kwenye service mpaka sasa iliyotengenezwa israel pia unitajie jina lake na jina la kampuni au taasisi iliyoitengeneza Taasisi pekee iliyondani ya israel ni IAI ambayo kwa sasa inadeal na Aircraft maintenace na Aircraft upgrade hizi ni ndege za kiraia yani Business Aircraft ze kokuyo Tech za kijeshi ni tofauti sana na tech za kiraia tech ya kijeshi ipo mbele ya tech ya kiraia kwa zaid ya miaka 50 kwa maendeleo ya kitechnology wakat tech ya kiraia mnategemea mtu tech ya kijeshi ilishapita huko kwenye miaka ya 1957

Tech ya kijeshi ni tech ambayo inatumia akili sana na kikitengenezwa kitu kinatengenezwa in Best Performance : na ndo maana uwezi kukuta kitu au silaha ya kijeshi ina grade sijui hii ni grade number 1 au 2 no uwezi kukuta eti kuna fake kama ilivyo vitu vya kiraia so kama ikitengenezwa ndege au bunduki au kombora linatengenezwa in best performance no room for manuvaring na pia unatakiwa kujua project za kijeshi huwa ni Top secret projects kama unaweza kuifanya au kuiongezea vitu basi ww ni best so kwa nini usiweze kutengeneza yako????

Jambazi hakuna Top sectet project kama project za kijeshi na makampuni ya Aeurospace ,Defence na Tech uwa anatoi kitu kinachoitwa Outsource projects hata siku moja kamapuni inatengeneza yenyewe kila kitu kuanzia Iron Bolts mpaka engine sio kama mashirika ya kiraia kama airbus au boeing wao wana outsource kazi zao leo kampuni best katika kutengeneza engine za ndege dunian ni Rolls - Royce ambapo ndege best kwa sasa ya Boeing 787 Dreamliner na Airbus A380 zote zinatengenezewa engine zake na Rolls -Royce ya nchini England au Uk lakini kampuni zote kubwa za Aerospace na Def wanateneza kila kitu wenyewe kutokana na project zao kuwa ni Top secret na mambo ya kijeshi huwa ni siri sana hakuna nchi dunian inayopenda uwezo wake wa kijeshi ujulikane zimebaki ni kutabiri tu lakini hakuna nchi dunian inayojulikana tena kwa data makini juu ya uwezo wake wote wa nguvu za kijeshi


kampuni zote kubwa dunian za mambo ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na mambo ya Tech za kjeshi hakuna hata moja ipo israel top 20 zote
1 Lockheed Martin Corp.
2 Northrop Grumman Corp.
3 Raytheon Co.
4 Boeing Co.
5 General Dynamics Corp
hzo ni 5 pia umezungumzia kuwa bila israel US is no more?????? acha kufikiria vitu kwa uwezo wa 1 G sasa hv tupo 4 G inawezekana vipi inchi ambayo imepata uhuru mwaka 1948 ukasema bila hyo hakuna US iliyopata uhuru na maendelea toka miaka ya 1776 nchi yenye miaka zaid ya 240 ikjitawala kweli??? israel mpaka leo bajeti ya nchi yao 50% inachangiwa na US na kila mwaka Israel wanapokea fund ya Us $ 4 billion kwa ajili ya jeshi pekee sasa duh napata tabu kuamini maneno yako

Kitu kingne uchumi wa israel na sifa mnazoipa mbona haviendani???? kwa taarifa yenu South africa ni tajiri na inauchumi mkubwa kuliko israel Nigeria pia ina uchumi mkubwa kuliko israel mimi nimekaa Dizengoff Streets, Tel Aviv kwa miez 8 na mpaka kiwanda cha IAI kilichopo Lod 15 km kusini mashariki mwa Tel Aviv nimefika sasa hzi sifa mbona na maisha ya srael ni tofauti south Africa ni kuzuri kuliko israel leo kwa sifa mnazotoa tulitegemea kuwe kama Dubai kwa sababu cku zote sifa zinaendana na maendeleo


Jambazi The Genius Behind wa US na Russia katika maendeleo yake katika kijeshi na kisayansi yameanza kwenda kwa kasi baada ya vita vya pili vya dunia kuisha na US na Russia walichukua wanasayasi wengi sana wa Germany kumbuka US alichukua magharibi na Russia alichukua mashariki ya Ujerumani nataka kukwambia Ujerumani wale ni hatari hii Tech unayoiona sasa tayali mjerumani alikuwa nayo miaka ya 1940 na mjerumani ndio taifa la kwanza dunian kuwa na Alien na UFO hitler alikuwa mbali sana na ndo maana mpaka alpata kiburi cha kutaka kupigana na dunia unadhani ni mchezo ujerumani ilichangiwa na nchi zote unazoziona ww kuwa ni hatari mpaka watanganyika tulikwenda kupigana upande wa UK

Germany kapigana vita vya dunia na nchi hzo kutoka mwaka 1939 to 1945 ww unafikiri kupigana na United States of America
Soviet Union
Axis powers
miaka 6 unapigana tu unadhani ni mchezo????
kingine naona watu wengi mnachanganya kwa nini marekani ameichagua israel kuwa mdau wake mkuu middle east zipo sababu ambazo zinafanya US amtumikie isreal hvyo lakini si sababu zinazosemwa na wengi
Tatizo letu watanganyika linapokuja swala la israel hata kama ni lakuitaji utaaramu au akili ndogo tu kufikiri sisi tunaleta Ukada tu
 
Baada ya haya maelezo marefu ungejiongeza kidogo tu, kwa swali kwa nini hii misaada yote Us waipeleke Israel na si Tanzania? Kerry jana/juzi katumia zaidi ya saa 1.30 kujitetetea maauzi ya yao UN kuhusu Israel. Netanyau katumia dakika chini ya 15 kumpuuza.

Na washawasha!
Hahahahahahahah kwanza nasikitika au kuna uwezekano ww umemsikiliza Mr Benjamin Netanyahu lakini kwa bahati mbaya umjui huyu jamaa nataka tu kukwambia Benjamin Netanyahu ni watu wa aina ya Rais wa Philippines Mr Rodrigo Duterte so ata angetumia sec 5 kujibu nilkuwa na hata US walikuwa wanajua atajibu nini na hii ni kutokana na tabia yake na kiburi chake na TRUST ME Obama kabla ajatoka oficn tarehe 20 Mwez wa 1 lazima atafanya kitu ambacho israel hawatakipenda na kinaweza pelekea kuwekewa vikwazo vya Uchumi
 
Obuma ana malizia urais wake kwa aibu kubwa tu, huyu ana unafiki flani juu ya Israel. Na wenyewe Israel wana lijua hilo kuwa lime sababishwa na background yake kule Indonesia alipo kuwa ana lelewa na baba wa kufikia. Na wayahudi wali mbeep akibwabwaja juu yao kwa kupitia kinasa sauti/mic enzi zile na yule wa France.

Walipo muona haelewi wame mtengeneza kupitia mrusi katika uchaguzi. Sasa kabakia kufukuza wana diplomasia wa urusi katika kudhania pengine atailinda heshima inayo mponyoka. Ili kumuonesha kuwa warusi wame mpuuza na maamuzi yake hayana uzito wowote wamesema hawata respond kihivyo, wao wana msubiria rafiki yao Rais Trump apewe rungu ambaye kesha wapongeza kwa huu uamuzi.

Na washawsha!



Hahahahahahahah kwanza nasikitika au kuna uwezekano ww umemsikiliza Mr Benjamin Netanyahu lakini kwa bahati mbaya umjui huyu jamaa nataka tu kukwambia Benjamin Netanyahu ni watu wa aina ya Rais wa Philippines Mr Rodrigo Duterte so ata angetumia sec 5 kujibu nilkuwa na hata US walikuwa wanajua atajibu nini na hii ni kutokana na tabia yake na kiburi chake na TRUST ME Obama kabla ajatoka oficn tarehe 20 Mwez wa 1 lazima atafanya kitu ambacho israel hawatakipenda na kinaweza pelekea kuwekewa vikwazo vya Uchumi
 
Back
Top Bottom