Israel, Palestina wakubaliana kusitisha mapigano

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Mapigano katika Ukanda wa Gaza kati ya Israel na Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina, Islamic Jihad yamesitishwa baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Misri ikihusika katika mazungumzo ya usitishwaji wa mapigao hayo.

Katika mashambulizi hayo inaripotiwa watu 44 wameuawa kati yao watoto ni 15, huku Wapalestina 350 wakijeruhiwa.

Chanzo cha mapigano hayo ya siku tatu ni Israel kumkamata Afisa Mwandamizi wa Islamic Jihad na kumuua kijana Mpalestina wa umri wa miaka 17 ndipo ukafuata mchakato wa kulipiza kisasi.


=============================


Israel, Palestinian Islamic Jihad declare truce in Gaza

Israel and the Palestinian armed group Islamic Jihad have declared a truce, raising hopes of an end to three days of Israeli bombardment in Gaza that has killed at least 44 Palestinians, including 15 children.

The truce began at 11:30pm local time on Sunday (20:30 GMT) despite a flurry of Israeli air raids and Palestinian rocket attacks up until the last minute.

While both sides had agreed to halt the fighting, each has warned the other that it would respond with force to any violence.

“This ceasefire is holding,” said Al Jazeera’s Safwat al-Kahlout, reporting from Gaza City.

“Local government offices have announced they will reopen their doors for the public, while universities have also announced they will reopen for students. The municipality of Gaza and other municipalities have also announced they will send their equipment to remove the rubble and try to do an initial assessment of the destruction.”

Since Friday, Israel has carried out heavy bombardment across Gaza, flattening buildings and striking refugee camps. The Israeli military said it has been targeting members of the Islamic Jihad, including the group’s senior commanders, but according to Palestinian officials, almost half of the 44 people who died have been civilians.

At least 350 Palestinian civilians have also been wounded.

Islamic Jihad responded by firing hundreds of rockets into Israel, but most were intercepted or blown up. Israeli emergency services said three people in Israel were wounded by shrapnel, while 31 others were lightly hurt.

The fighting was the worst in Gaza since an 11-day war last year that killed at least 250 people in the impoverished coastal enclave and about 13 people in Israel.


Source: Aljazeera
 
Uzuri wa hawa jamaa ni ndugu ndiyo maana ugomvi wao huwa wanamaliza wenyewe
... mafilisti hawajawahi kuwa ndugu zao wana wa Yakobo na wala hawatakaa wawe. Sio kwa Sara, wala kupitia shina la kijakazi/house girl, wala kwa imani hawana uhusiano na taifa la Mungu. Uhusiano pekee uliopo ni majirani na sio vinginevyo.
 
Mbona takwimu za wanaokufa upande wa pili hazitolewi au ya maroketi huwa yanatua sehemu zisizo na watu
Wanakufaga wachache huwa wanayatungua makombola hayo ila hao wapalestina wakubali yaishe tu waunde taifa moja la sivyo watafutwa.
 
... mafilisti hawajawahi kuwa ndugu zao wana wa Yakobo na wala hawatakaa wawe. Sio kwa Sara, wala kupitia shina la kijakazi/house girl, wala kwa imani hawana uhusiano na taifa la Mungu. Uhusiano pekee uliopo ni majirani na sio vinginevyo.
" Taifa la mungu "......... huh? The Same brainwashed sheep
 
Kati ya vita ambavyo sivielewi tangu kuzaliwa kwangu ni hivi..nimevielewa world war zote,majimaji war etc ila hivi hapana nashindwaga kuvielewa kabsa maana ata UN wamevishndwa mpaka leo cjui kwa nin
 
Back
Top Bottom