Israel ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kutotii maazimio ya Umoja wa Mataifa, Taifa hilo limevunja maazimio 65

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Israel ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kutotii maazimio ya Umoja wa Mataifa.

Taifa hilo limevunja maazimio 65 ya Umoja wa Mataifa bila kuchukuliwa hatua. Iraq ilivunja maazimio mawili tu lakini ilivamiwa na kushambuliwa na hatimaye kusambaratishwa. #VoBFACTS Voice of Bongo on Twitter

IMG_20191130_132505.jpg
 
Ulipuaji unaofanywa kwa Israel na mahasimu ni kama adui yako kukupiga kwa mayai, ukinawa au kuoga unakuwa safi tu
 
Unafik wa UN ndio huo sasa.
Hakika! Na kama kweli Mh. Rais John Magufuli yupo kwa ajiri ya wanyonge hana budi kuiondoa Tanzania katika utawala huu wa kimuungano na kiuonevu katika hizi jumuiya.

Tanzania inaweza kujiendesha na inayo sababu ya kujiendesha. Pia ahakikishe Inaitwa Tanganyikaland maana binadamu wa Tanzania ni tofauti na wengine kabisa. Serious hii nchi ni Tanganyikaland au kura kutoka Zanzibar Archipelago zikikubali basi iwe Tanzaland.
 
Hivi israel wanavoilipua kila siku
Watu huwa wanaenda kuhiji sehemu gani huko israel
Amnaga hija kwa Wakristo na Biblia imekataza, ila unaruhusiwa kwenda kutembelea tu maeneo matakatifu kama unavyoenda Ngorongoro au Saa nane.
.
Ila wayahudi huwa wanafanya sherehe zinazofahamika kama "Sigd" Yerusalem na juzi tu hapa wamefanya ni amani kabisa
 
Hata mi' hili swali huwa najiuliza, je miundombinu ya nchi hiyo ni rafiki hasa barabara....!!?

Wajuzi jamani mkuje huku mtutoe tongotongo....
😂😂😂 Habari zinakuzwa sana na watu, Israel ina miundo mbinu bora kuliko unavyodhani ni pazuri mno.
Tehran yenyewe haiifikii Tel aviv kwa uzuri.
.
Gaza yenyewe miundombinu iliyonayo Tanzania bado tunaiota.
 
Ifikie wakati tukemee unafiki wa wazi, na double standard ya hawa wauaji! Wakati dunia imechagua unafiki kwa kumshutumu Urusi kwa kuivamia Ukraine, pia iishutumu Israel kwa kuendelea kuvamia maeneo ya Wapalestina na kuwaua kila wanapo jisikia!

Ikemee mauaji yaliyofanywa na NATO na Marekani katika nchi mbalimbali kwa visingizio vya uongo! Mfano uvamizi wa Marekani nchini Vetnam, Iraqi, Syria, Afghanstan, nk!

Uvamizi wa NATO nchini Libya, Jimbo la Cossovo, nk!
 
Back
Top Bottom