Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20260502_114024_Lite.jpg
    Screenshot_20260502_114024_Lite.jpg
    93.4 KB · Views: 20
Wameishia kumuuwa mzee wa miaka 85 Ayatollah

Lkn kwa galama kubwa sana miji ya Israel itachukua miaka 10 adi 15 kuijenga upya kama ilivokuwa!!!

Ukija kwenye vifo napo wanaficha lkn napo wamezika wa kutosha!!

Kwasasa Israel imeshajua Iranian pasua kichwa kuwazuiya wasikupige ni ngumu!!

Wametafiti zile Kombora wameona wakae mbali naye !!! Uwezo wao ni kwa Hamas Hezbollah nk.

Sio Iranian
wamemshindwa kabisaa.
kwasasa njia itakuwa ilee kutisha tisha kumpiga lkn kivitendo O

hawarudii tena wamemshindwa na Marekan unategemea nini apo. Na kawachapa wote!!!

Waarabu wanalia UN wkt kapigwa Marekani kwenye kambi zake!!
 
Geo Engineering na Climate Warfare
View attachment 3578327

Katika mwaka 2011, rais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, alisema: “Wanatuibia mvua zetu.” Hakuna aliyemwamini.

Nadharia inayosambaa kuelezea ongezeko la mvua nchini Iran, hasa baada ya vita vya hivi karibuni na uharibifu ulioambatana nao wa vituo vya ufuatiliaji wa hali ya hewa katika UAE ambavyo vilikuwa vinatumika katika cloud seeding na rain-making operations katika miaka ya hivi karibuni ni nadharia yenye msingi wa kisayansi unaoweza kueleweka wazi.

Lakini vipi?

UAE ilianza, kwa ushirikiano na Israel tangu miaka ya 1990, kuanzisha large-scale cloud rain-making programs.

Kwa wasiojua, mchakato wa rain-making au cloud seeding hufanyika kwa kuachilia vifaa vinavyochochea condensation ndani ya mawingu, kama silver iodide, sodium chloride, na wakati mwingine potassium salts, kupitia ndege maalum au ground-based generators, ili matone madogo ya mvuke wa maji ndani ya wingu yaungane na kuwa matone mazito yanayoanguka kama mvua.

Sababu ni kwamba mawingu mengi hupita juu ya eneo fulani bila kunyesha hapo, kwa sababu hayajafikia hatua ya full water maturity, au kwa sababu joto katika lower atmospheric layers linazuia precipitation, au kwa sababu conditions za atmospheric uplift hazijakamilika. Kwa maneno mengine, wingu liko rain-ready, lakini bado halijaanza kunyesha.

UAE, kutokana na location yake karibu na Arabian Sea na Indian Ocean, hupokea kiasi kikubwa cha mawingu ya msimu na unyevunyevu kutoka kusini na kusini mashariki. Lakini hali ya joto kali na descending air katika maeneo mengi husababisha mawingu haya kuendelea kusonga kuelekea mashariki na kaskazini. Yanapofika Iran, hasa maeneo ya magharibi na kaskazini magharibi, hugongana na milima kama Zagros Mountains, na kusababisha orographic uplift inayochochea mvua kubwa.

Lakini kutokana na extensive rain-making operations zinazofanywa katika UAE, na programu zinazofanana zinazotekelezwa na Israel, sehemu ya water load ya mawingu haya ilikuwa inapunguzwa kabla ya kufika katika njia yake ya asili. Matokeo yake ni kwamba maeneo makubwa nchini Iran, hasa magharibi na kaskazini magharibi, yaliingia katika mawimbi makali ya ukame yasiyokuwa ya kawaida.

UAE, hasa tangu 2010, ilipanua sana programu yake na kujenga modern monitoring networks ikiwa ni pamoja na Doppler radars, vituo vya vipimo vya ardhini, na cloud tracking centers, pamoja na kuendesha ndege maalum kwa rapid response kwa mawingu yanayopita. Mfumo huu haukuwa tu kwa ajili ya observation, bali pia kwa intercepting clouds zinazopita na kuzifanya zitoe mvua kabla hazijakamilisha safari yao kuelekea Iran.

Israel pia ilikuwa ikifanya approach hiyo hiyo, jambo lililosababisha “wizi” wa mvua ambazo zilikuwa zinaelekea Jordan na kusini mwa Syria, na kusababisha kupungua kwa mvua katika maeneo makubwa na kupelekea ukame wa mara kwa mara.

Na tangu mapema 2020, baada ya Abraham Accords, ushirikiano wa UAE na Israel katika sensing technologies na cloud seeding uliharakishwa, na rain-making programs kupanuliwa kwa kiwango kisicho na mfano, jambo lililosababisha kuongezeka kwa ukame ndani ya Iran, kuongezeka kwa “wizi wa mvua,” na kuchangia katika janga la Ziwa Urmia kupungua kwa kasi.

UAE ilijenga si chini ya vituo saba vya kisasa vya cloud observation na targeting, baadhi vikitegemea satellite data na models kama ECMWF na GFS, ambayo practically ina maana ya kuwa na uwezo wa intercept clouds na kuzimaliza mapema , kwa maneno ya moja kwa moja, kuiba mvua kabla hazijafika kwa “wenye haki” wa njia yake ya asili.

Na baada ya vita vya sasa, pamoja na disruption au uharibifu wa baadhi ya radar infrastructure na systems zinazohusiana na programu hizi, nchi kama Syria, Jordan, na Iran zimeshuhudia ongezeko wazi la mvua.

UAE na Israel zilipoteza sehemu kubwa ya uwezo wao wa kufuatilia mawingu na kuyafanyia seeding mapema, hivyo mawingu mengi hayapunguzwi tena kabla ya kuvuka, na nchi hizi zimeanza tena kupokea mvua ambazo zilinyimwa kwa miaka.

Mvua kubwa ambazo eneo hili limeshuhudia na bado linaendelea kushuhudia licha ya kuingia katika mwezi ambao hapo awali mabwawa na maziwa yalikuwa karibu kukauka… je, hii ni coincidence ya hali ya hewa tu, au kuna maelezo mengine?

Simulizi za zamani za Iran zimeibuka tena, ambazo mwaka 2012 zilidai kuwa UAE na Israel zilikuwa zinachezea hali ya hewa ya eneo kupitia cloud seeding, na kusababisha madhara kwa nchi za eneo hilo.

Kwa upande mwingine, kuna nadharia nyingine inayodai kuwa kupungua kwa uzalishaji wa oil na gas kumeathiri hali ya hewa, lakini nadharia hii haishikiki ukilinganisha na nchi kama Marekani, China, na Russia ambazo zina uzalishaji mkubwa wa hewa ukaa lakini bado hupata mvua za kawaida.

Climate engineering ni reality kwa mfano, kunyunyizia chembechembe angani ili kubadilisha mwanga wa jua na temperature patterns. Imewekewa vikwazo katika baadhi ya maeneo ya Marekani na inatambuliwa na wanasayansi wengi. Si tena “conspiracy theory” kabisa.

Tangu kuharibiwa kwa vituo vya kijeshi vya Marekani katika Ghuba na kusimamishwa kwa safari za ndege juu ya anga ya Iran, mvua na theluji vimerudi kwa wingi nchini Iran baada ya muongo wa ukame.

🌧️ Nchini Uturuki, mabwawa yameanza kujaa na kufurika baada ya miaka 15 ya tahadhari.
⛅️ Nchini Iran, mabwawa yameanza kufurika baada ya nusu karne.
🌧️ Nchini Iraq, mabwawa yameanza kufurika baada ya robo karne.

Mito ya Euphrates na Tigris imeanza kufurika, na maziwa yaliyokauka yamejaa tena.

Hii ndiyo ilitokea baada ya Iran kuharibu rain observatory katika UAE.


View: https://x.com/thewyterabbit1/status/2047462393823780945?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q


View: https://x.com/tariqtramboo/status/2047360446710362501?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q


View: https://x.com/jvnior/status/2047396144888574096?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q


View: https://x.com/hanoglu_hakan/status/2047400256908775902?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q


View: https://x.com/anesmansory/status/2047490350554796394?s=46&t=QPom08LshpQkexuINedA9Q

Ahmedinajad anisamehe bure, niliposomaga hiki kichwa cha habari nilimpuuza na kumuona nae anataka sympthy tu.
 
Kuna mimel zaid ya mia nne iliyokwama strait of hormuz gps zake zimejamiwa inasemekana na iran

Source;blaza malcom lumumba wa jf
Iyo kitu ni real iran wamejam gps na ais hazifanyi kazi meli nyingi zimepaki baharini kwa hofu ya kugongana na inaenda wiki ya tatu sasa....na meli zote zinazotembea humu ndani ya gulf captain anatumia chart na radar tu🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom