Israel = Is real

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
44.jpg

.........
 

Mkuu Boflo, hutu tutoto nimetuona tukijadiliwa Al Jazeera kama sometime around mwezi wa 7/8 huko Syria. Usiniambie tuna-act movie na sasa tupo tena Gaza!

Nakumbuka nilikuwa Restaurant Mtwara mama mmoja akawa anasema 'Mungu wangu, vitoto vizuriiii....wangenipa mimi nivilee jamani' wanaume wakaangua kicheko na kumfanya mmakonde wa watu akanuna kama kapaliwa na pilipli.

Mitandao sasa hivi imejazwa picha hadi za Iraq za mwaka 1991
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom