Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,144
- 7,064
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe Serikali ya Israel ipewe kibali kufungua vyuo maalumu Afrika mashariki kutoa elimu ya lugha ya kiyahudi yaani Kiebrania, mila na desturi za kiyahudi, dini ya kiyahudi yaani Judaism pamoja na fani ya inteligensia.
Nina uhakika tutajifunza mengi kutoka kwao kupitia uzoefu mkubwa walio nao
Nitashukuru kama ombi langu litakubaliwa