Who cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.Israel inajiandaa na wale wanaojiita waphilisti na waungaji wao mkono akina iran, pia inajiandaa vilivyo kuhakikisha kuwa ni lazima tu ali aqsa ibomolewe na lile ni dome lao maan yamejengwa juu Mlima Moria mahali ambapo Suleman mwana wa Daudi Mfalme wa Israel alianza kuijenga nyumba ya BWANA mwaka ule wa 957 B.C tazama 2 Nyakati 3:1 halafu wapuuzi fulan wanasema eti hapo siku zote wao ndo wamekuwa wakiabudu hapo mlima Moriah, sasa ukiwauliza pindi Suleman anajenga Hekalu wao walikuwa wapi, hawana hata majibu bali kuanza matusi kwakuwa walishafundishwa kukataa ukweli kwa ajili ya faida yao wenyewe.
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,Who cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.
Kama ni hivyo basi South Africa ichukue kuanzia Capetown mpaka ziwa Nyassa maana ilikuwa himaya Takatifu ya Mfalme Shaka.
Tofauti yako na Mimi wewe Ni Religious Fanatic, Mimi ni Mfuasi wa Kweli wa Kristo ambaye alikuja Kuiokoa Dunia yote. Lakini siasa ya Dunia hii inakudanganya kuwa Wapo wanadamu wanaostahili zaidi Kwa kupendwa zaidi na Mungu. Lakini sijui kama ulishasoma Biblia na Kuona Yesu alisema nini Kwa Lile Tawi la mzabibu lililomkataa! Tunachojazwa Leo ni Siasa za Waliojawa na Kiu za Damu za wengine. Yesu hana Kabila pendeleo, Wote watakaompokea Atawapa Uwezo Kuwa wana, Ennendeni Ulimwenguni Kote mkawafanye watu Kuwa Wanafunzi wangu, watakaomkubali mwana wanao uzima na watakaomkataa mwana hukumu ya Milele. Je ni Kinanani walimkataa na Kumuuwa Yesu na Wanamkataa hata leo? Je ni Kina nani Wanamkataa Yesu kuwa Mwana wa Mungu? Wote Lao Moja!Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,
halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.
Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono IsraelWakristo mnachekesha sana. Aliye andika bibilia alisha waroga mana alikuwa Muisael yani mkisikia
Israel mnachanganyikiwa wakati wao ndio walimua Yesu kama mnavyo dai ni Mungu wenu.
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Umehack ulokoleWho cares Mimi ni Mlokole lakini utakatifu wa mwanadamu uko moyoni sio kwenye majengo au Ardhi. Hii tabia ya kumwaga damu kupigania Ardhi na Majengo ni upuuzi na ushetani. Hakuna sababu yoyote ya Irael kufanya Uchokozi wa kuvunja Msikiti kwa sababu ya historia ya Sulemani aliyeishi miaka karibu 4000 iliyopita.
Kama ni hivyo basi South Africa ichukue kuanzia Capetown mpaka ziwa Nyassa maana ilikuwa himaya Takatifu ya Mfalme Shaka.
Sawa Mungu ndiye ananijua. Mimi Machozi ya Mtoto wa Kiyahudi, au Kiarabu au Kiafrika, Ukiyasababisha kububujika kwa Ukatili wa aina yoyote Mungu atakuhukumu tu. Ndivyo ninavyoamini. Watoto wanaokufa Syria Leo kwa kuwa tu kuna watu hawakupenda Syria iwe na nguvu unaonaje Yesu aliyesema watoto kama hawa Ufalme wa Mungu ni wao anajisikiaje na aliyeleta mkorogano? Usihukumu usije Kuhukumiwa. Mimi ni Mtu wa haki sana!Umehack ulokole
Mimi Naunga mkono Taifa lolote linapostahili, na kupingana nalo pale linapokuwa limekosea. Sina upendeleo binafsi na wala akili zangu hazijashikwa mateka na propaganda za siasa au za dini yoyote. Kwani Mungu alinipa ubongo ili iweje?Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Hivi dini yako inaruhusu kukufuru imani za watu wengine?Wakristo mnachekesha sana. Aliye andika bibilia alisha waroga mana alikuwa Muisael yani mkisikia
Israel mnachanganyikiwa wakati wao ndio walimua Yesu kama mnavyo dai ni Mungu wenu.