Israel Hits Beirut with Nuclear Missile

Misinformation!

Hakuna uthibitisho wowote ule kwamba mlipuko huo ulitokana na nuke.

Isitoshe, hicho kigezo cha mushroom cloud kinachotumika kwamba ni bomu la nyuklia, kinatumika isivyo sahihi. Mushroom clouds zinatokea hata katika milipuko isiyotokana na nyuklia.

Muda wa uwepo wa mushroom cloud angani baada ya mlipuko ndicho kigezo moja wapo na sahihi zaidi kinachoweza ku-determine kwamba ni nuke ama si nuke.

Kiwango cha nishati itokanayo na kuongezeka kwa joto baada ya mlipuko wa nuke (fireball) ni kikubwa sana kiasi kwamba hupelekea wingu lake kwenda juu zaidi katika anga na kuwepo huko kwa muda mrefu zaidi.

Hilo ni tofauti kabisa na kile kilichotokea Beirut ambapo wingu lililozalishwa lilipotea machoni ndani ya muda mfupi tu (ushahidi upo) hivyo si uthibitisho wa nyuklia na wala hakuna uthibitisho mwingine wowote ule kwamba mlipuko huo ulitokana na nuke, period!
 
Ila we jamaa unakuwaga na ulimwengu wako wa pekee wa kutafsiri mambo. Nyuklia ni nyoko mkuu acha kuilinganisha na hiyo mbolea iliyotunzwa vibaya
Mushroom structure na rangi ya moto ni tosha kabisa kuprove kuwa ni bomu zingine ni covering story. Aidha ni bomu lililotunzwa hapo au strike
 
Hii sio conspiracy,ni ukweli mtupu, conspiracy ni mambo ya kufikirika.Ila muache ujinga on serious issues.Wenzenu wamewawekea neno conspiracy kwenye akili zenu na mawazo ili wafanye vitu vyao bila kujua halafu kwa ujinga mlio nao mmeling'ang'ania.Nakumbuka watu walipoambiwa kuhusu majanga fake ya magonjwa yanayowajia walisema ni conspiracy,sasa tayari tupo na utapeli na mchezo mchafu kabisa kuwahi kushuhudiwa na wanadamu wa C-19,na bado.
So wewe unajua nini ama uko Beirut?
Ahahahaha
 
Kuna nuclear warheads za aina kama tatu au nne hivi,nadhani ni swala la ufahamu tu.Nadhani mawazo yako wewe yako kwenye high yield bombs kama lile la Hiroshima ambalo lilikuwa a high yield nuclear bomb in terms of TNT.Hata hivyo hili la Beirut halikuwa dogo sana.Yields range from 5-150kt of TNT.La Beirut linaweza kua W80 ambalo ni low to intermediate yield two-stage thermonuclear warhead.
Have you ever saw Nuclear Bomb in your life or even touching it?
Woiii wabongo who witched you
 
Hii ndio source yako?
Haujaona Lebanese government na Hezbollah have denied Israel involvement?
Si umeona pia Israel anatoa humanitarian aid to Lebanon.
Okay tuachane nayo but you need to learn how to promote propaganda better.
So,kama wame-deny hawako involved.Yaani akili zingine hizi.So kila unachosikia ni kweli?Hivi kabisa unaamini hiyo Ammonium Nitrate ililipuka tu na hakuna detonator.I am a scientist,I know that can't happen.Basi wote tunaootumia Ammonium Nitrate in one way or the other si tungekuwa tumeshalipuliwa na kufa.Wawadanganye ninyi wakudanganyika.
 
Have you ever saw Nuclear Bomb in your life or even touching it?
Woiii wabongo who witched you
Type a common sense of what happened in Beirut.So you think a nuclear bomb ni lazima iwe of the size of Hiroshima.Sio lazima,they differ from sizes of 5-150 kts of TNT.
 
Nipe ushahidi kwamba huu ni uongo.Mimi nimefanya utafiti nikapata huu ukweli kutoka kwenye chungu.Na wewe taarifa kwamba huu ni uongo umeipata wapi?No research no right to speak.
Mtafiti umetafiti ...

Freak
 
Hivi unaamini kabisa kwamba Israel hawana W80 warheads.Hivi pia unaamini kwamba Israel hawana B-2 Spirit Bombers.Israel is America remember,na ndio wanao dictate American affairs and foreign policy.Na hata kama hawana W80 nuclear warheads,they can use smaller nuclear warheads and use other bombers.Si wanazo?
Acha speculation mkuu
 
Acha speculation mkuu
Hivi who will know more about what happened,wewe au Trump.Na hivi unajua kwamba kuna circumstantial evidence,even in a court of law.Jamani hata ile mushroom iliyotoka kwenye ule mlipuko unaonyesha wazi kwamba ule sio mlipuko wa kawaida a nuclear device has been used.Mlipuko wa kawaida hauwezi ku-vaporize magari, watu,materials zingine na watu in the near vicinity of the explosion,hili tunalijua!Finally,hata IAEA wamekiri kwamba a nuke has been used sawa unachobisha ni nini.Follow the link below uone.

Nuclear Attack on Beirut: An After-Report | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary
 
Mtafiti umetafiti ...

Freak
Hata IEA wamekiri kwamba a nuclear reaction has taken place in the middle East, ubishi wa nini.Tupe na wewe your slightest evidence,kwamba this hasn't happened.Mimi ninao mwingine,huu hapa👇

Nuclear Attack on Beirut: An After-Report | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

NB:Kama hukujifunza kabisa Physics,Chemistry or Nuclear Physics at least up to advanced level,please stay out of this discussion kwa kuwa utaonekana mjinga.
 
Ahahahahahahahaha! Niga you better mute that thing you call a mouth vinginevyo unadhalilika!

Hakuna unachokijua NARUDIA HUJUI KITU.
Nimesema let's ushahidi unao onyesha kwamba nilicholeta hapa sio kweli,if you fail to do that,wewe ndiye unaye dhalilika.Nimesema no research no right to speak.
 
Hii sio conspiracy,ni ukweli mtupu, conspiracy ni mambo ya kufikirika.Ila muache ujinga on serious issues.Wenzenu wamewawekea neno conspiracy kwenye akili zenu na mawazo ili wafanye vitu vyao bila kujua halafu kwa ujinga mlio nao mmeling'ang'ania.Nakumbuka watu walipoambiwa kuhusu majanga fake ya magonjwa yanayowajia walisema ni conspiracy,sasa tayari tupo na utapeli na mchezo mchafu kabisa kuwahi kushuhudiwa na wanadamu wa C-19,na bado.
Tuletee video Trump akisema ile ni Nuclear missile.
 
Hii sio conspiracy,ni ukweli mtupu, conspiracy ni mambo ya kufikirika.Ila muache ujinga on serious issues.Wenzenu wamewawekea neno conspiracy kwenye akili zenu na mawazo ili wafanye vitu vyao bila kujua halafu kwa ujinga mlio nao mmeling'ang'ania.Nakumbuka watu walipoambiwa kuhusu majanga fake ya magonjwa yanayowajia walisema ni conspiracy,sasa tayari tupo na utapeli na mchezo mchafu kabisa kuwahi kushuhudiwa na wanadamu wa C-19,na bado.
Mchezo mchafu kuwahi kushuhudiwa na binaadamu sio covid 19 tu pekee
.mchezo mchafu kuliko yote ni hizi DINI COVID 19 HIV+ Ebola na Biashara ya Utumwa
 
Back
Top Bottom