Israel haina mafuta na nchi ndogo mashariki ya lakini uchumi wake umezidi Qatar, Oman, UAE, Bahrain, kuwait na Iraq

Israel haina mafuta na nchi ndogo mashariki ya lakini uchumi wake umezidi Qatar, Oman, UAE, Bahrain, kuwait na Iraq

Taifa teule tukufu, takatifu na teule la Mungu wa kweli linazidi kuimarika kiuchumi.

Licha ya vita mashariki ya kati uchumi wake mwaka huu tu umekua 3.5%.

Israel haina mafuta kama wenzake majirani, Qatar, Omani, Kuwait, Iraq, Bahrain lakini GDP yake ni 720 billion GDP imewazidi. Ni Saudi Arabia na Uturuki tu ndio imemzidi mteule.

Uchumi wa Israel pia umeupita Uchumi wa Norway, Denmark na Finland. Umezidiwa kidogo tu na Sweden.

Kumbuka Israel hawana mafuta lakini wanavyofanya vizuri kiuchumi inastaajabisha wengi.

Yemen hawana mafuta lakini hoi na chalii Hahahahahaaaaa.

Nini hasa kinakuza Uchumi wa Israel kwa kasi ya hatarii?

1. Sekta ya technology
2.uvumbuzi (Innovation)
3. Strong export Market.

Israel the Land, Jews the people.

God bless and protect Israel 🇮🇱

View attachment 3597567

adriz de mbusii
Germany, France, UK, South korea, singapore, Taiwan?, Japan etc mbona nazo zina uchumi mkubwa na hazina mafuta.

Elewa pia US anaipa pesa ya ruzuku Israel
 
Punguza shobo, kama wao ni teule we ni nani negro? Hauna lolote la kujivunia bali kusifia watu wasiokutambua Wala kukuthamini?
Tatizo wivu wa kijinga unakusumbua ukiona mwingine kabarikiwa wewe unaumia kupita kiasi!!
 
Germany, France, UK, South korea, singapore, Taiwan?, Japan etc mbona nazo zina uchumi mkubwa na hazina mafuta.

Elewa pia US anaipa pesa ya ruzuku Israel
Kwa nini Yemen haina mafuta mashariki ya kati na haina uchumi mkubwa?

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL 🇮🇱
 
Tatizo wivu wa kijinga unakusumbua ukiona mwingine kabarikiwa wewe unaumia kupita kiasi!!
Naomba unipe faida japo 3 tu unazopata na zinazogusa maslahi yako binafsi hadi wewe kushabikia mzayuni mpaka kufikia kushangalia uovu anaofanya
 
Nimejibanza sehemu nakunywa kahawa na kashata Yahudi mweusi akija kukujibu nistue😂
images (30).jpeg

Echolima1
 
Hakuna waisrael wala taifa la Mungu pale ni watu walijikusanya kutoka ulaya wakaenda kupora ardhi mashariki ya kati. Kama walivyofanya kule bara la amerika na Australia.
 
Hakuna waisrael wala taifa la Mungu pale ni watu walijikusanya kutoka ulaya wakaenda kupora ardhi mashariki ya kati. Kama walivyofanya kule bara la amerika na Australia.
Hii ndiyo shida ya kukaririshwa na waarabu!!

Hivi kwa nini Ukiwa Mwarabu-koko unakuwa mjinga wa kumezeshwa kila ujinga?

Haya kusanyanyeni na ninyi muende mkapore ardhi sehemu yoyote tuwaone!!
 
Acha uongo, Norway ina GDP per capita kubwa kuliko Israel so basically ina uchumi mkubwa kuliko Israel maana Norway ina watu million 5.6 huku Israel ina watu zaidi ya million 10.3.

Kwa muktadha tu Tanzania (5.7) na DRC (5.9) zimekua kiuchumi kuliko Israel (3.5) Kwahiyo Tanzania ni bora kuliko Israel si ndio?

We ni kilaza hizo nchi tajwa mfano Qatar ina wakazi million 3 pekee so ukitumia GDP per capita wanalingana na Israel tu. Uchumi umesomea wapi bwana mdogo? Mind you Qatar haipewi msaada wowote ukilinganisha na Israel.
Hujajibiwa na naona vilaza wanaruka komenti yako .....
Mtoa mada kaukimbia uzi, ila karudi ya id yake ya kindondocha ya Echolima1 ili ambululembulule na pumba zake.....
 
Israel ni jimbo la Marekani linalopendelewa na hazina ya taifa kuliko majimbo yote!
Uzushi huo hautabadili chochote kuhusu ushirika wa Marekani na Israel utabwabwaja weeeeee na hutabadirisha chochote Israel na Marekani watabaki kuwa Washirika!!!
 
Ruzuku anayopewa na marekani hata angepewa Burundi angekuwa na uchumi mkubwa.
 
Tutanyooshwa vp, Sisi kina nani na tunanyooshwa na nani
Acha kujifanya hujui wakati unajua!!

Unata kujitoa ufahamu kutokujua hata Mada iliyoko mezani? Yaani umehemka mpaka umechanganyikiwa!!!

Leteni visingizio vyote lakini mtanyooka tu!!!
 
Acha kujifanya hujui wakati unajua!!

Unata kujitoa ufahamu kutokujua hata Mada iliyoko mezani? Yaani umehemka mpaka umechanganyikiwa!!!

Leteni visingizio vyote lakini mtanyooka tu!!!
Sema mshikaji wangu we huenda shimo lime deviate, Azimuth imekimbia degree kadhaa
 
Nyote Africans mnaokomaa na uwepo wa taifa moja teule hua nahisi mna upepo kichwani ndo maana issues kubwa kama nilichoki comment huwezi elewa.
Huo UHARO ulio-Comment mjinga gani anataka kuelewa? Umemezeshwa ujinga bila kujua mwa kuwa ni mjinga!!!
 
Back
Top Bottom