Israel ex-top spy reveals Mossad operations against Iran

Okay Baada ya vita nini kilikuwa makusudi ya mapigano, na lengo la Waarabu kupigana na Israel lilitimia Vitani??
Halikutimia kwasababu tatu.
1)Waarabu hawakua na sapoti kubwa ya kijeshi na kiuchumi km Israel.
2)Ushirikiano wao na USSR ulizibwa.
3)Walikua na silaha duni.
Ww Israel kila mwaka alikua akipatiwa billion 8 dollars kwaajili ya government including millitary budget mpk silaha pia alikua anapewa.
Mpk sasa ndege atumiazo Israel za kivita ni US made.
Msikatae km hakuna mikono ya US na UK Israel.
Pia kautizame vema mkataba wa David camp US anailipa Egypt pesa na kuisapoti millitary budget kila mwaka jiulize kwann??
Ila kwa Iran ni tofauti Iran sio mwarabu yule.
 
Back
Top Bottom