Israel :COVID-19 treatment proves to be 100% effective after being tested in US ..

Ukizidiwa utatumia tu hata kama dini hairuhusu sasa hivi we piga tu porojo

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Dawa mbadala za miti zipo lakini wanatulazimisha kuamini kuwa aborted babies ndio dawa.huo ni uendawazimu mkuu...we sema napiga porojo lakini ujue kuna hadi chanjo zilizotokana na mbwa...we nenda kadungwe mavirusi yatokanayo n.a. mbwa pia.si unaogopa kufa kumbe kufa utakufaga tuu😁😁
 
Hahahaha eti kwa kuwa amesom nuclear basi yeye kama yeye anauwezo tayari wa kutengeneza kibatari..

Hivi hivi nuclear unaijua unaisikia sikia tu!!!?

Sijawahi sikia rais yoyote ktk nchi hii amejikita kati innovation zaidi ya kujenga mabarabara n vitu kam hivyo.. mnawaonea wasomi sana.. ukizingatia hakuna sera yoyote inayojaribu kuwainua wavumbuzi na wataalam ya sayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwa Shithole Countries ndio bado tunashangaa nuclear technology lkn kwa nchi zilizoendelea waliishachoka nayo na mataifa mengine kama Japan, Sweden, Germany nk wana mpango wa kuachana nayo.
 
Huku kwa Shithole Countries ndio bado tunashangaa nuclear technology lkn kwa nchi zilizoendelea waliishachoka nayo na mataifa mengine kama Japan, Sweden, Germany nk wana mpango wa kuachana nayo.
Kwahiyo nawewe ulikua unaitaka sio!
 
Hivi hii Biology tunayosoma na kuifanyia mitihani migumu ya NECTA ndo hiyo hiyo wanasoma wenzetu au tunakwama wapi hebu tueleweshane

Sent using Jamii Forums mobile app


Sisi tunafundishwa na waliokariri hivyo nasi tunakariri masomo bila kuelewa.

Kuelewa jambo ndiyo msingi wa kuweza kufanyia kazi kitu ulichoelewa, yaani kuelewa jambo ndiyo kama mtaji katika biashara, kama hakuna mtaji utaanzishaje biashara??

Kwetu sisi tatizo lipo hapo.
 
Hadi Sasa Tanzania tunalia! Nimesikia kwamba wametengeneza vazi la kujikinga wametumia malighafi za ndani happy ndoo tulipofikia! Hii ni baada ya kuletewa mavazi kutoka shirika la WHO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni Taifa teule la Mungu.

Kwa hiyo Mungu ameamua kuwafunulia uwezo wa kuponya gonjwa hili la corona, ambalo linayafanya hata yale mataifa yanayojiona ni tajiri na yana nguvu kubwa za kijeshi, kama Marekani, wakikuna vichwa vyao na wasijue cha kufanya!
Hizi ni Pumba...
 
lifesupporthospitalas

JERUSALEM, Israel – An Israeli coronavirus drug that claims to have a 100% success rate among severely ill patients is being tested in the United States for the first time.
The trial comes after Pluristem Therapeutics Inc., a biotech company based in Haifa, reported last week that seven patients who were at a high risk of death due to respiratory failure survived after receiving the medication.



The patients were approved for treatment under the compassionate use program and exhibited respiratory failure requiring intubation in the ICU. Four of the patients had multi-system organ failure, including heart and kidney failure.
The seven patients were treated with Pluristem’s allogeneic placental expanded (PLX) cells. Essentially, these cells can potentially suppress or reverse the dangerous over-activation of the immune system that causes death in many coronavirus patients.

All seven of the patients who received the drug survived and four patients saw an improvement in respiration. One patient is still alive but saw a continued deterioration of their respiratory system.
Now, a critical COVID-19 patient in the US has been treated with PLX cell therapy at Holy Name Medical Center in New Jersey. The results of the treatment have yet to be released.
Pluristem aims to conduct a multinational clinical study on the drug to better test for its effectiveness.
“We are pleased with this initial outcome of the compassionate use program, and committed to harnessing PLX cells for the benefit of patients and healthcare systems. In order to maximize PLX cells’ impact on patient recovery and to work towards making our treatment widely available, we plan to quickly move forward into a clinical development program,” stated Pluristem CEO and President, Yaky Yanay.
“We believe that research and governmental funding may be available to Pluristem to support the use of PLX cells for patients suffering from COVID19 and are targeting such funding,” he continued.
Swayampakula Ramakanth, a Wall Street analyst at H.C. Wainwright told Yahoo Finance he is “very encouraged” by the results.
“In our view, with the ongoing pandemic affecting nearly every country and stressing healthcare systems around the world, new, effective treatments are urgently needed,” he added. Therefore, we believe that both the FDA and the EMA may expedite the approval for clinical studies and simply the regulatory paths going forward. With regulatory expediency and patients only needing a 28-day follow-up, we believe the company could complete the initial studies and report results in 2H20.
Pluristem says it has received many inquiries and requests for treatment since releasing last week’s report.
The NASDAQ reported that the biotech company’s shares gained more than 20 percent on Monday.
“In parallel with our planned clinical trial, we expect to continue treating patients under compassionate use through the appropriate regulatory clearances in the United States and Israel, as well as expanding treatment under compassionate use in other countries. Our main focus remains however, the initiation of a multinational clinical study,” said Yanay.
The views expressed in this article are the writer's, they do not reflect the views of Opera News.
Source ya taarifa yako tafadhali...
 
Back
Top Bottom