Israel: Benjamin Netanyahu afanya kikao na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi & Usalama na kuagiza Mashambulizi dhidi ya Hamas yaendelee kwa nguvu kubwa

Aliwachukua baadhi tu tena kidogo Wakimbizi ila Iddi Amini alitaka kuwachukua Wapalestina wote ila kuna Nchi za Kiafrika zilipinga na zilifanya vizuri leo ingekuwa ni Vita Wapalestina wangezaana na kuanza kuwauwa wenyeji kama ilivyokuwa Misri ya kale angalia leo Misri ni Waarabu tupu.
we mbona MUONGO NA MNAFIKI?
UNATAKA KUSEMA MISRI KULIKUA NA WAAFRIKA WEUSI?
H8STORIA HIYO YA UONGO UMESOMA WAPI?
KWAHYO HT LIBYA,MOROCCO,ALGERIA NAKO KULIKUA KUNA WAAFRIKA WEUSI,ETHIOPIA JE?
EMBU KAISOME MISRI VZURI NI TAIFA LA KARNE NA MAKARNE NYUMA
 
Unaijua Israel vyema ama. Tuulize sisi tulioenda huko wa tekinolojia ya hali ya juu sana tena sana NASA ya USA wamejaa wao. Unajua lile jengo la ubalozi wa Marekani lililolipuliwa hapa Tz walilijenga wao. Unakumbuka ndege yao ya abiria iliyokoshwa kupigwa bomu pale Kenya jinsi ilivyosoma bomu na kuelekea juu. Acha na hao watu halafu wajinga wengi kama akina Mwingira na Gwajima wanawadanganya kondoo wao kuhusu ukatoliki na israel. Hao sio wakatoliki. Isome vyema israel utaijua fuatilia makala nyingi zipo youtube achana na kuangalia Mama Kimbo na ujinga mwingine.
NDIO USITULETEE UONGO ETI ULAYA NZIMA WAO WAKO JUU KITEKNOLOJIA.
ILHALI KUNA GERMANY,UK FINLAND EMBU KASOME HZO NCHI KITEKNOLOJIA ZIKOJE USITUGEUZE WEWE.
ANGEKUA ISRAEL WAKO ANA TEKNOLOJIA KULIKO WAULAYA WOTE ASINGENUNUA NDEGE ZA KIVITA KWAO.
 
we mbona MUONGO NA MNAFIKI?
UNATAKA KUSEMA MISRI KULIKUA NA WAAFRIKA WEUSI?
H8STORIA HIYO YA UONGO UMESOMA WAPI?
KWAHYO HT LIBYA,MOROCCO,ALGERIA NAKO KULIKUA KUNA WAAFRIKA WEUSI,ETHIOPIA JE?
EMBU KAISOME MISRI VZURI NI TAIFA LA KARNE NA MAKARNE NYUMA
The-Kingdom-of-Kush-623x438.jpg

Unajua maana ya kula Bata?
 
Mtasema yote vipi kuhusu Lebanon,Syria,Iran Iraq na nchi zingine waliojiunga kwenye six days war nao walihongwa kubali tu Israel ni mbabe wa Middle East.
Duh we mbona muongo?
iran alishiriki saa ngapi na lini hiyo six days war?
au ndio story za vijiwe vya matofali?
 
Hakuna kitu kama hicho. Israel kivita anaogopeka duniani mwambie china au mrusi awaguse
We ni kiazi .
nilijua unavyomkosoa mwenzako hajui historia ww utakua unajua.
kumbe we ndio debe tupu kabisa.
HIVI WW UIFANANISHE CHINA NA ISRAEL SERIOUSLY WE MGONJWA.
HAO ISRAEL MAY 2021 USA MASENATE WALIPIGA KURA ISRAEL ISIUZIWE SILAHA NZITO KM INAVUNJA HAKI ZA KIBINADAMU LEO UMFANANISHE NA CHINA MTENGENEZA MANOWARI BORA ZA VITA DUNIANI??
EMBU PUNGUZA UJUAJI
 
Back
Top Bottom