Israel: Benjamin Netanyahu afanya kikao na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi & Usalama na kuagiza Mashambulizi dhidi ya Hamas yaendelee kwa nguvu kubwa

Hahaha!! Hivi unaikumbuka Ile vita ya mataifa 11 ya kiarabu kushambulia Israel mkuu,

Ndege Mia moja ziliyeyushwa ndani ya dk 3 tu na misiri akaapa kutofanya vita na Israeli maisha yake yote, unakumbuka?

Kama ndo hivyo, hamasi ndo Nani??

yaan ile vita inanishangaza.... yaan Israel alipowashinda waarabu akaingia misri akateka
mji wa Sinai.. akaukalia kwa mabavu.. akarudisha mpaka wao sinai ikawa eneo la israel.. akajenga makazi akajenga base za kijeshi akachukua control ya visima vya mafuta

Israel kapigana vita na waraaabu zaid ya mara tano

1948 - 49, 1967, 1973, 1982, and 2006.

1948–49: Israel’s War of Independence and the Palestinian Nakbah. First israel and arab war- ndo rasmi israel ikatangazwa kuwa taifa

1956 Suez War - second war hapa Misri alichangiwa na Israel na Uk kimtindo maana rais mpya wa misri ndugu Gamal Nasser baada ya tofauti za kisiasa kati yake na wazungu akanationalise mfereji wa suez na kupiga marufuku meli kupita bila Misri kuruhusu..

Wazungu kuona hivyo wakaona isiwe shida wakamchochea Israel ambaye nae Misri alipiga ban meli zake na kublock port elizabeth akianzishe kwa Misri halafu wao wataingia kama walinda aman

kwa maana hiyo mfereji wa Suez utakuwa hauna mwenyewe uko chini ya mamlaka ya kimataifa then bussness as usual meli zitaendelea kupita .

israel akakianzisha ndani ya siku tano wakateka miji kama gaza, rafah, na pennisula ya sauez canal, na miji mingine na baada ya mda mfupi wazungu wakaingia eti kama wasuluhishi kumuomba israel aondoe majeshi israel baada ya mwaka akaondoa majeshi 1957 mfereji wa suez ukawa no-man's land kwa muda na wazungu na israel wakaendelea kuutumia kwan ulikuwa chini ya UN

1967- Six days War.. hapa napo syria ambapo wakat huo alikuwa super power upande wa waarabu na ndo original ya palestina ilipo waliashuha mvua ya mabomu vijiji israel kwenye milima inajulikana kama Golan Heights...katika kujaribu kuwafuta Israel.

israel akajibu kwa kutungua ndege za Syria .. kuona hivyo Misri chini ya Nasser mwenye machungu ya kuporwa Suez canal akapata upenyo akawapiga mkwara UN pale suez canal akaingiza majeshi wakakubaliana na Jordan waunganishe nguvu waingie israel.

kwa hiyo Israel akawa anapigwa pande zote huku jordan huku misri kule Syria... ardhini na Angani

Misri na Jordan wakaoanga shambulio
la anganla kumaliza vita. kabla ndege hazijaruka Israel akapiga mabomu kwenye airforce zao hasa za Misri kabla hata ndege kuruka ..shughuli ya anga ikaisha.. wakarudi ardhin. israel akawapush zote upande wa syria akawapiga hadi kwao..

upande wa misri akawapiga akaingia had Gaza, Sinai akachukua na suez canal.. kule
jordan akaingia akachukua had jerusalem yote

ndan ya siku sita shughuli imeisha na israel katanua mipaka zaid. Misri kanyangwanya mji, jordan kanyangwanya mji.

utaona Wataab wanachangia Israel kujitanua. wakianzisha vita jamaa anajitanua.

1973: Yom Kippur War

hii vita ya mda mfupi, Misri na syria waliwakuta Israel offgurs Israel kwenye Sikuku yao ambayo inaitwa Yom Kippur.. israel wakapigika..

kuona hivyo Israel waka focus kuwapiga Syria.. kupitia Syria wakawazunguka wa Misri kuwagawa then nao wakafanya ambush shughuli ikaisha ingawa Misri alifanikiwa kukomboa sehem ya ardhi iliokuwa chini ya Israel

na vita hii ilipigwa kwenye mfungo wa wote ramadhan.. baada ya vita mwaka uliofuatia 1974 pande zote Tatu ( Misri, Syria na Israel) wakawekeana mkataba wa Amani wa kuacha vita...UN wakarud tena pae Sinai na suez canal kupafanya No- Man's Land ingawa sehem kubwa ya sinai Israel alikuwa anaikalia.. akajenga na makazi na base za jeshi akachimba na mafuta.

Kumbuka Misri na mataifa mengi ya waarabu walikuwa hawaitambui Israel kama taifa. mwaka 1977 Misri akaona isiwe shida rais wake wakati huo Saadat akatembelea Israel na kulihutubia Bunge la Israel

1979 Misri wakaomba eneo lake la Sinai kwa njia ya kidiplomasia kupitia UN. Israel akatoa sharti kuwa atarudisha mji wa Sinai na suez canal na kuondoa makaz yake ikiwa Misri ataitambua Israel kama taifa na Israel afungue ubaloz Misri. na marufuku Misri kuivamia israel au kuingilia ugomvi wowote ule wa Misri na mataifa mengine ya kiarabu Misri akakubali

1982 - Lebanon War

Israel walichukua miaka minne kutoka Sinai na rasmi mwaka 1982 Sinai ikarudi Misri.

wiki sita baadae Israel akakianzisha upande wa lebanon.. baada ya tension kati ya israel na palestina kuwa kubwa. Israel akapiga mabomu Beirut Lebanon kulipokuwa na strong hold za Palestina liberation Organization PLO.

Israel akavamia Lebanon na ndani ya wiki moja akauzunguka mji wa Beirut wote. ila baada ya maombi ya umoja wa mataifa na Israel kuipiga mabomu usiku na mchana lebanon akakubali kuacha kuikalia kimabavu lebanon ikiwa tu PLO na waondoke Lebanon.. israel hakutaka palestina organization yotote iwe lebanon.

PLO wakagoma walijua wakitoka shuguli wanayo so baada ya majadiliano ikabidi majeshi ya Umoja wa mataifa yaende lebanon kuwa escort wanajeshi na viongoz wa PLO kutoka lebanon.. na baada ya hapo Israel aliendelea kuikalia lebanon had alipojiridhisha PLO hawa operate lebanon tena akaiachia mwaka 1985

2006 - Second Lebanon war

Hizbola walikuwa wanaoparate lebanon ... na wakawateka wa israel ili kushinikiza israel wawaachie wafungwa wa kilebanon .. badala yake israel akaivamia lebanon akaipiga kwa mda wa siku 34.. akauwa maelfu ya walebanon na kuwakosesha makaz mamilion ya watu.. yaani kama anachofanya sasa Gaza

baadhi ya mataifa ya kiarabu walikishutumu kikundi cha Hizbola kwa kuanzisha vita .. ila kuna mengine walipongeza wa kuonyesha ujasiri wa kupambama na Israel

so utaona waarabu na waisrael hawajaanza kupigana leo. Israel Vita iko kwenye dam yao.. na hawa waarabu pia. ila jordan na Misri walishajiweka pembeni na myahudi
 
Hakuna kitu kama hicho. Israel kivita anaogopeka duniani mwambie china au mrusi awaguse
Mbona alipewa ultimatum apishe Suez pre 1970 alipoiteka na akaachia!! Maslahi ya mataifa makubwa yakiguswa unadhani ana jeuri yeyote ya kupambana nao?

Syria kila siku inarusha maroketi Israel ila umewahi ona Israel imeingiza jeshi Syria ili kuwatia adabu? Si wanajua wakiingia tu italeta geopolitical war.

Israel ni kibaraka wa US tu ila nje ya hapo hana analoweza. So siku mshirika wa Russia/China kama Iran akiingia kwenye hyo vita ndio utaelewa moto wake. Anaweza kushinda kma Al Assad lakini watakuwa wameigeuza Israel majivu maana size yake ni kama Mwanza tu inahitaji masaa 20 kuichakaza totally!!
 
Hujuwi historia kaa kimya ficha ushamba wako kama hujuwi nenda kasome urudi kuomba radhi.
Yupo sahihi kabisa.... Jeshi la kiyahudi ZOB lilichakazea huko Poland 1943 so ni kweli huko ulaya Israel anatandikwa asubuhi tu coz ni match yake
 
Head to head ina uhusiano gani na kutotumia technology? Head to head means jeshi vs jeshi sio ukiona maandalizi tu unaanza kuvamia...... counter attacks kma zile za Pearl Harbor ndio ziliifanya Japan kuwa jeshi imara kuliko US?

Ila head to head ilipokuja uliona kibao kilivyogeuka? Use all the technology but u need to face off an army sio kumuwahi adui wakati hajaingia kiwanjani bado.

Nakwambia ile 6 day war kma sio kufanya attacks kabla risasi haijarushwa na misri ndio ilimaliza vita mapema otherwise hakuna namna jeshi la watu laki lingeweza kustretch over three fronts in sea air and land.... Exhaustion would take its toll.

Head to head ina uhusiano gani na kutotumia technology? Head to head means jeshi vs jeshi sio ukiona maandalizi tu unaanza kuvamia...... counter attacks kma zile za Pearl Harbor ndio ziliifanya Japan kuwa jeshi imara kuliko US?

Ila head to head ilipokuja uliona kibao kilivyogeuka? Use all the technology but u need to face off an army sio kumuwahi adui wakati hajaingia kiwanjani bado.

Nakwambia ile 6 day war kma sio kufanya attacks kabla risasi haijarushwa na misri ndio ilimaliza vita mapema otherwise hakuna namna jeshi la watu laki lingeweza kustretch over three fronts in sea air and land.... Exhaustion would take iHivi wewe unajielewa kweli?
Hivi wewe unajielewa kweli!

Yani ulitaka kwenye vita wafanye kama watoto wa primary schools mara waanze kwanza kukunja suruali, mara wachore vimistari waseme su!

Adui akijipanga kukushambulia unatakiwa umuwahi kabla hajakuletea madhara.

Angalia vyombo vya habari muda huu kuna jengo lingine la hamas lipo kwenye target ya kulipuliwa leo.

Hamas wataendelea kufinywa polepole mpk kiburi kiwaishe
 
Kma ni counter attack yes Israel hawezi kupigwa milele ila akirushiwa risasi ya kwanza ndio utakua mwisho wake.

So aendelee na strategy hiyo hiyo ya kupre empt attacks. But siku wakimuanza wao ndio kwisha habari yake. Ndio maana kila cku anaua wataalam wa uranium energy coz anajua a full scale war hawezi shinda tofauti na mnavyowakuza humu kuwa ni invicible.

Hamas ni kikundi ila wapalestina ni Raia ambaoo kuna wayahudi na wakristo pia so mnaposhabikia huu uonevu fikirieni hili. Na ambalo hufaham kuna waarab million 2 yaani wapalestina million 2 wanaishi Israel na wapo jeshini.

Shida wengi mnacomment kishabiki tu
 
Israel ni Taifa moja doogo kuliko hata Rwanda, kiuwezo na kitekinolojia ni Sawa na mataifa yote ya ulaya na ya kiarabu yote
Kuna ukweli kwamba taifa hili linaweza kuwa ndilo taifa ambalo Mungu alilipigania toka utumwani misri kipindi cha Nabii Mussa na Joshua - kwamba hawa ndiyo uzao wa Ibrahim na Yakobo ambapo Ibrahim alipewa ardhi hii na Mwenyezi Mungu.
 
mkongwe bado haujawa updated ...... unajua kuwa biden ameunga mkono cease fire because of the political pressure ya senators wake huo ndio mfano hai wa kwamba the world does not pay support kwa mambo ya netanyahu na serikali yao ya kibaguzi (apartheid regime)
vilevile nikusaidie tu hakuna mwenye mostly advanced rocket interceptor kama israel ambae yeye anayo iron dome ambayo kwa hakika hakuna rocket ya kusema inaweza ikasababisha yeye apate madhara kiasi cha kuvurumisha hayo masilaha anayopewa na kina marekani na washirika wake na ndio maana dunia inamwambia hizo iron dome ni protection machine tosha kinyume na anavyo taka tumuelewe kuwa anajilinda kwa kushambulia raia na kuuwa watoto wadogo mpaka kwa kuwachinja na video zipo zinafanya kurotate
na mpaka sasa watete wote wa israel kwenye international arena wemeprove failure kujibu hoja kama yule msemaji wa ikulu alipoulizwa palestina wanahaki ya kujilinda akashikwa na kigugumizi mbele ya halaiki na kingine ninachokupa assaignment ni kuwa hao mazaoyonist ndio walianza kuvamia msikiti na kuwapiga watu pamoja na mabomu ya machozi na kuwafanyia vurugu ndio hamasi wakareact na sio walikaa tu wakapandwa na wazimu wa kurusha hovyo mabomu.
mwisho :hahahahhaha....... na hiyo mifano ya kina iddi amini na nyerere wala haisadifu mauzui ya israel ambae supper powers wanampa atakacho na palestina ambae hata cement na chuma anapewa kwa masharti
Kama unakumbuka vizuri historia ya hawa watu, mambo ya cease fire sio mapya, always huaga yanatokea, nadhani mara ya mwisho ilizungumzwa the same kwa vita ya mwaka 2006, vita vinakuaga vikali sana, umwagaji wa damu mkubwa, mwishoni hayo hayo mataifa makubwa hua yanatakaga hiyo unayoisema cease fire; but nikupe benefit of no doubt kwamba ni kweli sipo sana updated cause kwasasa hata taarifa za habari siangali saaana cause nimeona ni u tune ubongo wangu kushibishwa na vitu tofauti, tokea JIWE awe madarakani hadi sasa nimekua sio mwangaliaji wa habari kiviiile cause nyingi zilikua za upande mmoja na za kimaitaifa ndio hivyo, vita tu ndio inaonekana HABARI ya maana, na vitisho vya Korea, Iran na hao hao Wamarekani, nikajikuta naanza kua mpenzi wa maagizo hasa kama mpira umeisha au muda ambao hakuna mpira, vinginevyo now days nasikiliza zaidi music. Mambo ya habari za kuangali saaana habari za watu KUFA either kwa vita au magonjwa (hasa corona ) nimeona niachane nazo so thanks kwa upadates za kinacho endelea huko middle east.
 
ahahahahah....... Mazindu msambule ndani ya hitimisho
 
Unaweza nitajia hizo nchi saba mkuu, maana nachojua alikuwepo syria,Egypt na jordan na aliyepigana per se ni Syria na Jordan maana Egypt kabla hajarusha Risasi wayahudi walivamia na kuharibu miundombinu ya kivita otherwise ingekua head to head hakuna mtu anaweza shinda vita on three fronts.

Jordan naye walikua na mfalme coward tu na muda wote alikua anataka mazungumzo tu na ali concede defeat mapema sana.

Had it been serious nations kama Iran na Syria ya sasa yenye back up ya Urusi nadhani wote tunajua historia ingekuaje kwa sasa
Lebanon, Iraq saudi Arabia,libya,sudan,walitoa wanajeshi na silaha msaada mkubwa ulitoka urusi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Mbona na wewe unachangia kwa kuegemea upande uupendao? Yani hutaki wengine wawe na misimamo yao ila wewe ni sawa.
emoji3.png
[emoj
Labda nikuhoji swali dogo - nani kaanzisha vurugu zinazo endelea hivi sasa baina ya Wayahudi na Wapalestina - sema ukweli wako bila ya kupendelea upande wowote.

Kitu kingine cha kumaliza mzizi wa fitina,ebu angalia ramani ya Taifa ya Upalestina kabla ya mwaka 1948, inaonyesha nini kuhusu eneo lililo kuwa la Kipalestina tangu mwanzo,sasa linganisha na ramani ya eneo hilo hilo baada ya kuundwa kwa Taifa la Israel mwaka 1948 baada ya Umoja wa Mataifa ku-annex sehemu ya eneo la taifa la Palestina na kuwakabidhi Wayahudi, sasa nini kilifatia baadae: Wayahudi wakaaza kujipanua, wanawatimua kinguvu Wapalestina kwenye makazi yao halali na kupora aridhi ya Wapalestina na kuwapatia Wayahudi walowezi wa kutoka Amerika, Ulaya ya magharibi na mashariki, Afrika kaskazini na Ethiopia pamoja na Asia huku udhalimu na dhuluma za Wayahudi zikiungwa mkono na utawala wa Merikani.

Baada ya Wayahudi kuanzisha operation ya chini kwa chini dhidi ya Wapalestina, basi Wapalestina wengi wakaishia kuwa wakimbizi wakakimbila nchi jirani na kuishi kwenye nakambi ya wakimbizi --udhalimu huu, ubaguzi wa rangi na kuto heshimu haki za binadamu bado unaendelezwa relentlessly kwa raia wenye asili ya Wapalestina/Waarabu in occupied land ya Kipalestina, as I said Wayahudi wanapewa kiburi na nsaada mkubwa wa silaha kutoka utawala wa huko Merikani, cha ajabu Waamerika hao hao wanawakalia kooni Wachina,Warusi,Wairan,Korea kaskazini kwamba wanakihuka haki za binadamu ,ukihoji Serikali ya Merikani kwamba mbona Wayahudi ndio vinara wanao kihuka/kutojali hakia za binadamu/Wapalestina mashariki ya kati - Wamerika wanakaa kimya kabisa linapokuja suala la Israel.
 
Hapo ndio utajua, Mungu wao yupo macho. Hasinzii wala hachoki.
Hhahahahha...... kwa kusaidiwa silahana na marekani ili kuwasaidia marekani na waingereza kudistarbilize middle east au mungu aliye macho ndio anawateremshiaga silaha
 
Palestina kwani ina jeshi? Si brigade tu ya guerilla. Jeshi lipo Iran huko ndio size yenu ila hao palestina mnawaonea tu kisa hawana supply ya chochote.

Hata Israel walikua na jeshi linaitwa ZOB na lilipigana vita ya dunia huko poland but lilichakazwa na Askari wa Hitler so msiwakuze sana hao wahuni.

Ila nikwambie leo hapa siku US ikiachana na Israel ama itokee china/russia waingilie hiyo vita ubabe wa kibaraka Israel utaisha hapo. Balance of power itashift eventually
Mkuu tatizo huwa husomi vitabu vyenye maarifa ya maada unazotoa maoni, Kwenye kitabu cha thw art of war kuna mfano ulitumika Sungura mjanja alikuwa rafiki wa simba, Hakuna alietaka kumgusa kwa kumhofia simba....Akili ni mtaji mkubwa sana kuliko saizi ya mwili, Ndicho anachofanya israel kuwa na marafiki kama US na China na Russia japo hawa marafiki zake hawapatani ila kwake ni msaada, Hao Iran wanajua kabisa watashikwa kalio na marafiki zake Israel ndio maana wanatumia magaidi kisiri siri kujaribu kumshambulia israel kwa kuwafadhili Hamas wanaotumia raia wa Palestina kama ngao.

Eti Marekani aachane na Israel, Unaota au, Marekani kamganda Israel sana 😂😂 Endelea kuota mkuu, Wacha dawa iwapenye hao Hamas wanaotanguliza maisha ya watu yawe ngao ya kuitumia kupigia kelele kwenye vyombo vya Habari.

Hao hamas ni kama Jibaba linaloshambulia watoto ila likikutana na saizi yake linatumia mke wake na watoto wake kujikingia kipigo.
 
hahahaa.... we nae naona unachanganya maneno sasa israel hivi ni rafiki wa marekani au ni taifa la marekani na uingereza lililojitengeneza kuwa israeli na ndio maana hilo ndio taifa pekee duniani lililoundwa na usalama wa taifa na sio taifa ndio lililounda usalama wake wa taifa. vilevile swala sio hamasi kuwa magaidi kwasababu freedo fighters wengi huitwa magaidi hata mandela alipewa jina la gaidi ingawa kwetu alikuwa ni shujaa na hii ni kwasababu wanaadamu wengi wanalebo mbili kwako mwizi kwetu shujaa, kubwa ni lazima israeli asaidiwe kuwepo hapo na marekani ili kuzui ustawi wa mashariki ya kati kijeshi na kiuchumi ambayo inaweza kupelekea kuundika kwa dola zenye nguvu kama ilivyokuwa ottman empere ambayo mostly lazima waarabu wakiachwa wenyewe watataka iwepo .
lakini pia for which evidence unaweza sema kuwa hamas ni magaidi na ugaidi ni nn, hasa ukifuatilia utagundua wanatakiwa wapewe jina baya ili ipatikane uhalali wa wao kushambuliwa na ili uamini hivyo hao hamas wamechaguliwa na wapalestina kwa kura kuongoza hapo ukanda wa gaza sio kwamba walivamia tu au walipateka kimabavu ila misimamo yao ndio inayowauzi wayahudi kwasababu wao sio watu wa ndio mzee wao ni watu wa piga nikupige
mwisho yeyote anahaki ya kumsaidia hamasi kama vile israel anavyopokea unconditional grants kutoka kwa marekani na washirika wake kama uingereza na canada msaada wa kipesa na silaha ndio usiseme ukitaka kuamini tafuta kitabu they dare to speak cha paul finley aliyepata kuwa senotor republican kipindi cha regan
 
Mkuu tatizo huwa husomi vitabu vyenye maarifa ya maada unazotoa maoni, Kwenye kitabu cha thw art of war kuna mfano ulitumika Sungura mjanja alikuwa rafiki wa simba, Hakuna alietaka kumgusa kwa kumhofia simba....Akili ni mtaji mkubwa sana kuliko saizi ya mwili, Ndicho anachofanya israel kuwa na marafiki kama US na China na Russia japo hawa marafiki zake hawapatani ila kwake ni msaada, Hao Iran wanajua kabisa watashikwa kalio na marafiki zake Israel ndio maana wanatumia magaidi kisiri siri kujaribu kumshambulia israel kwa kuwafadhili Hamas wanaotumia raia wa Palestina kama ngao.

Eti Marekani aachane na Israel, Unaota au, Marekani kamganda Israel sana 😂😂 Endelea kuota mkuu, Wacha dawa iwapenye hao Hamas wanaotanguliza maisha ya watu yawe ngao ya kuitumia kupigia kelele kwenye vyombo vya Habari.

Hao hamas ni kama Jibaba linaloshambulia watoto ila likikutana na saizi yake linatumia mke wake na watoto wake kujikingia kipigo.
Yaani kwenye Art of War ndio umeona mfano wa kitoto hivyo? Mbona huongelei tactic ya negotiate while advancing kama wanayofanya palestine? Ama use terrain to ur advantage..... Environment as a weapon of war? Kama unavyodai wanajificha kwa raia? Application ya kitabu can be to anyone sio tu Israel kikubwa ni adaptation.... Yaani unachukua elimu mpya kuifit na mazingira na sio kama ilivyo.

Mfano wako huo kwamba sungura haguswi unakumbuka Kipindi israel imeteka negev huku mpaka suez/Sinai? Aaah alikuja kuachia ardhi kwanini kma ni sungura asiyeogopa alipisha? Its simple mataifa makubwa yanaingilia vita yakiona maslahi yao yanaguswa so ikitokea siku Israel kateka tena Suez nakuhakikishia utaona hao Russia na china wanamwaga risasi hapo Middle East.

Ukitaka kuliona hilo jiulize licha ya roketi kila siku kurushwa kutoka syria why Israep haijawahi vamia Syria. Coz inajua itagusa maslahi ya Russia hivyo watageuziwa kibao. Kiufupi Israel is a coward ila uzuri umekiri kwamba haina uwezo yenyewe inategemea huruma ya US tofauti na mnavyoisifia hapa kwa hoja cjui inaogopeka cjui hakuna anayeiweza!!
 
Lebanon, Iraq saudi Arabia,libya,sudan,walitoa wanajeshi na silaha msaada mkubwa ulitoka urusi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Nchi zilizopigana ni tatu tu.... Kama issue ni silaha basi Israel pia ilipigana ikiwa na US na UK!! Au umesahau ilivyo lipua meli ya USS liberty akidhani ni ya adui? Unadhani kazi yake ilikua nini pale?

3 versus 7 nadhani ni balanced kuliko kudanganya ni 1 versus 7. Ni kuwapa sifa za bure tu.
 
Wavaa makobazi bhana eti Hezbollah ndo awapge isrAel aaahahaa
Vita anayopgana Hezbollah si ndo km hii ya hamas ya kujfcha kwa raia wema
Kama Hezbollah anajiweza si avamie milima ya golan awasaidie syria au avamie israel ndani au aende Palestine
unaropoka ww.
israel vita ya 2006 alivamiwa mpk ndan ya mipaka yake na hizbollah na alichapika vibaya na ile vita ilikua ya man to man.
kafuatilie truthful confrontation na bint jubayl confrontation utaelewa kwann hezbollah ni kikwazo kwa israel.
na wao hawawez kuanzisha vita maana wanajua NATO itawashukia maan mshikilia UN anawasapoti israel ila siku akiacha kuwasapoti israel wataeleza
 
Back
Top Bottom