Israel begins to take their land back permanently

Subiri mzee baba umeme umekatika ofisini utafurahi unafhani ushoga haupo kwa ndugu zako waarabu tena kuna uzi mmoja hapa wa mashoga wa kiarabu wanacheza na kukatoka mbele ya wenzake wanamtuza hela tena wamevaa mavazi ya kuswalia.

Usitake nikuharibie swaumu mkuu
Hivi kuna ndugu zangu waliokuwa chosen people
 
Subiri mzee baba umeme umekatika ofisini utafurahi unafhani ushoga haupo kwa ndugu zako waarabu tena kuna uzi mmoja hapa wa mashoga wa kiarabu wanacheza na kukatoka mbele ya wenzake wanamtuza hela tena wamevaa mavazi ya kuswalia.

Usitake nikuharibie swaumu mkuu

Leo waarabu wamekuwa chosen people?? Naona unapapatika na wateule wako :p :p mpaka umeukata umeme huku unaandika
 
Leo waarabu wamekuwa chosen people?? Naona unapapatika na wateule wako mpaka umeukata umeme huku unaandika
Mi nimesema wapi hilo neno mkuu? Hebu fatilia majibizano um-qoute aliyesema ivo mi ntakuharibia swaumu mkuu
 
Israel ishafanya dhambi saaana na kuadhibiwa na Mungu ila Agano la Mungu la kuifanya Taifa teule haijawahi kubadilika. Nyie uzao wa ishmael pigeni sana kelele ila ushoga umejaa sana arabuni na Africa mashariki mnaongoza Tanga, Zanzibar, Lamu maeneo ya Waislam
Sasa kama ni yes si ndiyo hizo tunazoambiwa na Jerusalem post kuwa Israel inaongoza Kwa ushoga duniani au vipi??
 
Israel ishafanya dhambi saaana na kuadhibiwa na Mungu ila Agano la Mungu la kuifanya Taifa teule haijawahi kubadilika. Nyie uzao wa ishmael pigeni sana kelele ila ushoga umejaa sana arabuni na Africa mashariki mnaongoza Tanga, Zanzibar, Lamu maeneo ya Waislam

Ushoga umeenea kila mahali lakini Kwa Israel wanasema wenyewe kuwa wanaongoza Ulimwenguni Kwa ushoga. Na Pia wameruhusu watu waliooana Kwa ndoa za jinsia moja kuishi Israel kisheria. Sasa nitajie hiyo miji ulioandika ni wapi ushoga unaruhusiwa ? Jee taifa lako Israel ni teule Kwa vipi? Kuongoza ushoga??:p:p

https://www.timesofisrael.com/topic/gay-marriage-in-israel/
 
That's mere rhtorics of Isreal she has never wished good the state of Palestine......had she had the power to remove it from the world map she would have done it long ago......
Unaziona hizo mekava tanks lakini
 
Back
Top Bottom