Israel begins to take their land back permanently

safi sana israel..ngojeni na wale hizbolah tuwasikie wanasemaje,,

minataka litengwe fasta tuone matokeo,,,
 
nasikia imeandikwa wana macho makubwa sawa na vikombe; are those women or demons? anyone please to explain
Hoo hiyo ni spiritual language sio rahisi kuelewa kama huna faith sisi wakuristu tunaamini kwamba tutakua tunakula Asari na maziwa tu kwa Mungu hamna kazi nikumuibia buana.....ukianza kuhoji hilo utapata majibu......imagine utapata je maziwa bila ngombe hao ngombe watakua wangapi kunywesha watu wote nk....
 
Nasubiri hizo stor za netanyahu hahaha nawacheka nikikumbuka Lebanon walivyoenda kwa mbwembwe doooh
Strong words does not bring salution to the problems. Netanyahu is addressing to powerless people his shameful speech couldn't able to realise for more then 50 years Israel couldn't able to control Palestine with all the power they have
Baada ya ile speech umesikia Wapalestina wakirusha makombora
 
Israel hatii mguu kule Gaza
Siku zote Hamas huombea Israel aingize askari wa Mguu Gaza wawatungue.
Israel inachokifanya ni kupiga tu kutokea mawinguni ns kuharibuharibu kule Gaza lakini Haina ujasiri wa kuingiza boots on the Ground Gaza.
Walijaribu miaka kadhaa iliyopita kilichowakuta hawatosimulia
 
Ndo washachimba biti na wapalestina wameelewa saivi kimya jamaa wakisema wanamaanisha
 
Ndoa washachimba biti na wapalestina wameelewa saivi kimya jamaa wakisema wanamaanisha

Wapalestina wamepewa mpunga ambao Israel alikuwa akiuchelewesha.
Hamas wamepiga biti kuwa Israel ikichelewachelewa kuwapa walichokubaliana wanakinukisha tena.
Sasa hivi ndani ya Israel kuna watalii kibao wamekuja kwenye mashindano ya uimbaji ya Eurovision, Israel inaogopa tamasha hilo lisiharibiwe na Hamas, Imeachia hela kutoka Qatar zije
 
Wapo waisrael wale wanaoamini dini yao na wapo mapandikizi waliowekwa hapo
Ukiangalia wale wenye msimamo mkali wa dini hawapendi haya mambo ila ndio hivyo tena
Kumbuka kuna mafuta mengi pale Golan heights na Trump anakodolea macho
All in all kuna kitu zaidi ya ugomvi wao
Hahahaha acha story za kizushi na za kizamani mkuu hayo mafuta na gesi sio muhum sana now acha kutulisha matango....!.siku hiz kuna vyanzo vingi vya uhakika vya nishati kama nyuklia
Ambayo inaweza run karibu kila kitu dunia.
 
Wacha wabebe kila kitu who cares
Sisi ni wapambe tu na ukienda tel Aviv wanakuona kama falasha wengine tu
 
Back
Top Bottom