Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,553
Wewe ukifa unaenda wapi !?sidhani kwani wakifa si wanakwenda mbinguni!
Wewe ukifa unaenda wapi !?sidhani kwani wakifa si wanakwenda mbinguni!
Tuko pamoja mkuuBro tumemuelewa saana
nasikia imeandikwa wana macho makubwa sawa na vikombe; are those women or demons? anyone please to explaintena wanapata 72 virgins
nasikia imeandikwa wana macho makubwa sawa na vikombe; are those women or demons? anyone please to explain
Hoo hiyo ni spiritual language sio rahisi kuelewa kama huna faith sisi wakuristu tunaamini kwamba tutakua tunakula Asari na maziwa tu kwa Mungu hamna kazi nikumuibia buana.....ukianza kuhoji hilo utapata majibu......imagine utapata je maziwa bila ngombe hao ngombe watakua wangapi kunywesha watu wote nk....nasikia imeandikwa wana macho makubwa sawa na vikombe; are those women or demons? anyone please to explain
Kama Magufuli na Tanzania yetu.Dunia inaendeshwa kinabe mno zama hizi
Nasubiri hizo stor za netanyahu hahaha nawacheka nikikumbuka Lebanon walivyoenda kwa mbwembwe doooh
Baada ya ile speech umesikia Wapalestina wakirusha makomboraStrong words does not bring salution to the problems. Netanyahu is addressing to powerless people his shameful speech couldn't able to realise for more then 50 years Israel couldn't able to control Palestine with all the power they have
Ndo washachimba biti na wapalestina wameelewa saivi kimya jamaa wakisema wanamaanishaIsrael hatii mguu kule Gaza
Siku zote Hamas huombea Israel aingize askari wa Mguu Gaza wawatungue.
Israel inachokifanya ni kupiga tu kutokea mawinguni ns kuharibuharibu kule Gaza lakini Haina ujasiri wa kuingiza boots on the Ground Gaza.
Walijaribu miaka kadhaa iliyopita kilichowakuta hawatosimulia
Ndoa washachimba biti na wapalestina wameelewa saivi kimya jamaa wakisema wanamaanisha
Hahahaha acha story za kizushi na za kizamani mkuu hayo mafuta na gesi sio muhum sana now acha kutulisha matango....!.siku hiz kuna vyanzo vingi vya uhakika vya nishati kama nyukliaWapo waisrael wale wanaoamini dini yao na wapo mapandikizi waliowekwa hapo
Ukiangalia wale wenye msimamo mkali wa dini hawapendi haya mambo ila ndio hivyo tena
Kumbuka kuna mafuta mengi pale Golan heights na Trump anakodolea macho
All in all kuna kitu zaidi ya ugomvi wao
Wacha wabebe kila kitu who caresHahahaha acha story za kizushi na za kizamani mkuu hayo mafuta na gesi sio muhum sana now acha kutulisha matango....!.siku hiz kuna vyanzo vingi vya uhakika vya nishati kama nyuklia
Ambayo inaweza run karibu kila kitu dunia.
Wacha wabebe kila kitu who cares
Sisi ni wapambe tu na ukienda tel Aviv wanakuona kama falasha wengine tu
Sijatunga lakini mkuu ila mafuta na gas yapo sana tuKweli mkuu lakini sio sababu ya sisi kulishana matango na chuki mkuu.
Hiyo ni michezo ambayo huwezi kuilewa...UN=USA=ISRAELKwa taarifa yako UN wanaichukia Israel ila balozi wa US Nikki Haley anawanyooshaView attachment 1093874