Ismail Jussa umekosa heshima, adabu wala nidhamu!

Ndevu mchezo.......................Ninyi ndiyomnamjua leo,hapo bado................
 
ukitaka kujua uzaif wa system, jama aliteuliwa kuwa vitu maalum na presida
 
images

Hivi kumbe ni Mhindi sijui Mwarabu? Mimi nikadhani labda Mzanzibar Mwafrika. Halafu watu wanamshabikia. Anyway tumechoka na kelele zao hawa Waarabu koko acha waondoke tupate Tanganyika yetu tuliyoipoteza kisa muungano ambao hautusaidii kitu chochote.
Kwani wakiondoka tutapata hasara gani. Kitu ambacho hatutaki ni muungano wa mkataba, waondoke kijumla au tuwe nchi moja na Zanzibar iwe na mikoa miwili Pemba na Unguja. Vinginevyo acha tuutue mzigo tubaki na tanganyika yetu yenye asali na maziwa

ndio kawaida ya wahindi koko .unamkaribisha baadae anawaona wajinga ,tazama hakuna mwaafrika mweusi kiongozi wa kupinga muungano .wengi ni waarabu au wahindi koko.hawa wafuasi weusi ni wajinga na waganga njaa hawajui mwisho watafulishwa chupi
 
Tanganyika tutaendelea kuwatawala znz maana hamjitambui , wavivu mnaotaka mkae vibarazani kutwa na mle bure! pia znz ni ndogo hata kwa wilaya ya chunya mbeya.......kamwe hatuwaachi , japo siwapendi maana mnatujazia bunge letu mibunge ya ccm ndiyo mzee yenye elimu za std 7 hata kusoma au kuandika mstari wa kiingereza hawawezi.. Chezea nyerere wewe aliwaweza kwelikweli hahahahaha!
 
Mleta huu uzi kweli ww ni kilaza huna heshima na hujui unaloliandika ama ulikua unataka tentn za watu mm sijaona tusi hapo hata moja
 
wewe pofu hiyo sio kutokana na waarabu ni uislamu unaosema oweni wawili, watatu, wanne kama hamuwezi kutenda haki basi oweni mmoja tu... kama kuna kosa ni juu yangu mimi.

Kwanini usiseme mila za kiafrika kama South Afrika akina Jacob Zuma zinaruhusu wake wanne. Kwanini usione Swaziland ambao mfamle wao kila mwaka anaowa vigori wadogo kabisa. Huu ujuha wa kuwacha kusoma mambo mukajifunza ndio unaokutieni matatizoni na mpaka kufikia kuonekana wabaguzi na naam wabaguzi. Wewe jadili hoja ya Jussa usimjadili yeye. Magazeti yenu yamemsema na yeye kajibu na nimekuleteeni clip mumebaki ahaa lakini fyoko fyoko kunde maharage.

Kutwa anatukanwa maalim Seif Shariff. kwani yeye si mtu mzima, yeye hana watoto... Mkuki kwa nguruwe tu eheeee....
 
Mleta huu uzi kweli ww ni kilaza huna heshima na hujui unaloliandika ama ulikua unataka tentn za watu mm sijaona tusi hapo hata moja

kwa sababu na wewe ndo lugha yako huwezi kuona matusi
 
Mutabaki hivyo hivyo, kwetu sisi Zanzibar ni BIRIANI kuna mpaka wachina wote wana haki moja. Mzee Hassan nassor Moyo kwao Singida lakini yeye kazaliwa Zanzibar.

Ndio maana sisi tukataka urafiki na visiwa kwasababu hizi hizi watu wa bara muna ubaguzi. Singapore wengi wao ni wenye asili ya china, lakini kuna mawaziri na maraisi wenye asili ya Sri Lanka hata rais wao sasa ni hivyo. Ghuyana ndio usiseme.

Lilo bakia sasa hivi kutafuta nani mwafrika na nani mwarabu mumeishiwa.

Kama chupi hivi sasa wabara kibao wapo Dar wanakosha chupi,Zanzibar tuna warangi kibao, Dubai hivi sasa kuna watanzania wengi wanakosha chupi, Oman wapo wengi tu... Kwa hiyo hilo si geni. nyinyi wafukuzeni akina Mohamed Dewij kama alivyo Idi Amin ikisha baada ya miaka ishirini waafrika kusha kuuwana na kuwa mafukara kawaitteni warudi.
 
kwa sababu na wewe ndo lugha yako huwezi kuona matusi
Hivi ndugu yangu nikisema unyerere ni tusi hebu nitafutie katika kamusi basi pia u clmax nao ni tusi u sicialist ni tusi u capitalist ni tusi kweli a fool is a fool either go to school o not still a fool
 
Sawa maana hayo majumba hapo Kariakoo mumeyajenga nyinyi. Huko mikoani wale wapemba wanao limisha mashamba wanatumwa tu. Tunao vijana wa Kibara huko nje, UK, Marekani kubwa kulewa kama Mac Makuba ali kibaa hakukosea...
 
European union? Kweli huyu jamaa ni kilaza, kwa kuwa kama anataka muungano wa aina ya EU tayari tunao ambao ni EAC, na kwa ngazi ya Afrika tuna AU. Dunia nzima sasa wanazungumzia kuungana yeye anazungumzia kutengana, na ajitenge peke yake kwa kuhama Tanzania. Kama ana akili kweli kwa nini hazungumzii muungano kama wa USA? na twende kwenye muungano wa aina ya USA, siyo EU, na wasiwasi na uelewa wa mtu huyu.
 
Hivi ndugu yangu nikisema unyerere ni tusi hebu nitafutie katika kamusi basi pia u clmax nao ni tusi u sicialist ni tusi u capitalist ni tusi kweli a fool is a fool either go to school o not still a fool
werema si wote wenye akili wana vichwa,
sugambaga!
 
Raha huyu Degree yake hakusomeshwa na akina dr Lwaitama, sijuwi Baregu, kasomeshwa a wenye kujuwa elimu. Hawa wanaokwenda Mlimani huishia CCM umoja wa vijana au CDM
 
Nimependa hii "fool is a fool either go to school o not still a fool" mimi huwaita makasuku. Akisha kusemwa vibaya Jussa kwenye Nipashe basi hawataki kujuwa kasema nini na nini hata uwaletee video.
 
Nimependa hii "fool is a fool either go to school o not still a fool" mimi huwaita makasuku. Akisha kusemwa vibaya Jussa kwenye Nipashe basi hawataki kujuwa kasema nini na nini hata uwaletee video.

ndo akina jussa hao,wameenda shule wakabaki na uful wao
 
Na kikwete akamteuwa kuwa Mbunge na Spika Sitta na saba akampongenza na kusema kijana kawiva. Tena kwenye kipindi kidogo sana si zaidi ya miezi mitano akiwa ni mara ya mwanzo kuingia kwenye shughuli za kibunge... sasa nadhani juha wewe unapelekeshwa mchaka chaka na M4C
 
Back
Top Bottom