Ismail Aden Rage: Simba na Yanga wasitumie neno 'Mabadiliko', limekaa kisiasa!

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,401
Ametoa maoni hayo kuhusu 'mabadiliko' yaliyotokea hivi karibuni katika vilabu vikongwe vya soka nchini. Kiongozi huyo wa kisiasa ambaye amewahi pia kuwa kiongozi wa kimichezo nchini ameviasa vilabu hivyo kutotumia neno 'mabadiliko' kwa kuwa limekaa kisiasa, ameshauri litumike neno 'mapinduzi' kuashiria mabadiliko ya kimfumo. Pia amevitaka kuwa makini na uwekezaji uliofanyika!

Chanzo: EATV HotMix
 
Waliofeli wakiona pale walipofeli wenzao wamefaulu roho zinawauma. Atulie tu huu ni wakati wa mabadiliko hawezi kushindana na nyakati zinapotimia, siasa peleka bungeni mzee vilabu vyetu tuachie wanamabadiliko.
 
Back
Top Bottom