Islamic Laws of Wills

Karim Mussa

Member
May 6, 2019
21
5
ISLAMIC LAWS OF WILLS

Basic Shares of the Most Common Heirs

What you see below are the basic shares of your most common heirs. In these examples, you have been considered as the deceased and the relatives mentioned here are your heirs.
You’re Heirs Their Shares

YOU’RE FATHER
If you had a child 16.66% (1/6)
If you had no child whatever remains after share of the mother and/or the spouse.

YOU’RE MOTHER
If you had a child or brother 16.66% (1/6)
If you had no child or brother 33.33% (1/3)

YOU’RE HUSBAND
If you had a child 25% (1/4)
If you had no child 50% (1/2)

YOU’RE WIFE
If you had a child 12.5% (1/8)
If you had no child 25% (1/4)

CHILDREN
Whatever remains after giving the shares of the parents and/or the surviving spouse? A male child gets twice the share of a female.

NOTE THAT;
In presence of a parent (or a grandparent) or a child (or a grandchild), the brother of the deceased does not get anything. However, he affects the share of the mother: instead of 1/3, it becomes 1/6.

I humbly Submit,
karim mussa
 
Yaa Kweli kabisa! Nakumbuka Mshua alifariki 2009 kutokea Arusha tukaenda kuzika Tanga Nipo mimi na mdogo wangu wa kike! Kipindi hcho tulkua under 16, Baba aliacha mali kadhaa Tulishkuru mungu Upande wa baba Walkua poa kabisa Mali ziligawanywa kwa sisi watoto tu(yani mimi na mdogo wangu wa kiki) Mgawanyo ulkua kwa asilmia!

Kama dini Isemavyo Uku mama yetu mzazi akiteuliwa kama Mzimamizi wa "MIRATHI".. kimbebe kikatokea hapo haPo baada ya mtoto mwingine wa kike kutokea! Ikidaiwa ni mtoto wa nje wa marehemu!na inasemekana Mashangazi wanamjua, sisi kama familia ilkua hatumtambui kwa kweli

Nadhani mshua aliamua kutunza siri asivunje ndoa Coz maza alkuaga Mtata sana ila wazee wa boma walikomaa na Watoto wa ndani ya ndoa(mimi na mdogo wangu) tukamaliza Shughuli salama.

Sasa tushakua wakubwa mimi na mdogo wangu kila mtu na kazi yake baada ya kuhitimu chuO na maamuzi ni yetu tulishamtafuta Dada yetu na tunampango nae aingie kwenye DIVIDEND ya miradhi.
 
Yaa Kweli kabisa! Nakumbuka Mshua alifariki 2009 kutokea Arusha tukaenda kuzika Tanga Nipo mimi na mdogo wangu wa kike! Kipindi hcho tulkua under 16, Baba aliacha mali kadhaa Tulishkuru mungu Upande wa baba Walkua poa kabisa Mali ziligawanywa kwa sisi watoto tu(yani mimi na mdogo wangu wa kiki) Mgawanyo ulkua kwa asilmia...
Asante kwa taarifa .... lakini kwa muujibu wa Dini yetu hii ya Uislamu Mtoto wa nje ya ndoa hana fungu wala harithi upande wa BABA, Because Any child bornout of wedlock is an illegal child. There is no mutual right of inheritance between him /her and the purported father.

She / he can inherit from the mother and vice versa, hapo nazani utakuwa umepata nyongeza hio endapo Huyo dada enu ni Mtoto wa nje ya ndoa.
 
Ya hyo naelewa kabisa! Ndo maana hpo Nmeleza kwa sasa tushakua watu wazìma Tunaweza tukatoa maamuzi aslong tunatambua mali ni zetu! Na tunaona Copy yetu ipo nje Syo mbaya kumpatia % kadhaa!.Na uzuri wao hawakuleta shida nyingi kipindi mirathi inagawanywa! Nadhan walitambua hyo sheria....
 
Anhaaa tuko Pamoja sana
 
Mlifanya makosa na ukafanya makosa...
Yaa Kweli kabisa! Nakumbuka Mshua alifariki 2009 kutokea Arusha tukaenda kuzika Tanga Nipo mimi na mdogo wangu wa kike! Kipindi hcho tulkua under 16, Baba aliacha mali kadhaa Tulishkuru mungu Upande wa baba Walkua poa kabisa Mali ziligawanywa kwa sisi watoto tu(yani mimi na mdogo wangu wa kiki) Mgawanyo ulkua kwa asilmia!
 
Kama mligawia kama mirathi basi mlifanya makosa... Ikiwa wewe kwa mfano ulipewa fungu lako na katika fungu lako ukaamua kwa ihsaan tu kama vile ungempa yeyote yule hata kama sio ndugu yako... Hiyo sawa...
Ya hyo naelewa kabisa! Ndo maana hpo Nmeleza kwa sasa tushakua watu wazìma Tunaweza tukatoa maamuzi aslong tunatambua mali ni zetu! Na tunaona Copy yetu ipo nje Syo mbaya kumpatia % kadhaa!.Na uzuri wao hawakuleta shida nyingi kipindi mirathi inagawanywa! Nadhan walitambua hyo sheria....
 
je kuvunjika kwa ndoa ya kiislamu mkeanahaki ya kugawan mali ikiwa yeye ni mama wa nyumbani na mme ni mtumishi wa serikali na mfano nyumba imejengwa kwa mkopo wa benki dhana ikiwa ni mshahara wa mme....naomba majibu
 
Swali;

Mwanaume ameishi na Mwanamke wa kwanza akazaa nae watoto wawili wa kwanza wa kiume, wa pili wa kike, wakaachana.(Hakumuoa)

Baadae akaishi na mwanamke (Hakumuoa pia) wa pili na kuzaa nae watoto wawili wa kike, akakaa na hii familia hadi mauti yalipomkuta. Je utaratibu wa mirathi ukoje?

NB: Mama Mzazi wa marehemu yupo hai, je nae anahusika vipi?

In Vino Veritas (In Wine Lies the Truth)
 
je kuvunjika kwa ndoa ya kiislamu mkeanahaki ya kugawan mali ikiwa yeye ni mama wa nyumbani na mme ni mtumishi wa serikali na mfano nyumba imejengwa kwa mkopo wa benki dhana ikiwa ni mshahara wa mme....naomba majibu
habari,
Hana haki yoyote kwani katika uislamu, dini hii haina cha kwamba ndoa imevunjika basi mgawanyo wa 50% kwa 50% haupo bali kitakacho anagliwa ni mali aliokuwa nayo kabla ya kuolewa na huyo mume wake ndio atapatiwa, kama hatakuwa nayo mali basi mume wake ata mpa sehemu ya mali kama kiinua mgongo (HIBBA) AU ZAWADI na sio kugawana mali...

Pili endapo mama huyo akichukuwa akigawana mali atakuwa kadhurumu haki za wengine kurithi mirathi ya BABA yao ndio maana kuepusha hilo mali itatolewa kama zawadi ili ikamsaidie huko alipo au atachukuwa mali yake aliokuwa nayo kabla ya ndoa
 
Swali;

Mwanaume ameishi na Mwanamke wa kwanza akazaa nae watoto wawili wa kwanza wa kiume, wa pili wa kike, wakaachana.(Hakumuoa)...
habari....,
watoto wa nje ya ndoa na mwanamke wa nje ya ndoa (hawala) hawana haki yoyote katika mirathi kwa muujibu wa kiislamu kwa muujibu wa hadithi sahihi ya Mtume (s.a.w).

Pia mwenye haki ya kurithi hapo juu ni mama mzazi wa marehemu basi na sio mtu mwingine tena maaana inajionesha hapo juu hakukuwa na ndoa yoyote ile na hao watoto hapo juu ni wa haramu.

mama wa marehemu anaweza kuwapa hao watoto sehemu ya mali kama kuwasaidia maisha lkn kwenye kurithi hawana share yoyote ile

i humbly submit
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom