Islamic Banking - NBC yawatoa hofu wananchi kuhusu akaunti ya Kiislamu

Status
Not open for further replies.
Bora unyamaze kimya tu maana unachojidai nacho hukijui...jiulize kwa nini waislamu wanakwenda ulaya na Marekani ambako vyooni ni toilet paper tu kwa usafi ni maji! Labda hujatembea na upeo wako umefikia hapo pwani ya bongo na Zanzibar..
Masikini Gad O mpendwa, Mbona unakurupuka..... Bora nikujuze hao waisalam waendao Europa,US,Canda nk wamefanikiwa kusilimisha kuIslam asilimia kubwa ya wenyenji wa huko na kuwageuza kufuata taratibu za kiisilamu na utamaduni wetu wa East/southern life styles.... FYI hiyo mmi mwenyewe nimeshuhudia na bora wee mwenyewe uliza kwa vijanwenu walo huko ! mkuu Hivi sasa ukienda huko utaona misikiti, Hotels nyingi zimeandaa spesho room for salaa(prayers) viyumbani kuna ishara ya Qibla, Mashuleni kuna assosieshen za kiisilamu, Airpots zao kuna sehemuza kutawadha na kusalii, White house huandaa futari kwa jamii na mengi zaidi culture za kiisilamu...Al-Hamdulillahi tunashukuru mungu kwa kutambulisha walongoka kwa kuitumikia na kuihudumia dini yake Allah anawapa imani kinamna yake.... Japo kuwa wapambe wao kama nyie hamupendeleei.... Lakini milango ipo wazi 24/7 Dini hii ni ya kila mtu hakuna kaubaguzi..... Uisilamu haujengwii kwa fedha au mapesa mengi ni Moyo na imani ya kumtii mweziMungu, Kwa mungu Fedha ni kitu cha mwisho kabisa kukifikiria mkuu... By the way Riba ili wekwa Haramu kutokana na Uonevu wa Mabepari kuwanyonya wanyonge kama mimi na wewe na watu waina zetu, sasa unapotetewa Basi nawe jinyanyue usikomae kuubishi bila kutafakari anayekusimamia HAKI yako na kulinda haki za masikini. " SAY NO TO RIBA and MIFUMO YAKE " hutopungua kitu wala maisha yako hayataathirika au kuwa na kasoro zzote. Mwisilamu hatishiki wala haogopi isipokuwa amri na utii wa mungu tu. Sote tubarikiwe... Mfungo mwema na makubalio ya matendo mema kwa jamii/viumbe.
 
islamic banking is not a blessing na haiwezi kuboresha uchumi, mabenki yaanafanya islamic banking ili kupata cheap deposits kutoka kwa walevi wa dini
Mr. vipi hatuzungumzi kuboresha uchumi tu, hata siku moja IslmcBnkg haiInsist hayo isipokuwa kusimamia Pure and clean,Justice deposits. Ukitazama na ukifollow-up ki haki na ukweli tangu uzijue maBenk na huo uchumi nchini hadi sasa tupo WAPI na rank gani Ulimwenguni ?? Mmmh naona tumefika na siye ndiyo tunaekopesha mataifa yote na ndie tuliyendelea kiuchumi na kutenga misaada na kuokoa majangaa ya kifedha na kuipa IMF na World Bank bounds!! Aisee Tanzania tumeibuka na tumejinasua kwa kutoa RIBA kwa wateja hadi kufikia Subsidri.!! Nikupe kamfano Ona au ulizia Status wa nchi zisizo chukuwa RIBA iko wapi na nchi zenye kula RIBA zimo katika hali gani..!! Ohhh POOR me masikini TZ ipo ...... "hashakum" kumradhi jameenii hamutaki kukubali ukweli.. hayo sii makosa yangu. Pili usichanganye mantik na chuki za binafsi... just be caln na LOGIC.Good day and Good luck meet you next thread.
 
Bora umesema ukweli, wengi tunapenda dini zetu kuliko kumpenda Muumba ambaye ndo sababu za kuwepo hizo dini. Kutokana na kupenda dini zetu binadamu tumefikia hatua ya kuwaua binadamu wenzake kwa vile tu siyo wa dini zetu ilhali kama tungempenda Muumba zaidi tungezingatia agizo lake 'usiue'.
dah ! mkuu hapo umeongea ukweli mtupu
 
Ukimpa mtu hela zako halafu akurudishie bila riba huku zikiwa pungufu kwa inflation ni ujima. Wanaofanya hivyo wana mihela mingi hawahitaji faida. Haya NBC imarisheni hicho kitengo maana kina faida 100% mnatukopesha mnapata faida tu hamna cost.

---------------------------------------------

I think Islamic banking is there not to serve your interest wala msiishabikie sana coz ni source nzuri ya cheap funds kwa banks....while they give you zero interest on your deposit they are lending the same money at 20% and above....kwa hiyo depositor ndo always loser incase of inflation kama alivosema hapo juu niliemquote...naona mmeshaanza kujidai oooh islamic is everywhere kumbe mnaliwa tu na mnashabikia...bora muweke pesa kwny vibubu...wajinga ndo waliwao...nitawaelewa kama mkianzisha bank ambayo hata kukopesha mtu anarudisha bila riba tuone kama hyo bank itasurvive..lwenu
 
Haihitaji kuwa mwanakamati kuelewa ishu ndogo kama hio...sio kwa sababu hukubali riba ndo udhani haitumiki na ikakugusa wewe.....unadhani profit ya banks ni kwa wewe kwenda kutoa pesa kwenye ATM? Uliza vizuri utafahamu pia kiasi gani cha hio profit ambayo kwa kiasi kikubwa inatokana na riba inatumika kwa the so called corporate social responsibility ambayo futari hiyo ni mojawapo....acha ushabiki tu blaza hii sio vita
 

Let us remain in the thread's context. According to the codes of Sharia Finance, a portion of all funds invested must go to Islamic charities. This provision sounds nice, but the problem is knowing what activities these charities support. Over two dozen Islamic charities in the U.S. for example, have already been classified as terror sponsoring organizations.

FYI: Sharia is a system that promotes inequality for non-Muslims, women, and other ‘inferior’ classes.

hata wapagani,wanaoabudu dini xinazoamini miungu wengi nao wametoa mchango mkubwa ktk hizo taaluma.
 
There is monetary deficiency in Sharia economics, inter-alia, Sharia Finance dictates that money can only be invested in companies that are approved by Sharia Supervisory Committees, in other words, a group of Imams/Sheikhs that determine where money can or cannot be invested. Does, NBC have those Sheikhs in their Board of directors?

Sharia Finance seeks to undermine and convert western capitalism, by infiltrating our economy from the inside. Sharia Finance wants you—and for that matter everyone worldwide—to allow committees of Sheikhs to decide where your money is invested.

In short, Tanzania is now executing Sharia to Tanzanians without parliamentary judicial approval. It is unconstitutional. Is Tanzania under Islamic sharia?
Acha kuumiza kichwa,nenda ukajiunge na islamic banking,upate mkopo usio na riba wala hasara,uopuke kupigiwa mnada nyumba yako.
 
islamic banking is not a blessing na haiwezi kuboresha uchumi, mabenki yaanafanya islamic banking ili kupata cheap deposits kutoka kwa walevi wa dini
6a kuumiza kichwa,usishindane na dini,inayokuwa kwa kasi,usiyemuweza ungana naye,Amerika,U.K,na nchi nyingi za magharibi zipo Bank hizi,wewe ukizipinga utapata Tabu.
 
islamic banking is not a blessing na haiwezi kuboresha uchumi, mabenki yaanafanya islamic banking ili kupata cheap deposits kutoka kwa walevi wa dini
ACHA kuumiza kichwa,usishindane na dini,inayokuwa kwa kasi,usiyemuweza ungana naye,Amerika,U.K,na nchi nyingi za magharibi zipo Bank hizi,wewe ukizipinga utapata Tabu.
 
Acha kupotosha watu. Dar es Salaam inatokana na lugha ya kiarabu na asilimia 20 ya kiswahili ni maneno ya kiarabu. Kiarabu sio kiislamu inabidi ufahamu hilo, na kuna waarabu wengi tu ambao ni Wakristu.
Kiarabu cha kiislamu ni tofauti na kiarabu cha kikristo,ni kama lugha ya kiswahili cha Biblia ni tofauti na kiswaili cha Quran,umande ndio umekufanye uogope kusoma.
 

Let us remain in the thread's context. According to the codes of Sharia Finance, a portion of all funds invested must go to Islamic charities. This provision sounds nice, but the problem is knowing what activities these charities support. Over two dozen Islamic charities in the U.S. for example, have already been classified as terror sponsoring organizations.

FYI: Sharia is a system that promotes inequality for non-Muslims, women, and other ‘inferior’ classes.

Acha kupteza mda,usiyemuweza ungana naye,ukijitenga utapata tabu.chukuwa hatuwa.
 
mwisho wa siku tutaaambiwa waskristo ni wabaguzi tukiomba kuanzisha bucha zetu. maana halisi ya uwislam ni kuleta mtengano na vurugu ili watu wasifike mbinguni. wanaleta mambo ya kujiisolate from others.
Benki za kikiristo mbona ziko miaka mingi?na waislamu hawajapiga kelele?Benki zinazo toa na kupokea riba zote ni za kikiristo.
 
Bora unyamaze kimya tu maana unachojidai nacho hukijui...jiulize kwa nini waislamu wanakwenda ulaya na Marekani ambako vyooni ni toilet paper tu kwa usafi ni maji! Labda hujatembea na upeo wako umefikia hapo pwani ya bongo na Zanzibar..
Ulaya wanatumia karatasi kwa sababu ya Baridi,wewe uko Tanzania nchi ya joto,bado watumia karatasi chooni,mbona kuoga ,huogi kwa karatasi,abadilika,chukuwa hatuwa.
 
Haihitaji kuwa mwanakamati kuelewa ishu ndogo kama hio...sio kwa sababu hukubali riba ndo udhani haitumiki na ikakugusa wewe.....unadhani profit ya banks ni kwa wewe kwenda kutoa pesa kwenye ATM? Uliza vizuri utafahamu pia kiasi gani cha hio profit ambayo kwa kiasi kikubwa inatokana na riba inatumika kwa the so called corporate social responsibility ambayo futari hiyo ni mojawapo....acha ushabiki tu blaza hii sio vita

Acha kuumia kichwa,usiyemuweza ungana naye,hizi banki ziko dunia nzima.
 
Makafiri hawatoaacha chuki zao mbele za Waisilamu wenye dini ya haki songa mbele Islamic Banking na lazima nchi tuisilimishe na hata wakinuna na wanune tu sisi yetu inayeya tena watautangaza uisilamu kwa gharama zao wenyewe sisi tunakula futari tu maana ni wao hao hao makafiri ndio wameanzisha hizo islamic banking na kuweka matangazo mji mzima ya kutangaza uisilamu sio tunakula tende maana tupo safi na dini yetu na tukifa tunakwenda peponi inshallah
 
Basi makafiri wakiona hizo islamic banking wanachukia mtakufa na vijiba vyenu vya roho
 
True Christians will not participate in islamic "IBADHA". We know the background of every islamic institution is Allah who denies the deity of Jesus Christ.

Tanzanians: Make sure your money is invested safely, and take concrete steps to prevent those in your community from fueling the global spread of Sharia Finance. It is Islamic and by no means we are going to support Allah {through Sharia finance} who denies Jesus as God.
Nilihama hiyo benki siku ya idd ya mwaka 2011. Nilienda mlimani city kudeposit pesa kwenye tawi hilo kwa vile nilijua kuwa linahudumia hata wakati wa sikukuu. Sikuwa peke yangu, nilifika mida ya saa nne kasoro asubuhi, nikakuta watu wameshajipanga foleni ya kuingia ndani ingawa milango bado ilikuwa imefungwa. Ikatimu saa nne kamili, wale wa benki opposite wakafunguliwa milango, sisi tukabaki tunang'ang'a macho. Nusu saa baadaye akatokea kijana mmoja atatuambia "samahani, leo hatufungui"! watu wakahoji 'iweje useme leo hamfungui ilhali kibao chenu kinaoonesha kuwa mnahudumia hata siku za sikukuu?' yeye akajibu: 'ni kweli, tunahudumia sikukuu zote isipokuwa sikukuu za kiislamu kwani benki yetu inafuata sheria za kiislamu'. Baada ya sikukuu hiyo nilienda kufunga akaunti yangu hadi leo.
 
Ulaya wanatumia karatasi kwa sababu ya Baridi,wewe uko Tanzania nchi ya joto,bado watumia karatasi chooni,mbona kuoga ,huogi kwa karatasi,abadilika,chukuwa hatuwa.
Ustaadhi/ustaadha, hebu nifahamishe; niliambiwa kama hakuna maji naweza kutawadhia mchanga au jiwe baada ya haja. Kama ni sahihi hapo usafi uko wapi?
 
hata wapagani,wanaoabudu dini xinazoamini miungu wengi nao wametoa mchango mkubwa ktk hizo taaluma.

Do you know the meaning of Islamic Banking? Do you still need more proof to convince you that Islamic banking is nothing but a Sharia-compliant bank? Islamic banking can wait and it should wait.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom