ISIS Wameuteka Mji wa Palma Kaskazini mwa Msumbiji

Tena hao wanaoua wanaujua vizuri uislam na Qur'an kuliko wewe uliesoma madrasa kule mlamleni nyatanga A kwa ostadhi mbilisi.

Wenzako wanasema wanatekeleza ilani na sheria ya Mohamedi na kupigania JIHADI et wewe unasema sio waislam
Mbulula mwengine huyu
 
Wajinga kama nyie vichwa vikubwa akili za kufikiria sifuri. Ukiona mtu kavaa kanzu kafuga ndevu usha connect dot kuwa ni uislamu ndio unaua watu.
We piga tu tarawee hapa wakati wenzio wanaenda kufaidi haya huko akhera...!
images%20-%202021-03-28T000726.776.jpg
 
Mwarabu na mzungu ndio watu wanaoitesa dunia, hajuna kabila ambalo halijaumizwa na hao watu
 
Hii mambo huwa sielewi taifa huru, lina majeshi, serikali. Kikundi kinaingia kinaachwa,kinakua tishio, kinamiliki eneo , himaya?
 
Yaani naanzaje kukomenti habari kama hii ambayo haijajitosheleza?
 
Huu ni muda wa kulishikamanisha taifa na kuwa kitu kimoja, tukiendelea kuwa kama tulivyo sijui mwisho wake utakuwaje.

Hakika tumegawanyika mno, kama imefikia hatua wengine wanachekelea kifo cha mwingine, unaweza piga picha tumebakiza umbali gani kuvamiwa na maadui kama hao
Hili wazo umelipata Baada Ya Msiba Kutokea?!
 
Hii mambo huwa sielewi taifa huru, lina majeshi, serikali. Kikundi kinaingia kinaachwa,kinakua tishio, kinamiliki eneo , himaya?
Hujuma kutokea ndani, upungufu wa rasilimali ni vikwazo vikubwa sana.
 
Back
Top Bottom