ISIS Wameuteka Mji wa Palma Kaskazini mwa Msumbiji

Huu ni muda wa kulishikamanisha taifa na kuwa kitu kimoja, tukiendelea kuwa kama tulivyo sijui mwisho wake utakuwaje.

Hakika tumegawanyika mno, kama imefikia hatua wengine wanachekelea kifo cha mwingine, unaweza piga picha tumebakiza umbali gani kuvamiwa na maadui kama hao
 
Hii miarabu inakera, Si jeshi la Msumbiji liende liwanyongelee mbali na vibaraka wao wa kiswahili. Wanataka kueneza ukafiri Msumbiji baada ya kushindwa Afrika Magharibi na Syria
Kumradhi.. ndg hebu andika upendavo bila kujumlisha au kujumisha Taifa au kabila lote....
Kuwa mstaarabu bila kuchanganya madawa!!
FYI, ktk vikundi vya uhalifu kuna mataifa Mseto...
Usiku mwema
 
Kwann AU wasitume jeshi liwasafishe hao ISIS?
Hahahaha kuna uzi wa kwanza kuhusu hii issue nilieleza vizuri lakini yaafa uelewa hakuna AU,UN wala serikali yetu haiwezi ingilia
Kuna unusual pattern ambayo ukiamua kuwa mfutiliaji utaelewa kinachoendelea ao isis ni cover tu makampuni yachote ges maisha yaendelee

Elewa tu kwamba watu wanakwepa kodi na usimamizi ili ges ibebwe free bila bugudha siku ukiona jeshi letu uko ujue ni kulinda hiyo migodi na hela inalipwa kabla ya operation kuanza
 
Wajinga kama nyie vichwa vikubwa akili za kufikiria sifuri. Ukiona mtu kavaa kanzu kafuga ndevu usha connect dot kuwa ni uislamu ndio unaua watu.
Tena hao wanaoua wanaujua vizuri uislam na Qur'an kuliko wewe uliesoma madrasa kule mlamleni nyatanga A kwa ostadhi mbilisi.

Wenzako wanasema wanatekeleza ilani na sheria ya Mohamedi na kupigania JIHADI et wewe unasema sio waislam
 
Hahahaha kuna uzi wa kwanza kuhusu hii issue nilieleza vizuri lakini yaafa uelewa hakuna AU,UN wala serikali yetu haiwezi ingilia
Kuna unusual pattern ambayo ukiamua kuwa mfutiliaji utaelewa kinachoendelea ao isis ni cover tu makampuni yachote ges maisha yaendelee
Elewa tu kwamba watu wanakwepa kodi na usimamizi ili ges ibebwe free bila bugudha siku ukiona jeshi letu uko ujue ni kulinda hiyo migodi na hela inalipwa kabla ya operation kuanza
Duuuuh!!
 
Unachoongea unakijua au weekend ndo imekolea...
I mean what I am saying and I am saying what I mean. I am even ready to screw those fags shall I come across them. Naongea kikoloni kuonyesha msisitizo mwanangu kama watoto wa mjini wasemavyo japo mie mtu wa kijijini.
 
Back
Top Bottom