Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Toka vita kuu ya pili ya dunia, Dunia imekuwa sehemu amabayo si salama kabisa, Kuna siku nchi kubwa kama URUSI ikiamua Marekani pamoja na nguvu zake zote ifutike inafutika duniani kabisa. Hivyohivyo China, Na Marekani yenyewe.
Sasa Mshangao wangu ni kwanini kajitu kanatokea katika dhama hizi za technology anatumika kama soko la siraha na kuua wenzake kila kisa eti anatengeneza Dola la Kiislamu alafua anayemuuzia silaha si mwislamu?
Watanzania Msidanganyike kabisa na hivi vikundi, maana hii ideology ni kama hukumu ya kifo kwako bila faida yoyote. Hii dunia kamwe haitatwalika kidini kamwe, maana shetani nae anaguvu zake kazi yake kuwatawanya Watu wa mungu ili atengeneze imaya yake.
Kwahiyo hata hiyo nchi ya kiislam mtauwana sana. Maana shetani anatamani watu wa Mungu hatamani watu Wadhambi kabisa.